A lot of businesses in Tanzania are not growing kwasababu tunafanya vitu kwa mazoea.. Running a business needs structure, consistency, and serious discipline, DISCIPLINE guys.
Akili Bandia (Akili Mnemba) inaendelea kubadilisha mustakabali wa dunia, ikifungua mipaka mipya ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kampuni za Marekani ziko mstari wa mbele katika ubunifu, zikiendeleza mifumo mikubwa ya lugha inayobadilisha namna tunavyoishi, kufanya kazi, na kuwasiliana.
Ubalozi wa Marekani unaanzisha mfululizo wa warsha unaolenga kutumia akili mnemba kama nyenzo ya kutatua changamoto za dunia halisi. Kipindi cha kwanza katika mfululizo huo kitafanyika Aprili 23 katika American Corner iliyopo kwenye Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam au unaweza kuungana nasi kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi: https://t.co/Ca6ynvHESQ.
Ushiriki ni bure na uko wazi kwa wote.
Usikose fursa hii ya kupanua uelewa wako na kwenda sambamba na mabadiliko ya zama za kidijitali. Endelea kutufuatilia kwenye majukwaa yetu ya mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi kuhusu vipindi na mada zijazo.
Kuna gap kubwa sana kati ya knowing na doing. Millennials tunajua mambo mengi productive ( business ideas, financial literacy and marketing) kuliko Gen Z. Shida yetu millennials tuna fear za kufeli mnoo. Gen Z akipata mtaji kidogo tu kashafungua biashara chap bila kuwaza mara 2.
Unajua kutengeneza website lakini unapataje wateja wa hizo kazi?
Hi ndio njia nyepesi na sahihi ambayo unaweza kutumia kwa ajili ya kupata wateja kwa kutumia claude code chrome extension ๐งต๐
Jumapili ya tarehe 29 Machi 2026 ilikuwa siku yenye maana sana kwangu. Nilipata nafasi ya kukutana na baadhi ya vijana wa jiji la Mwanza kupitia event ya Mwanza Digital Meetup.
Kitu kilichonigusa zaidi ni kuona kwamba bado kuna pengo kubwa kwenye uelewa wa fursa za online. Vijana wana uwezo na hamasa, lakini wengi bado hawajapata nafasi ya kuona kwa upana dunia ya kidigitali inaweza kuwafungulia nini.
Hii ni ishara kwamba bado kuna kazi kubwa ya kufanya, lakini pia ni mwanzo mzuri wa hatua bora zaidi zinazokuja.
Niwapongeze sana vijana wenzangu waliofanikisha event hii. Kazi mnayofanya ina maana kubwa.
@Heritagetech3@officialhimsel1@meetkhaled_
Vijana wadogo wenye maono makubwa. Nimefurahi kuwa sehemu ya mabadiliko tunayoyahitaji Mwanza.
Miaka michache iliyopita Wise walikuwa wana wapa USD account wabongo.
Kwa connect mbili ulikuwa unaweza omba kazi hadi Upwork.
Payoneer walikuwa wanatoa akaunti binafsi kwa freelancers.
Now vyote hivyo ni historia.
Usikubali kuwa sehemu wa historia fungua akaunti Grey, uPWORK, fiverr sasa kabla hawajaanza kuweka vikwazo.
Nilienda Dubai na karibu milioni tano tu na plan ya kuuza laptops. Miezi michache baadaye nimepata ๐จ๐๐ ๐ฟ๐ฒ๐๐ถ๐ฑ๐ฒ๐ป๐ฐ๐ ya miaka miwili. Hii ndio reality ya Dubai ambayo watu wengi hawakwambii.
Acha nishee hii story hapa baada ya hapa utakua na majibu ya kila kitu kuhusu DUBAI
๐๐๐๐๐ฎ๐ ๐ฃ๐ ๐ข๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ ๐ช๐๐ช๐จ๐ช ๐ฟ๐ช๐๐๐ ๐๐ฌ๐ ๐๐ญ๐ฅ๐๐ง๐๐๐ฃ๐๐ ๐ฎ๐๐ฃ๐๐ช
-Utakuwa umefika Dubai
-Umejua kila kona ya Dubai
-sehemu za kulala, sehemu za kutalii,Biashara nk
๐๐ผ๐ผ๐ธ๐บ๐ฎ๐ฟ๐ธ, Chukua kahawa,Popcorn tuendelee๐
Kiukweli hayajawahi kuwa maamuzi ya siku moja ni RECIPE ya maamuzi na vitu vingi nimekua nikipitia
Chachu ilitoka wapi?
โ๐ ๐ผ๐ก๐ฌ๐๐ฎ๐จ ๐๐๐ค๐ค๐จ๐ ๐ง๐๐จ๐ ๐ฎ ๐๐ง๐๐๐๐ค๐ข ๐ค๐ซ๐๐ง ๐๐ค๐ข๐๐ค๐ง๐ฉ๐๐๐ก๐ ๐จ๐ก๐๐ซ๐๐ง๐ฎ. ๐ผ๐ก๐ฌ๐๐ฎ๐จ.โ
Mwaka 2022/2023 me whatsapp nilikutana na mwanangu @eddygotya akawa ananiambia ashawai agizia watu vitu kibao China na nini.
