KATAMBI FEDHEHA TUPU ๐ฎ
Kelele zote kumbe shida ni ufuska wako! Umeambiwa mke wa mtu ni sumu - sasa ona umekuwa kama umewehuka ๐
Huyu dada Esther mi namshauri kwa hapa mambo yalipofika RUN like hell!
Umeshapata aibu maana kwa sasa si wabunge wenzako bali nchi nzima imejua uzinzi wenu! Hii mbaya kama ilivyo ila bora ubaki mzima kuliko kupata laana ya ziada ya damu za watu anazobeba Katambi!
Ila tukiwaambia CCM imeoza kabisa miwe mnatuelewa!
Alafu Katambi kujitutumua kote kumbe unaogopa kufyekelewa na mwenye mke ๐ ila ujue hiki kiasi hakitaisha na hutabaki waziri milele!
Ni fedheha tupu! ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
#TutaelewanaTu
๐ด Simba SC are closing in on the signing of Ibrahim Doumbia. ๐น๐ฟ๐ฒ๐ฑ
The Tanzanian giants have reached an agreement with the Malian forward on a ๐จ๐ง๐-๐ฒ๐๐๐ซ ๐๐จ๐ง๐ญ๐ซ๐๐๐ญ, with an option to extend for ๐ญ๐ฐ๐จ ๐ฆ๐จ๐ซ๐ ๐ฌ๐๐๐ฌ๐จ๐ง๐ฌ.
Doumbia arrives after an impressive campaign in Mali, where he scored ๐๐ ๐ ๐จ๐๐ฅ๐ฌ last season, ๐๐ ๐ข๐ง ๐ญ๐ก๐ ๐ฅ๐๐๐ ๐ฎ๐ and ๐ ๐ข๐ง ๐๐ฎ๐ฉ ๐๐จ๐ฆ๐ฉ๐๐ญ๐ข๐ญ๐ข๐จ๐ง๐ฌ with ๐ ๐๐ฌ๐ฌ๐ข๐ฌ๐ญ๐ฌ.
He was named:
๐ Top scorer of the season
โญ Named Player of the Season
๐ Included in the Best XI of the season
The striker is currently awaiting his visa before travelling to Dar es Salaam to complete the transfer.
#Transfers #NguvuMoja #AfricanFootball
ASANTENI WATANZANIA! TUMEFIKISHA TSH. MILIONI 130.2
Asanteni kwa mwitikio wenu mkubwa. Mpaka sasa, tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 130.2 katika Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334 kwa ajili ya kufanikisha Baraza Kuu la Umma.
Safari inaendelea.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Agenda ya kufunika wizi mkubwa kwenye sketa ya mafuta.. Watanzania msikubali.
Tunataka kujua kwanini Vitol ametuuzia mafuta kwa usd 260 sawa sh 689,000.
Wakati huo huo anawauzia Uganda mafuta hayo hayo kwa USD 83 sawa na sh 212,000
Msumbiji usd 90 sawa na 238,500.
Hawa watu wanaoitwa NAMARO na TPDC wamehusikaje kwenye huu ufisadi wa kufilisi Nchi.
Huu ni uhujumu uchumi mkubwa kuwahi kutokea katika Nchi hii.
Kuna zaidi ya 1.2 trilioni imeibiwa katika mafuta.
Katibu mkuu wa Nishati bwana Mataragio alisema tuna mafuta ya kutumia miezi mitatu.
Watanzania tusikubali huu wizi.
Jioni ya leo nimepata fursa ya kuongea na wazee wangu wa Mkoa wa Mara..
Asante sana Wazee wangu kwa zawadi ya mbuzi na mikungu ya ndizi.
Focus yetu ni mambo mawili makubwa Free Tundu Lissu na Katiba Mpya .
Tuendelee kuchangia Baraza Kuu la wananchi, Mchango kwasasa uko zaidi ya milioni 120 mahitaji ya baraza kuu ni milioni 334.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amewataka wanachadema na wananchi wenye mapenzi na Chama chao kutoumia dhidi ya mishale mingi inayoelekezwa kwake ni kwasababu amekataa kulamba miguu ya watawala na kusimamia ukweli.
