Hello Dears♥️ Kuna ndugu au marafiki zako ni wakubwa sana ila hawakubali kukubeba kukusupport wala kukuamini sio kwamba wanakuchukia bali Mungu anataka ujue ukubwa wa nguvu na ujasiri wa kupambana uliopo ndani yako na pia wasijisifu kuwa kama sio wao usingefika KAZA UNAWEZA💪
Hello Dears♥️ Ndoto yako inaweza kuwa halisi ikiwa tu baada ya kuota hutoendelea kulala ugumu usikufanye ukatie tamaa ndoto zako waliotimiza zao ni watu kama wewe Kikubwa tu ni bidii na imani kwa Mungu HAKUNA LISILO WEZEKANA 💪😍
Bwana wake akamwambia, Vema, mtumwa mwema na mwaminifu; ulikuwa mwaminifu kwa machache, nitakuweka juu ya mengi; ingia katika furaha ya bwana wako.
>>Mathayo 25:23<<