Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz kesho Machi 18, 2022 saa 5:00 asubuhi atazungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Chama, Kinondoni.
Ataeleza Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama kilichokutana Jana Machi 16, 2022 Jijini Dar es Salaam. #ChademaHai
ALERT
👉Mdee na Bulaya wamepigia wenyeviti wa BAWACHA Tanzania nzima waje Dar kwa ajili ya maandamano kwenda kwenye kikao cha kesho wamegomewa
👉Wamekutana na Polepole Lumumba leo mchana na amewapa wanachama wa UWT Dar es Salaam na kesho watavalishwa nguo za CHADEMA
Msikilizeni vizuri @MagufuliJP - "he says what he means, he means what he says"
"Kweli niondoke hapa, kwa sababu ya unafiki wangu eti inabidi niondoke, nimechoka? Hapo ndipo napata nguvu kuwa lazima niendelee kufanya kazi"
Haondoki hata "itakapobidi aondoke" 😅 #TutaelewanaTu