Mimi nilikua Nairobi wakati huo. Kwa Nairobi ni kitu cha kawaida sana watu wajanja wa mtandao kuOrder aliexpress nk na logistics zimenyooka tu chaap unaletewa mzigo.
Sasa fast forward nilivogeuka bongo tukaanzisha kampuni inaitwa ๐๐๐ฆ๐๐ฆ๐ซ๐๐ ๐๐๐๐๐ tulikua na office SINZA afrika sana pale sokoni junction ya kwenda mabatini. Ilikua inakua ila challenge hazikosekani me nikamwambia mchizi nabwaga akaendelea ila me nikachana nayo
Sasa yeye akaanza kwenda ๐ฟ๐ช๐๐๐ next ikawa China
Kuna siku nikamuuliza kati ya Dubai na China wapi naweza enda nikiwa hata na 5m nikatoboa. Akanyoosha akasema Dubai.
(Usije ukawa na 5m ukadhani pia utatoboa, kwangu ilikua rahisi maana tayari nina wateja plus najua kufanya marketing ONLINE)
Me nikiwaza lifestyle ninaloona mtandaoni la Dubai nitaweza afford kweli nikaona uongo
Mwaka juzi mwanangu @thisiscollins1 alikua Chuo Cyprus akahamia China basi tukaanza kupush tena ecommerce kama kawaida ila logistics ikawa mzozo sana.
(Btw tushaiwafunza watu 1000+ jinsi ya kuOrder vitu china na kuuza๐๐พ https://t.co/zCBwnjBe0A)
Mwanangu akanambia me niko shule omba VISA njoo hapa.
Sasa me kama wewe na wengi mnaopenda uhakika nikaanza kumuuliza kila move oya usafiri, hotel ngapi bei nk
Huku nauliza @eddygotya kuhusu Dubai pia
NikiCompare hivi nikaona maisha ya China ndo kitonga nitamudu.
Mimi huyo chaap kwenda kuApply VISA ya China
Agent waliniletea miyeyusho ofcoz kama hujui hii sio mara zote watu wamenyooka. Me ni mkorofi niliumana nao haswa hadi nikapata VISA ya China. Hehe
Sasa kubabake ikawa wakati wa Canton fair nauli ziko juu mlima. Yaani nikienda ni kuwa nimalize hela yote nauli afu nibet kupambana ama nisiende
Nikabwaga nikamcheki mwanangu tena @eddygotya nataka kwenda Dubai
Akanambia nenda Dubai focus sana lakini kuuza LAPTOPS. LAPTOPS zina hela miezi nne tu gharama zako zitarudi
Uzuri mambo ya kumarket kwangu sio issue nna watu 1200+ daily wanaangalia whatsapp yangu
Kukosa mteja labda nirogwe.
Siku hiyohiyo nikamuomba mtu wa VISA nikalipia.
Hapo sikuwa na dusko nimetoka kupata mtoto costs kibao bima tu Kenya namlipia ka 2m, dogo mapassport nini mambo buku sielewi.
Nikachek line zangu mbili wakanipa Dusko niAfford bills za hapa na pale.
Mungu hatoki twitter aisee week ya kwanza mauzo bampa to bampa hapo ni whatsapp tu.
Offcourse challenges hazikosekani kama hii niliibiwa hapa๐ (https://t.co/5MPIdKedYQ)
Hadi leo me hizi X sijui insta napost tu for visibility ila nauzia ๐ฌ๐๐๐ฉ๐จ๐๐ฅ๐ฅ.
(Learn Whatsapp marketing๐๐พ https://t.co/whyDV6cN2d)
Mwezi wa kwanza nikaishi Nikarudi afu after few weeks nikarudi sasa nipambanie ๐๐ผ๐ ๐๐ฟ ili nisisumbuke kuomba VISA kila mara
Maana trip hii plan ni nipate ghetto(bedsitter) kwa ajili ya kukaa ila pia iwe office kwa maContent yangu.
Hii haikuwa ngumu maana tayari watu wangu wa karibu washaona mzigo nnaopiga, sales nafanya. Wakatia mzigo.
Bana Mungu sio Mark Zuckerberg๐ . Round hii mambo ikajipa
Process ikaanza
๐๐
Huyu binti ni Single mother nilimuelekezaga awe anapost IG, akajiongeza kutengeneza page ya mtoto wake
Dogo ana page na anajua kizungu fresh ila yupo nyumbani
Nikamwambia afanye kutafuta international schools dogo akasome Bure
Leo ananiambia kuna shule wamempigia AENDE๐ซก
Nataka nitengeneze threads na videos 30 mwezi huu unawezaje kuuza digital product(templates,ebook,bundles,subscriptions za groups nk)
A-Z na ukatumia https://t.co/itLrtEyVW8 kulipwa
Comment unataka kuuza nini ONLINE (hasa digital product) Nitaandika a free Guide na Video๐