Kwa kuwaongezea, Lema alikuwa anachat na Nchimbi muda wote. Na maongezi yake na Nchimbie yalitumika kwenye kamati ya maadili. Lema alimuuza Nchimbi.
Ukisoma hizi posti kwa kutulia utaona Lema anacheza team gani kwa sasa.
Kiongozi yoyote huko CCM ambae unachat na Lema, we jua kina Abdul message zako zote wanazo…….
Tukiongea mnasema tunaleta taharuki. Angalieni haya majina, kwa umakini, je mnaona nini? Mnadhani hii safu ni kwa bahati mbaya? Wakristo wawili pekee ndani ya Tanzania ndio wenye uwezo wa kuwa wajumbe wa tume ya uchaguzi? Kikwete na Samia wanaivuruga nchi kwa UDINI na Uzanzibari.
Nchi hii, iko kwenye matatizo makubwa mno.
Hawa wanaoitwa polisi ni ngumu kuelewa ni wakati gani wao wanakua polisi au ni wakati gani wanaweza kugeuka na kuwa watekaji.
Magari yanayotumiwa na polisi au vyombo vya dola wakati yana namba ambazo sio za kwenye magari hayo!!
Unawezaje kujua kama hayo magari ni ya majambazi au watekaji na ni wakati gani yanageuka kuwa ya polisi?
Nchi hii inazidi kuharibika na itahitaji nguvu kubwa mno kuirekebisha.
Nani yupo tayari kupokea risasi ya kifua au ya kichwa? Sio kwa leo yake, bali kesho ya wanawe na wajukuu zake? Mtawala anajiimarisha kila leo kutawala zaidi, mtawaliwa unafanya nini kujikomboa?
Harakati za mtandaoni hazitoshi maana, zina matunda yasiyoiva. Nani atangulie mbele?
Tungekuwa tupo tayari kupoteza usingizi kuhoji kwa vitendo, bila kuchoka kutaka kujua walipo wapendwa wetu waliopotea au kutekwa, pengine imani ya ukombozi wa Taifa hili ingekuwa kubwa zaidi. Ukimya wetu unaochagizwa na woga wa kupoteza pumzi, ni kilema kibaya zaidi.
Msanii kutoka Nigeria akielekea Tanzania amepost “Guess the country” akiwa KIA … akajaziwa comments zinasema No Reforms, No Elction.
Msanii huyu ameingia hofu na ame-record video akiuliza what’s No Reforms, No Election?
INTERAHAMWE kwa kuwa wanaogopa maandishi yetu, wamefungia 𝕏. Lakini walianza kufungia CLUBHOUSE. Moto unaopelekwa Instagram na TIKTOK, tunajua, watafungia pia. Tutakwenda hadi SNAPCHAT na THREADS. Tunataka kuhakikisha ujumbe wa #NoReformsNoElection unafika kwa kila mwananchi.
Miaka 8 nyuma nchi yetu ilishtumiwa na UN kuwa na uhusiano wa kibiashara na kiulinzi na usalama na North Korea unaohusisha mkataba wa $12.5m. Tulikanusha! UN haikutoa ripoti ya uchunguzi, ikaishia hivyo. Nani anaujua mfumo wa N.Korea wa kusimamia mawasiliano? Sijasema TCRA wanao.
Sauti za kukemea UTEKAJI, UUAJI na KUUMIZA Watanganyika zinaongezeka kwa kasi kubwa sana.
Mtumishi hapa naye amepita alimo pita jasiri Josephat Gwajima.
Haya sasa, nendeni mkafungie na hili kanisa kama mlivyo fungia Ufufuo na Uzima.