Top Tweets for #FactsCheck
Taarifa zinazohusu maisha ya watu maarufu mara nyingi huundwa ili kuvutia hisia na kupata ushiriki mkubwa. Kabla ya kuamini, tafuta chanzo na uthibitisho wa madai hayo.
#JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #FactsMatter

هن دور ۾ جيڪڏهن توهان وٽ عقل/شعور آهي ته خوش نه ٿيو ڇاڪاڻ اها سزا آهي! توهان کي هر ان شخص سان منھن ڏيڻو پوندو جنھن وٽ عقل/شعور ناهي.
#FactsCheck
Taarifa zinazohusu fedha, talaka na mastaa huenea haraka mtandaoni kwa sababu huibua hisia.
Kabla ya kuamini au kusambaza, hakikisha taarifa imethibitishwa na chanzo kinachoaminika.
Zaidi Soma https://t.co/OjTwCth3fK
#JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #FactsMatter

Kusikia jambo kwa muda mrefu haimaanishi kuwa ndiyo uhalisia. Ni, jambo gani unalotaka kufahamu uhalisia wake zaidi?
Kusoma Zaidi Tembelea https://t.co/QbWBKSm8uv
#JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #FactsMatter

Sekunde chache za kufanya uthibitishaji zinaweza kuzuia upotoshaji kusambaa.
Zaidi Soma https://t.co/UUFklWl9O1
#JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #FactsMatter

@Dhruvrathiindia असली हकीकत! 🛑
देश का 20,000 टन सोना आम जनता और मंदिरों का है। RBI अपना विदेशी मुद्रा भंडार लगातार मजबूत कर रहा है और 100 टन से ज्यादा सोना विदेशों से वापस भारत आ चुका है। अफवाहों पर नहीं, तथ्यों पर ध्यान दें। 👇
#FactsCheck #India #GoldReserve

Tumia maji kama chaguo namba moja katika kumeza dawa. Uwezo wake wa kuyeyusha dawa unathibishwa na tafiti kuwa mkubwa zaidi kuliko vimiminika vingine vyote.
Zaidi Soma https://t.co/z0ISiBG5L6
#JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #FactsMatter

Tembelea https://t.co/0mjXw96cYR kusoma sababu nyingine za tukio hili na Taarifa nyingine nyingi zilizopatiwa uhalisia wake.
#JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck

@RafayBhanbhro @adeel_azhar Mr. Rafay Bholaro! Nazimabad and Lalukhait (Liaquatabad) are more productive than all other districts of Sindh combined. I have not seen useless and lazy nation like Sindhi.
#FactsCheck
Picha zilizotengenezwa kwa Teknolojia ya Akili Unde (AI) zinaweza kutumika kupotosha madai ya kihistoria. Tumia https://t.co/W8HIxVoqeH kupata uhalisia wa madai yoyote ya kihistoria unayohitaji uhalisia wake.
Zaidi Soma https://t.co/eq8eiKYI0Y
#JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #FactsMatter

Hedhi inapaswa kuchukuliwa kama hali ya kawaida kwenye maisha ya binadamu na baadhi ya wanyama, kwani ndiyo msingi wa muendelezo wa kuleta vizazi vipya duniani.
Zaidi Soma https://t.co/DIzObUiw6t
#JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #FactsMatter

Kwa ujumla, tafiti zinabainisha kwa kiwango kikubwa cha uhakika kuwa baadhi ya sifa za Kimwili na Kitabia za kuota ndoto kwa Binadamu zimeonekana pia kwa paka, panya, ndege na wanyama wengine.
Zaidi Soma https://t.co/UiXsnta95B
#JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #FactsMatter

Una Taarifa yoyote unayohitaji kujua Uhalisia wake? Iwasilishe kwenye Jukwaa la https://t.co/0mjXw96cYR ifanyiwe kazi
#JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #FactsMatter

The circulating video claiming that schools will be closed from June 1st, 2026, until further notice due to an Ebola outbreak is entirely Misleading, as the speech featured in the clip is actually AI-generated
Read More https://t.co/ygmZnjNHii
#JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #FactsMatter
Tumia vyanzo rasmi kuthibitisha Taarifa yoyote inayokupa mashaka kabla ya kuamini na kusambaza.
Kusoma Zaidi https://t.co/EAOBIUxPNz
#JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #HakikiTaarifa

Si kila Taarifa yenye utambulisho rasmi wa Taasisi fulani ni halisi, jenga utaratibu wa kuthibitisha kabla ya kusambaza.
Zaidi Soma https://t.co/67C4bclx7n
#JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #HakikiTaarifa

Unapokutana na Taarifa yoyote ya kihistoria unayohitaji kupata Uhalisia tembelea https://t.co/0mjXw96cYR kuwasilisha.
Zaidi soma https://t.co/n3gDAC8XJ2
#JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #HakikiTaarifa

Si kila Taarifa iliyoambatanishwa na “Screenshot” ni sahihi, weka utaratibu wa kuthibitisha kutoka kwa mhusika iwapo kweli amechapisha.
#JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #HakikiTaarifa

Kusoma zaidi kisa hiki na vingine vilivyohakikiwa tembelea https://t.co/0mjXw96cYR.
Bofya pia https://t.co/ouVwgoTYRh
#JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #HakikiTaarifa

Magonjwa ya Mabusha, Ngiri maji na Matende hayasababishwi kwa kurogwa.
Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Maghembe, anasisitiza kuwa magonjwa haya yanaenezwa na mbu, pia yanatibika kabisa.
Video: Ona TV
#JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #HakikiTaarifa
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
109.1M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.3M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.6M followers

KATY PERRY 
@katyperry
86.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
80.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
68.7M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
61.3M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60M followers