Top Tweets for #IMETOSHA
#Wananchi tuliowengi lazima tushinde. Tumekandamizwa vya kutosha na kundi la watu wachache. Lazima tusimame na tujipambanie. Huu upuuzi wa sisiemu lazima tuukomeshe, bila hivyo, ni kifo kwetu. Watatunyea vichwani. ✊#imetosha #77Tunatoka
‼️🚨Ujasiri wa Karne‼️
Ni kwa matumaini makubwa ya ukombozi wa Tanganyika kwamba vijana wetu wa mstari wa mbele GenZ wameandamana na kuandamanisha vyombo vyote vya ulinzi kwa wiki mbili mfululizo.
👉🏽Tumeshuhudia likizo zote za polisi zikifutwa na wakiamriwa kuandamana
mitaani kwa masaa 24 kwa malipo hafifu
👉🏽Tumeshuhudia makamanda wote wa juu wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi
wa Tanzania (JWTZ) wakipokonywa likizo zao na kulazimishwa kuandamana na kukesha ofisini.
👉🏽Tumemwona Mussa Azzan Zungu
akiandamana kutoka Dodoma mpaka Kurasini kuwabembeleza Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) wasikilize kilio chake cha kuomba
maandamano yasitishwe.
Hatutapokeaa siasa za uponyaji kwani majeraha na makovu yetu ni alama na kumbukumbu za ukatili wa gaidi Samia Suluhu Hassan anayeshirikiana na familia yake ya gaidi Abdulhalim Hafidh Ameir, gaidi Wanu Hafidh Ameir (watoto wa Samia Suluhu Hassan), na gaidi Mohamed Mchengerwa (mkwe wa Samia Suluhu Hassan na mume wa Wanu) chini ya mwavuli wa Chama cha Magaidi (CCM - Chama cha Mapinduzi).
Sisi ni Washindi!
A luta continua, vitória é certa!
Mapambano yanaendelea, ushindi ni hakika!
#SamiaMustGo

Ni yeye muuaji wa #TanzaniaMassacre na yupo tu mtaani, huku Chande na aliemtuma wanajifanya eti kuunda tume nyingine. #SamiaMustGo #CCMmustGo maana #imetosha
‼️ALERT‼️
Picha ya kwanza ni mtu ambae anafuatilia msafara wa Mhe. John Heche kila anakoenda
Picha ya pili ni mtu aliyeuwa raia Oktoba 29
Sasa angalia hizi picha kwa makini, angalia mkononi hiyo bangili, angalia aina ya mavazi anayopenda kuvaa, umbo la mwili, rangi ya ngozi.
Je unaona ninachoona?

Umasikini wa #wananchi, uliotengenezwa kwa makusudi kabisa na sisiemu, hili sasa ndo zao lake. Wanaenda pale kama misukule kupata chochote kitu siku iende, huku wakishirikishwa kiaina kumsafisha #SamiaMuuaji. Ndugu zangu, #imetosha 🫵#SamiaMustGo #CCMmustGo
Hali ilivyo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam katika mapokezo ya nyota wa zamani wa Manchester United na England, Rio Ferdinand ambaye anatua nchini leo Mei 19 kwa ziara ya siku nne itakayofikia tamati Mei 22, 2026.
Nje ya uwanja huo mamia ya wa Tanzania wamejitokeza kumpokea Gwiji huyo wa soka , wakiimba nyimbo mbalimbali pamoja na ngoma za asili.
Ferdinand anatua Tanzania kwa mwaliko wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda kama alivyothibitisha yeye mwenyewe kupitia video iliyosambaa katika mitandao tofauti ya kijamii
@MwananchiNews Umasikini wa #wananchi, uliotengenezwa kwa makusudi kabisa na sisiemu, hili sasa ndo zao lake. Wanaenda pale kama misukule kupata chochote kitu siku iende, huku wakishirikishwa kiaina kumsafisha #SamiaMuuaji. Ndugu zangu, #imetosha 🫵#SamiaMustGo #CCMmustGo
Hivi wewe shetani @SamiaMuuaji @SuluhuSamia, unapambana kwa njia zote ili ubaki hapo Ikulu na genge lako la sisiemu? Kweli? Kinachokuaminisha wewe kwamba utabaki hapo ni kitu gani? Who are you? Unajiona wewe ni nani haswa? #imetosha #SamiaMustGo #CCMmustGo

