@babaG2711@SportsarenatzTz Co head wanakua makocha wawili mmoja unakuta defence mwingine attacking inshort wanagawana majukumu .kwahiyo hakua head coach,,,usijifanye unajua kumbe hujui utopolo wewe😂
@Abdul69005875@Iamfelixtz Tatizo hufatilii mpira wewe ni shabiki, kuanzia leo mfatilie huyu kwa wazawa ni mmoja wa RB bora sana simba wamechelewa sana kumchukua
@JOH_MCI Iyo ndo namna aliochagua kutangaza anakupa information na anatangaza wakati huohuo, kwangu mm yeye pamoja na ayoub ndo best kwa ligi ya Tz,kwasababu wanatangaza na wanajua mpira , mtu ukiwa mvivu kujua historia ya mchezaj , gharib yupo atakujulisha kipindi anatangaza mpira