@EsirEid Kama goli la misri limekataliwa lkn goli la tatu matukio ni Yale Yale aliyo Fanya misri lkn hawajaenda kwenye VAR tunashindaa kuangalia mpira wa ushindan kwasababu ya upangaji wa matokeo
@zoetjesheeftX Yaani wanahubiri amani lkn matendo Yao hayana tone ya haki ila waendelee kumwaga petrol kwenye moto wakiamini wanizima moto kumbe wanachochea moto kuwaka zaidi