*LIVE_CCMTZ: MGOMBEA MWENZA MHE. SAMIA S. H. AKIOMBA KURA ZA CCM: KONGWA*
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka #Kongwa kupitia link hizi;
*YouTube*
https://t.co/9WllAGcVGT
*Twitter*
https://t.co/OZ5qmQZs3g
*Facebook*
https://t.co/ABUV5m6BU9
#Magufuli5Tena#T202JPM
Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. @DrHmwinyi anaendelea na mikutano ya kampeni ambapo kesho Septemba 20, 2020 atakuwa Kaskazini Nungwi kisiwani Unguja.
JPM KUMPOKEA RAIS WA BURUNDI
Rais Dkt. Magufuli leo September 19 atapokea ugeni wa Rais wa Burundi, Evaristine Ndayishimiye, ambaye amefika nchini kwa ajili ya ziara ya Kitaifa.
Umoja wa nchi za Ulaya @union_europe yaendesha uchaguzi wa urais nchini Tanzania kupitia mtandaoni ambapo mgombea kupitia Chama Cha Mapinduzi @ccm_tanzania Dkt. @MagufuliJP ameongoza kwa 81.3%.
Na kwa upande wa Zanzibar @DrHmwinyi ameongoza kwa 75.9% dhidi ya wapinzani.
Aliyekuwa mtiania Ubunge Jimbo la Rorya kwa tiketi ya @ccm_tanzania Fredrick Magadi amesema kuwa waliotia nia ubunge wote Jimbo la Rorya wameamua kurudi jimboni ili kuhakikisha wanamnadi Mgombea ubunge Jimbo hilo Jafari Chege, ameyasema hayo katika uzinduzi wa kampeni Bukura
Mgombea mwenza kupitia Chama cha Mapinduzi Mama Samia Suluhu Hassan amefanya mkutano wa kampeni na kuhutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nyasa katika Uwanja wa Taifa wa Kijiji cha Liuli Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma leo Septemba 18, 2020.
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mkutano wa kampeni na kuhutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kigoma katika uwanja wa Tanganyika leo Septemba 18, 2020.
Mgombea mwenza kupitia Chama cha Mapinduzi Mama Samia Suluhu Hassan amefanya mkutano wa kampeni na kuhutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nyasa katika Uwanja wa Taifa wa Kijiji cha Liuli Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma leo Septemba 17, 2020.
SHUHUDIA MKUTANO MKUBWA WA KAMPENI WA MGOMBEA URAIS WA CCM DKT JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKA VIWANJA VYA LAKE TANGANYIKA, KIGOMA.
Tumia Hizi Links Chini Kufaidi.
ππΏππΏππΏππΏππΏ
https://t.co/eLRCqlXCjH
ππΏππΏππΏππΏππΏ
https://t.co/IXeqbeVTlr
ππΏππΏππΏππΏππΏ
https://t.co/sXoVMEFzgh
Baadhi ya Nukuu za Mgombea Mwenza wa Kiti cha urais kupitia CCM Ndugu @SuluhuSamia alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni za uchaguzi Mbamba Bay mkoani Ruvuma
LIVE: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI AKIWA KASULU
YouTube
https://t.co/kZhxmW5PgU
Twitter
https://t.co/sDIQAmycyM
Facebook
https://t.co/tivlBWAdzt
"Tuna mradi wa kuboresha maji hapa Kibondo wa Tsh. Mil 600, tumejenga vituo vya Afya 3 na Zahanati, tumekarabati Sekondari 2, ila sijafurahishwa na ujenzi wa miundombinu ya Elimu Kibondo haiwezekani miaka 5 tujenge Madarasa 9, tuchagueni tushughulikie hayaβ
JPM-KIBONDO KIGOMA
"Naomba Watanzania na Wakimbizi tuishi kwa amani, Kibondo na Kigoma tuitunze amani yetu, Tanzania ni Nchi yenye amani, Kibondo Wakimbizi wapo muwaulize kwanini wametoka kwako wamekuja Kibondo?, tena wengine wanajifanya ndio Wanasiasa wazuri wanaopiga kelele "
JPM-KIBONDO-KIGOMA
"Umeme hapa Kibondo vijiji 43 vya Wilaya hii tayari vina umeme, vimebaki 7, mkituchagua tutamalizia, Maendeleo ni changamoto hamtompata Mtu ambaye atakuwa anatamka tu kinapatikana,watakuja wanaojiita Manabii ukinichagua hulipi kodi sijui nini, uongo mtupu"
JPM-KIBONDO KIGOMA