Heche ameyasema hayo July 15, 2026. Nyumbani kwake Tarime alipotembelewa na Wanawake wa Baraza la Chadema (BAWACHA) kwa lengo la kumpatia pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Dereva wake marehemu Suez Daniel.
Akipokea salamu za pole, Heche ametumia wasaa huo kuwakumbusha wanachama wote nchini ajenda mbili kuu za chama chao ambazo ni "Free Tundulisu na Katiba mpya" na kuwataka kutoyumbishwa na maneno maneno na badala yake wasimame na kupambania ajenda hizo bila kuchoka.
"Hayo mnayoona yanaitwa mashambulizi dhidi yangu ni kwasababu mpira uko hapa, kwahiyo msiwe na wasiwasi mimi sina muda huo wa kujibizana na mtu yoyote hoja ni mambo mawili tu ndio ajenga zetu Free Tundulisu na Katiba mpya" Heche
HERI YA SIKU YA KUZALIWA, MHE. @HecheJohn โ๏ธ
Leo tunaungana na maelfu ya Watanzania kumtakia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. John Heche, heri na baraka tele katika kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa.
Katika siku hii ya kipekee, zawadi yenye thamani zaidi tunayoweza kumpatia si maneno pekee, bali ni kuendelea kuunga mkono wito wake wa kujenga chama imara kwa kuchangia kufanikisha Baraza Kuu la Umma.
Mhe. John Heche amekuwa mstari wa mbele akihamasisha Watanzania kushiriki katika ujenzi wa chama. Hivyo, tunawaalika wanachama, wapenzi na marafiki wa CHADEMA kuadhimisha siku hii kwa kutuma mchango wao kwa ajili ya Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334.
Zawadi bora kwa Mhe. John Heche ni kuona Watanzania wakijitokeza kwa wingi kuchangia Baraza Kuu la Umma. Kila mchango, mkubwa au mdogo, ni sehemu ya mafanikio ya chama chetu.
Heri ya kuzaliwa Mhe. John Heche! Mwenyezi Mungu akupe afya njema, hekima, nguvu na ulinzi unapoendelea kulitumikia Taifa na CHADEMA.
Habibu, acha uduanzi aisee! Umefanya mpaka Machame wameitisha kikao cha dharura. ๐
Milioni mbili, bro? Ungepandisha hata useme bilioni mbili ili hadithi iwe na uzito kidogo.
Anyway, kwa sababu wife wangu Neema amecheka sana baada ya kuisikia hii stori, leo nimeamua kukupotezea. Ila next time ongeza ubunifu kidogo. ๐
๐จSOMA HII๐จ
โผ๏ธMBINU MPYA YA KUJARIBU KUBOMOA CHADEMA HII HAPAโผ๏ธ
Baada ya jaribio la kumwua Heche na fitna za mitandaoni kufeli sasa kimama kiuaji amewahusisha viongozi na wafuasi wa CCM, CHAUMMA waliowahi kuwa Chadema pamoja na mamluki ndani ya Chadema kujaribu kufanya collective action kumwondoa @HecheJohn eti wamtoe Lissu akiwa mnyonge na akute maridhiano imeanza! Baadhi ya viongozi wa dini wameshapangwa waende kumwangukia kimama!
๐๐ฝMbinu hii inahusisha baadhi ya watu waliowahi kuwa JOC wa CHADEMA kwa maana ya Jimbo Operation Commander - hawa walitumika kwenye masuala ya uchaguzi Chadema chini ya uongozi wa awamu iliyopita na baadhi walishawishiwa waende CHAUMMA ila wametoka mikono mitupu !
Sasa wamepewa kandarasi ya kuhonga viongozi wa wilaya CDM waende Dar kwenye press conference waanze kumlalamikia Heche na kutaka ajiuzulu!
Wanalipwa milioni 1-3 kila kiongozi wa wilaya na wamefika wilaya nyingi nchini ikiwemo baadhi ya wilaya za Tanga, Lindi, Mwanza na Pwani!
