Top Tweets for #ABankWithIntegrity
Arusha tumewafikia.
Pata Orodha ya Mawakala wetu walioko mkoa wa Arusha.
#mkombozibank #abankwithintegrity #mkomboziwakala

Je, unawaza ni jambo gani kubwa la upendo ulifanye kwa kijana?
Relax, thibitisha upendo wako kwake kwa kumfungulia Student Account na umpe uhakika wa safari yake ya kielimu.
#mkombozibank
#abankwithintegrity
#StudentAccount
#Upendokwaushahidi

Mkoba wetu wa zawadi unamsubiri mjanja mmoja tumtunuku.
Je, unaielewaje huduma ya Mkopo wa Bima kutoka Mkombozi Bank?
Wakwanza kujibu kwa usahihi, tuna jambo nae.
#mkombozibank #abankwithintegrity #DililaMKCB

Tuna vocha ya fasta kwaajili yako.
Je, akaunti yetu maalum kwaajili ya vikundi vya dini inaitwaje?
Twende kazi!
#mkombozibank #abankwithintegrity
#Mchongowavocha

Uongozi na wafanyakazi wa Mkombozi Bank tunakupongeza Baba Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi kwa Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu.
Tunakutaki afya njema na kila la heri katika kutimiza majukumu ya utume wako.
#mkombozibank #abankwithintegrity

Washindi wetu wa vocha kwa swali la wiki hii ni;
Facebook: Pasteryo Jr Junior
Instagram: rich_egnatio
X: imortal
Linked in: Hamadi Ali
Hongereni sana!
Tafadhali, tutumieni mawasiliano yenu inbox kupata utaratibu wakupata vocha zenu.
#abankwithintegrity #Mchongowavocha

Ada ya ushiriki wa Mkombozi Bank Pugu Half Marathon inaweza kuwasilishwa kwa njia kuu tatu Je, ni zipi? Jibu kwa usahihi ujishindie vocha.
Twende kazi!
#mkombozibank #abankwithintegrity #Mchongowavocha

Linda mali zako dhidi ya majanga yasiyotarajiwa
kama mafuriko kwa kuzikatia bima.
Karibu katika tawi lolote la Mkombozi Bank kukatia
bima mali zako au wasiliana nasi bure kupitia 0800
750 040 tukuhudumie.
#mkombozibank #abankwithintegrity
#Insurance

Mkombozi Bank inakutakia wiki mpya yenye mafanikio.
#mkombozibank #abankwithintegrity
#MondayMotivation #happynewweek

Mkopo Chap ndani ya saa 24.
Tunatoa mikopo ndani ya muda mchache kwa Watumishi wa Umma.
Iwe unatafuta kufadhili mradi mpya wa biashara, au matumizi mengine binafsi, timu yetu ya wataalamu wenye uzoefu wapo kukusaidia kila hatua.
Tupigie bure 0800 750 040
#abankwithintegrity

Siku maalumu ya kusambaziana upendo kwa kugawana vocha imefika.
Je, Menyu yetu ya Mikombozi Mobile unaipata kwa kubofya namba gani?
Jibu chap na kwa usahihi ujipatie vocha ya mtandao wako.
#mkombozibank #abankwithintegrity

Tunawatakia kumbukizi njema ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume.
#Mkombozicommercialbankplc #AbankWithIntegrity #KarumeDay

Uongozi na wafanyakazi wa Mkombozi Bank unawatakia Wakristo wote Alhamis Kuu njema.
#Mkombozicommercialbankplc #AbankWithIntegrity #Alhamiskuu

Watumishi wa Umma mpo?
Itaneni chap, tuna habari njema kwenu.
Ni rahisi sana, pitisha mshara wako kupitia benki yetu upate fursa yakupata mkopo wenye riba nafuu ufanikishe mipango yako.
#mkombozibank #abankwithintegrity #mkopowawatumishiwaumma #mkomboziloans

Gusa moyo wa mpendwa wako kwa kumkatia bima nyumba yake.
Karibu katika tawi lolote la Mkombozi Bank kukata bima ya moto au wasiliana nasi bure kupitia 0800 750 040 tukuhudumie.
#mkombozibank #abankwithintegrity #Insurance #Bima #Bimayanyumba

Onesha upendo kwa kumshika mkono kwenye hitaji lake la msingi.
Mfungulie Students savings account kufanikisha mahitaji yake ya muhimu kwenye elimu yake.
#mkombozibank #abankwithintegrity #StudentsSavingsAccoun

Upo mbali na mpendwa wako?
Mtumie pesa kwa wepesi na haraka kupitia Mkombozi Mobile afurahie wikiendi yake.
Bofya 150*06#
#mkombozibank #abankwithintegrity #MkomboziMobile #Unampenda?

Jumapili hii 4/2/2024 tutakuwepo Parokia teule ya Kupashwa Habari Bikira Maria - King'azi.
Karibu kupata huduma zetu za kibenki.
@kanisa_katolikitz @mkristo_mkatoliki_news @habari_za_kanisa
#mkombozibank
#abankwithintegrity


Picha ya pamoja ya wafanyakazi na wageni mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa jengo jipya la tawi la St. Joseph na ofisi za makao makuu ya Mkombozi Bank.
#mkombozibank #abankwithintegrity

Last Seen Hashtags on Sotwe
ometv jilbab
Seen from Indonesia
sarah banks
Seen from Brazil
η§ε―
Seen from United States
RHFH
Seen from Israel
paptt
Seen from France
omegle ()
Seen from United Kingdom
tedlovers
Seen from United States
ε
¬ε离
Seen from United States
momson(***)***+filter:native_video
Seen from Germany
Exhibit100
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.2M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.6M followers

X 
@x
60.8M followers









