@lifeofmshaba@HecheJohn kiongozi hawa mkiwarudisha mnaenda kuua chama. Ni another project in the making. Kuweni makini na wanaorudi sasa. Tutawaheshimu sana mkiwa na msimamo wa kuwakataa hawa wapigaji at any cost. Waambieni hakuna nafasi. Wanaleta shida ingine hawa. Plz watch out mkuu
@TheAmberDenisee Happy birthday, gorgeous.
May our almighty God bless you with long-lasting memories, and may everything you touch turn out to be a blessing. Live long
@Chahali Hakika mkuu, hata mimi nisie jasusi najua hii ni cinema kwa kutumia akili ya kawaida tu. Wanajeshi wetu ni takataka unless they prove us wrong