Mchawi binadamu, paka anatumwa tu.
MPEMBA ametumwa kumshambulia NAMBA MBILI wao na amembatiza jina la YUDA. Kosa lake ni kusema alipendwa sana na JIWE. Wamekasirika sana. Jamaa anasema JIWE alimtupa Brazil. Wanasema ametengwa hadi na familia ya ‘WHITE HAIR’. Eti ni kweli, wazee wa ‘Safari ya Matumaini’ mmemtenga 'Mzee wa Mustachi'? Sisi wengine tunafurahi. Kazi yetu moja tu, kuchochea kunu. Ushirika wa 'wanyonya damu' hauwezi kudumu.
NB; kama wapo wengi, kwanini hakuna makofi? SIJAPENDA.
Oya wanangu pilau lipo karibu, Media zote za hapa nchini wamefuta hiki kipande, media za kenya tu ndio waliokiacha, mwaga moto mwingi sana kwenye comment hapo chini🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Halitapita hili. #Maridhiano ilitakiwa kabla ya uchaguzi, siyo uibe uchaguzi ,uue watanzania 6,000 kama tume ilivyowakilisha mwanzoni alafu ndiyo ujifanye kutaka maridhiano
Mwenyekiti wa Wamiliki wa Daladala mkoani Mwanza, Yusuph Rupia amependekeza nauli iongezeke kutoka shilingi 600 hadi shilingi 800 kwa kilomita O hadi 10. Na mafuta yameshuka bei kwenye soko la Dunia ila bado serikali imekaza fuvu
TTCL ndio wenye mkongo wa Taifa.
TTCL wanawauzia Voda, Tigo , Airtel, Halotel na wengine wote Internet.
Voda, Tigo, Airtel na Halotel wanawauzia wananchi mawasialiano na internet wanatengeneza faida ya kutisha.
TTCL mwenye mkongo, wafanyakazi wa umma, magari ya umma , Ruzuku nk.
TTCL anaewauzia hao wote internet apate hasara ya bilioni zaidi ya 700..
Na wananchi wapo kimya tu!!!!