๐ oya weeeeeh ๐๐ฅ๐ฅ
Watakao comment Tawile tutakua pamoja kwenye Tafrija badae
Kila mmoja atakae comment tawile na ku Retweet atakula Giv awey ya 10K ๐ซก๐
Semeni Tawilee๐ฅ๐ฅ
Rais wa Kenya, William Ruto ameshinda awamu ya kwanza ya kesi iliyofunguliwa na Chama cha Wanasheria Nchini Kenya (LSK) ya kupinga kutumwa kwa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kurejesha utulivu mitaani ambapo katika uamuzi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu, Jaji Lawrence Mugambi ameamua Wanajeshi kuingia mtaani ni muhimu ili kulinda vituo muhimu vya Serikali na kudumisha utulivu wa umma, hususani baada ya maandamano ya ghasia yaliyoshuhudiwa Jumanne, June 23,2024.
Jaji Mugambi amesema โKuendelea kwa Jeshi kuwasaidia Polisi ni muhimu kwa kuzingatia hitaji la kuhifadhi utulivu na kulinda miundombinu muhimu ya Serikaliโ
Hata hivyo Jaji huyu amekubaliana na LSK juu ya hatari ya kuruhusu Jeshi kwa umma ambapo ameonya kuwa kupeleka Jeshi kukabiliana na machafuko kutazua hofu miongoni mwa Raia na kwamba Jeshi linaweza kusababisha hofu kwa Wananchi.
#MillardAyoUPDATES
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameifuta Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na badala yake kuunda Wizara mpya mbili ambazo ni Wizara ya Ujenzi na Wizara ya Uchukuzi ambapo amemteua Prof. Makame Mbarawa kuwa Waziri wa Uchukuzi.
#MillardAyoUPDATES
Wasanii Irene Uwoya, Jacquline Wolper, JB, Bushoke, Ray Kigosi, DJ Ally B, Mzee Yusuph na wengine usiku huu wamekabidhiwa hundi za mikopo yao waliyokuwa wameomba kupitia Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo, jumla ya mkopo uliotolewa leo ni Mil. 850 kwa Wasanii 40.
#MillardAyoENT