Top Tweets for #BUSTANI
Tunatumai umeamka salama, karibu kabisa ndani ya Bustani la MJ na @val_ludiema mpaka saa nane mchana.
Mada: Ni kitu gani katika mahusiano ya kimapenzi ambacho umeamua kutofanya kabisa mwaka huu?
โ๏ธ 0204445975 ๐ฉ 22494
#Bustani #KituoChaWakenya
Biashara inayohusishwa na gavana wa Kiambu Kimani Wamatangi katika barabara ya Wakiihiru iliyo kando ya uga wa Nyayo yabomolewa usiku wa kuamkia leo.
๐ธ : DOUGLAS OKIDDY
#Bustani #KituoChaWakenya

Je, mapenzi na msimu huu wa sikukuu unakupeleka vipi? Zungumza kwenye 0204445975 na @valentineludiema
#Bustani #KituoChaWakenya
Sophie Wangui, afisa wa ujifunzaji na maendeleo pamoja na Joseph Macharia Mwangi ambaye ni muuzaji wa kidijitali kutoka kampuni ya @Muthokinju_ watakuwa nasi kwa mahojiano leo saa tano. Iwapo una swali kwao, tuma ujumbe kwa 22494.
@val_ludiema #Bustani #KituoChaWakenya

Rais William Ruto na viongozi wengine waungana na Familia ya aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga kumuomboleza nyumbani kwake huko Karen.
#Bustani #KituoChaWakenya

Bunge la Kitaifa limeahirisha kikao chake cha Jumatano asubuhi kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga.
#Bustani #KituoChaWakenya

Unamkumbuka waziri mkuu wa zamani Raila Amolo Odinga kwa swala ama maswala gani?
โ๏ธ 0204445975 ๐ฉ 22494
#Bustani #KituoChaWakenya

Baba Sandra: "Sidhani kutakuwa na mwanasiasa mwingine atakuja kupatikana Kenya hii kama Raila Odinga. Anazozana na watu lakini anaweka nchi mbele. Ni huzuni sana na ninasema pole kwa mama Ida, familia yake na Kenya nzima."
#Bustani #KituoChaWakenya
Cynthia: "Ninasema pole kwa familia ya Raila, pole kwa nchi nzima kwa kumpoteza Raila Odinga."
#Bustani #KituoChaWakenya
Tobias: "Huku kwetu tumehuzunika sana kumpoteza Baba yetu Raila Amolo Odinga na ninawaambia familia yake pole kwa kumpoteza Baba yetu..."
#Bustani #KituoChaWakenya
Leo saa saba mchana katika #Bustani la Massawe , tunaye Rosemary Okuta, mgombea wa uenyekiti wa chama cha ODM Kaunti ya Nairobi. Atazungumzia safari yake ya kisiasa na maono yake kwa wakazi wa jiji. Usikose! #JamboMassawe #KituoChaWakenya


Beki Reece James amejiondoa kutoka kwa kikosi cha Uingereza kwa sababu ya jeraha alilopata dhidi ya Liverpool wikendi.
Nico OโReilly wa Manchester City atachukua nafasi ya nahodha huyo wa Three Lions.
#Bustani #KituoChaWakenya

Aliyekuwa naibu wa rais Riggy G azungumzia kauli; โndoa hubamba mafala.โ
#Bustani #KituoChaWakenya
Aliyekuwa Waziri wa usalama Fred Matiangโi amejiunga rasmi na Chama cha Jubilee.
Matiangโi alifichua kuwa uamuzi wake ulikuja baada ya kukubali mwaliko wa Rais mstaafu Uhuru Kenyatta wakati wa Kongamano la Kitaifa la Wajumbe wa chama hivi majuzi.
#Bustani #KituoChaWakenya

Kiungo wa Harambee Stars Duke Abuya @duexx ameongeza kandarasi yake kwa miaka miwili na mabingwa wa Tanzania @yangasc .
#Bustani #KituoChaWakenya

Last Seen Hashtags on Sotwe
kiss
Seen from Turkey
เธเธฃเธฅเธฑเธเธฉเธเนเธเธตเธจเธฒเธ
Seen from United States
Snapchat
Seen from Canada
filipinasex
Seen from Turkey
teenageee
stwsolo
Seen from Indonesia
รผniversite
Seen from Turkey
sexvideo
Seen from Turkey
nsfw
Seen from United States
เธเธงเธขเธเธฑเธเนเธฃเธตเธขเธเธเธฒเธข
Seen from Thailand
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers

























