Naomba kuchukua furaa hii kuomba wana Twitter kuretweet post hii hadi imfikie semaji letu @ahmed__ally hii ni appreciation kwa kazi kubwa anayoifanya pia zawadi kwa wana @SimbaSCTanzania na wapenda mpira wote Tz kwa kuingia hatua ya makundi. ππ@moodewji@bvrbvra@mpambazi.π¦βπΏ
@HajiManara Cdhan kama wew ni mzima,yaan badala uwaze mech ya kmataifa ya taereh 02/11/2022 unabaki kuiwaza cmba? Ukimfunga cmba unajiona timu kubwa wakati mwenzio yuko mbali sana katka Lenk ya vlabu bora Afrika.