@Rydx_017@athanas_pius@Balyx_@MissChelsea1221@DullahTheking2 Huyo demu alikuwa jirani yangu. Wewe hukai Zanzibar so usiseme anaichafua nchi.. adha ya umeme huku ni kubwa na huyo ametoka tu kusema ila walioondoka kwa shida hii ni wengi mno, fanya uchunguzi kabla ya kutumia hisia buddah.
@BlacDaady@Sir_Gidor Sio kwamba nina hela lakin kiasi hicho cha fedha huwa nakisahau ila wakati wa kufua nikikutana nacho furaha yake ni kama nimeshinda bet