Allah amhifdhi na ambarik sana mtu wetu. Hii ndio siasa yetu, siasa ya utu na siasa ya watu.
Hii ndio njia ya watangilizi wetu, njia ya kuwajali watu, bila ya kumbagua mtu.
Hii ndio njia inayotuhakikishia usalama wa mustakbali wetu. Wamekufa, tutakufa, lakini lengo litabakia.
Mitandao ya pesa imekuwa shida sana, unatuma muamala unafeli, Kisha call center agent anakujibu kirahisi sana.
Hajui muamala ulikuwa muhimu sana.
@Tigo_TZZ, mhudumu ananikatia simu.
Hii sio Sawa.
Nyimbo zangu bora za muda wote za mapenzi.
Hayakuwa mapenzi - sugu
Ulimwengu wa wapendanao-joh makini
MashaAllah - Chidi beanz
Chochote popote - Joh Makini
Mamsap-hard blasters
#ElimikaWikiendi