@AmericanForce_ This is war, do you think they have been taken to Iran to dance in night club. There is going to be nothing to fear because they have gone to war
@Binamu01 Umeleta hoja mezani hivyo usikimbie maswali. Hao single mothers wamezalishwa na nani wanaume au wanyama?
Kama wamezalishwa na wanaume iweje kosa lionekane kwao?? Sitetei kuoa single mother ila kuonesha kua hilo ni tatizo Lao pekee sio sawa.
@godbless_lema Ni sawa na kusema utawala wa Nazism chini ya hitler ulitoka kwa mungu, benito musollin ulitoka kwa mungu, yaliyofanyika south africa chini ya mkaburu yalitoka kwa mungu,. N.k tusitumie vibaya tafsiri za maandiko
@MalisaGJ_ I stand to be corrected, pamoja na U CCM wangu natamani kuona kura ya mwananchi ikiheshimika, nataman kuona uringo Sawa sifurahii manyanyaso dhidi ya watanzania wenzangu kisa kua na mawazo pinzani
@Ntobi_@TunduALissu@freemanmbowetz Saivi unampongeza na kumuita kwa jina lake sio tena mropokaji? na aina nyingine ya udhalilishaji uliokua ukiufanya dhidi yake kwa kutweza utu wake saivi unajificha kwenye kichaka cha demokrasia? idiot.
@kwamekivaisi tunahitaji watu wanaoweza kukisadia chama kushinda uchaguzi huu wenye maarifa, uwezo na hoja za msingi yes ni kweli chama changu cha mapinduzi kimefanya mengi, ni kweli rais wangu amefanya mengi ila hatuhitaji machawa bali wenye uwezo wa kukisaidia chama.