Mbali na hawa JOC pia baadhi ya viongozi waliofukuzwa au kuondoka kwenye chama wanahangaika na simu na nimeshapewa audio nyingi ila kwa sasa sitaweka wazi kwanza ili waje wajae ๐
Nacheka maana nimefurahishwa kuona kuna viongozi waaminifu wengi ndani ya Chadema waliokataa kurubuniwa ๐๐ฝ
Wito kwa viongozi WOTE wa wilaya na wengine MSIRUBUNIWE! Hawa wanaowahonga milioni 1-3 wamepewa milioni 5 na zaidi kuwahonga kila mmoja wenu na wamekula pesa - so mmeshaliwa mkipokea pesa
Pili hizi pesa zina damu za ndugu zenu watanganyika - msijiletee laana na msijimalize kisiasa kwa bei chee! Atakayetoa pua kuongea mambo ya Heche sijui nini anajimaliza kisiasa milele!
๐๐ฝPia mkakati unaendelea hawa watakaonunuliwa waende kuvuruga Baraza Kuu ingawa Tundu Lissu LAZIMA kimama amwachie mapema so hii naona ndo useless kabisa!
๐๐ฝNa mwisho kabisa wanataka hawa viongozi waandike barua kwa msajili wa vyama kumshtaki Heche! Watengeneze crisis! Stupid kabisa ๐ฎ
Sasa narudia atakayekubali kufanya hii kazi ya kishetani nitamshangaa atakuwa ni mpumbavu! CCM na kimama wanapumulia mashine na tunaenda kuzima mashine! Sasa tukishakomboa nchi mmepanga kuishi vipi na hii aibu ya usaliti!
ACHENI โ
Hakuna pesa inayoweza kununua heshima!
Chadema imeshapata idhini ya Mungu pale ambapo Januari 2025 walipochagua hii timu ya uongozi! Na mmelipa gharama kubwa kufika hapa msikubali kurubuniwa na vijisenti wakati kuna neema kubwa mbele
KATAA WAHUNI โ
#TutaelewanaTu #FreeTunduLissu
Kusema ukweli hii BBC EYE imenipa machungu sana, kwamba huyu bibi anaweza mtesa Lissu watu kavumilia tu yaani?
watanganyika wote tumeruhusu huu ushenzi kuendelea?
Samia ana giza kubwa moyo mwaka, hapo IKULU anazungumza na kutuchukualia watanganyika kama wanyama tu, yeye anamuona Lissu kama kuku tu, hawezi kuwa na huruma naye, ana roho ina giza kali yawezekana ni kutoka na history yake ngumu aliyopitia, kumbukeni alipoteza ndoto zake akiwa na umri mdogo sana, hii mpaka kuja kuwa hapo alipo ni ajali, hizi ajali tunatakiwa zizuia kwa kutumia katiba, mtu asiye na ELIMU akamwe asije kuliongoza tena hili TAIFA, na viongozi wapimwe akili na history zao lazima ziwe na viwango
hii kuokota okota okota watu matokeo yeke ndio haya Lissu anateseka Jela kinamvizia kumchinja kwa kupewa hukumu kinayotaka na majaji ambao hawa weledi wala uhuru
Tusikubali sana huu upuuzi kuendelea, na nyie wazalendo kwenye mifumo matako yenu wote, mmevumilia huu upumbavu inetosha
Hakikisha unaagalia hii documentary ya kiuchunguzi ya Tundu Lissu ikionyesha alivyoumizwa na familia yake kuteseka!
Kimama kikatili hakina kesi kimekaza fuvu tu!
#FreeTunduLissu
BBC Africa kupitia #BBCAfricaEye wametoa Documentary kuhusu Mhe. Lissu inaitwa A FIGHT TOO FAR unaweza kutizama kupitia link hii hapa๐
https://t.co/glhG52Mk7vโฆ
MWENYEKITI MPYA WA KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA (TOC)
SOMO KUTOKA IOC: UHALALI WA UCHAGUZI HAUPASWI KUVURUGWA
Sehemu ya 1 kati ya 3
Pongezi za dhati kwa Mhe. Anthony Mtaka kwa kutambuliwa rasmi na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) kuwa Rais halali wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC). Pongezi pia zimwendee Makamu wa Rais na wajumbe wote wa Kamati ya Utendaji kwa kusimama imara kutetea uamuzi wa Mkutano Mkuu. Tukio hili limetufundisha somo muhimu: demokrasia haiishii kwenye kupiga kura; hukamilika kwa kuheshimu matokeo ya kura.
