@meamswahili Ndugu kwani Bodi ya Ligi imethibitisha mechi kuchezwa huko. Je Prisons wamepeleka barua kusema wanacheza huko au wametangaza tu katika vyombo vya habari. msichanganye mambo. Yanga derby walitangaza sawa ila pia ilipelekwa barua na pia bodi ya ligi ilithibitisha kwa kutangaza.
@Adventure_36 Kesi umenukuu kwa kifupi kamilisha ni kesi ya aina gani rufaa au na ni namba ngapi na Ya mwaka gani na mahakama ipi imetoa uamuzi wa hiyo Kesi. kwa urahisi wa marejeo