Unaweza kuona ni jinsi gani ACT tulisimama na wafanyakazi tangu mwanzo katika kutetea maslahi yao ikiwa ni kipaombele namba moja kwa mwaka 2018.Tunatoa Rai kwa Rais @MagufuliJP hiyo 50% ya Kikokotoo aliyoirudisha kwa sekta nyingine,airudishe pia kwenye sekta binafsi. @zittokabwe