Na kwa wale wote waliohusika katika mchakato huu, ushauri wangu ni mmoja tu: tuheshimu uamuzi wa IOC bila mabishano. Uamuzi huo haukutolewa kwa bahati mbaya. Ulifanywa baada ya mwangalizi huru wa IOC na ANOCA kushuhudia uchaguzi, na baada ya IOC kupokea taarifa kutoka vyanzo mbalimbali. Tukio hili ni onyo kwamba tabia ya kuamini matokeo yanaweza "kurekebishwa" baada ya kura kupigwa inaweza kuiweka Tanzania katika hatari ya kupoteza heshima yake mbele ya jumuiya ya kimataifa.
Hatari hiyo si ya viongozi pekee. Waathirika wakubwa wangekuwa vijana wetu wanaojitahidi usiku na mchana kuipeperusha bendera ya Tanzania katika Michezo ya Olimpiki ya Los Angeles 2028 na mashindano mengine ya kimataifa.
IOC si taasisi inayoyumba katika masuala ya utawala bora. Katika historia yake imewahi kusimamisha Kamati za Olimpiki za Mataifa mbalimbali pale ambapo uhuru wa Kamati hizo ulipoingiliwa au taratibu za uchaguzi kuvurugwa. India ilisimamishwa baada ya sheria za serikali kukinzana na Hati ya Olimpiki. Kuwait ilisimamishwa kutokana na kuingiliwa kwa uhuru wa utawala wa michezo. Guatemala ilisimamishwa kufuatia kuingiliwa na serikali na mahakama. Hivi karibuni Iraq ilisimamishwa baada ya serikali kuivunja Kamati halali ya Olimpiki na kuunda nyingine chini ya Waziri wa Michezo.
Methali ya Kiswahili inasema: "Ukiona mwenzako ananyolewa, zako tia maji." Tusifike huko.
Kusimamishwa kwa Kamati ya Olimpiki ya Taifa si adhabu kwa viongozi pekee; ni pigo kwa taifa zima.
Madhara yake ni makubwa:
Wanamichezo wanaweza kushindwa kushiriki Olimpiki chini ya bendera ya Tanzania au wakaruhusiwa kushiriki kama wanamichezo wasio na taifa (neutral athletes).
Fedha za Olympic Solidarity zinazofadhili mafunzo ya wanamichezo, makocha, vifaa, tiba ya michezo na ufadhili wa masomo husimamishwa.
Vijana hupoteza fursa za mafunzo na mashindano ya kimataifa.
Programu za kukuza vipaji hudhoofika.
Wadhamini wa sekta binafsi hupunguza uwekezaji kutokana na kupungua kwa hadhi ya nchi.
Taswira ya Tanzania katika jumuiya ya kimataifa hudhoofika.
Kwa kifupi, viongozi wanaweza kubadilishwa; lakini ndoto za wanamichezo zikivunjika huchukua miaka mingi kujengwa upya.
Leo hii kuna mwanariadha anayefanya mazoezi kila alfajiri akitumaini kufuzu Los Angeles 2028. Kuna mwogeleaji anayesaka ufadhili kupitia Olympic Solidarity. Kuna bondia anayehitaji mashindano ya kimataifa kujenga kiwango chake. Kuna mwanafunzi wa sekondari anayeota siku moja kuivaa jezi ya Timu ya Olimpiki ya Tanzania.
Ndoto zao hazipaswi kuvurugwa na makosa ya kiutawala ambayo hayawahusu.
Katika barua yake ya tarehe 9 Julai 2026, IOC ilitambua rasmi viongozi waliochaguliwa na Mkutano Mkuu wa TOC. Wakati huohuo ilieleza wasiwasi wake kuhusu kile ilichokiita jaribio la dakika za mwisho la kubadilisha matokeo ya uchaguzi wa Rais kwa kutangaza mgombea ambaye hakuchaguliwa. IOC ilieleza kuwa kitendo hicho kilikiuka Hati ya Olimpiki, Katiba ya TOC na misingi ya maadili ya Harakati za Olimpiki, na ikaagiza uchunguzi pamoja na hatua stahiki dhidi ya waliohusika.
๏ฟฝ
TAN - NOC Elective General Assembly held on 5 July 2026 - IOC-ANOCA letter to NOC - 9 July 2026.pdf
Itaendelea...