‘ENOUGH IS ENOUGH.’ ~ Anambra Youths Block And Confront Anti-Cult Police Unit Over Continuous Harassment, Intimidation, Illegal Raids And Arrests In Their Communities. | Wa Nigeria wanavoshughulikia watekaji mapolisi. Tujifunze kwa wenzetu, maana #imetosha
@MariaSTsehai @TheEconomist Ni mpumbavu huyu #SamiaMuuaji, yanayomkuta kayajenga mwenyewe. Alidhani huu ushenzi wake na hizo media zake za mfukoni zitamsafisha. Hakuna hiyo, alie tu; #TanzaniaMassacre ni msala wake. Atajua hajui. #SamiaMustGo #CCMmustGo #imetosha
Sisiemu hawana uwezo wa kuongoza choo, sembuse nchi? 😆 Hiyo ni ndoto ya alinacha, hawana uwezo kabisa. #CCMmustGo #SamiaMustGo #imetosha
Tumeona hii picha mjongeo ikionyesha maendeleo waliofanya CCM kwa miaka 65
Haya ndio matokeo ya ufisadi , ulafi na kukosa akili kubwa ya kiitelejensia
Tusipoamka tutatengeneza watumwa wa Wachina
@millardayo Maridhiano yepi? Kwa lipi? Wewe #SamiaMuuaji umeua #wananchi #TanzaniaMassacre lazima uondoke. Achia nchi mama, #imetosha. #SamiaMustGo #CCMmustGo
Nyie mbwa, @MsigwaGerson, hamna hata haja ya kusoma ripoti ya CAG. Mnasoma ili iweje? Yaone majambazi, yamekaa hapo eti yanasikiliza #RipotiYaCAG 🤣 MAJIZI. Ni hivi, muambie #SamiaMuuaji na #ChamaChaMashetani chenu #imetosha
#FreeTunduLissu NOW!
Huu uonevu dhidi ya @TunduALissu na hili taifa kwa ujumla kwa amri ya #SamiaMuuaji na genge lake la sisiemu #imetosha. #FreeTunduLissu na #SamiaMustGo #CCMmustGo, hakuna mjadala zaidi ya hapo. ONDOKENI Ikulu nyie wauwaji. 🚮

@lifeofmshaba Wizi tu 🚮Hhuyo takataka hata elimu ya kukaa benki kuu hana. Sembuse deputy governor? Never! Huu utawala unaenda kuimaliza Tanganyika. Tuwaondowe mbwa hawa. #imetosha #SamiaMustGo
@MariaSTsehai Katika hizo dhahabu wanazotaka kuuza, #MadamButcher na genge lake watachota sana ili waendelee kujineemesha na dhahabu yetu, kama wanavojineemesha na mikopo wanayokopa kwa jina la nchi, na misaada wanayopewa kwa jina la nchi. #SamiaMustGo #imetosha
@millardayo Tereni la mtumba na upigaji uliokithiri kwenye ujenzi wa hii reli ndo chanzo cha haya matatizo. Tunaposema hapa hakuna serikali anzeni kujiongeza #wananchi #Oktoba29Tunatoka na tunachukua nchi yetu. #imetosha #SamiaMustGo #CCMmustGo
The woman is out of her mind, nakuambia @KenyanSays, kichwa cha huyu mama kimejaa takataka tupu, yeye na chama chake HARAMU. Sema yote 9, 10 #Oktoba29Tunatoka huyu mharamia na genge lake lote tunaling'oa madarakani. Nyambafu #imetosha
🤣🤣🤣🤣🤣
Bangoland instead of Bongoland 🤣
Majirani 🇰🇪 wanashangaa walipofika nchini’
Mabango yote nchi nzima ni Samia Suluhu
Yaani hata ka tangazo kabiashara kakuuza shamba hakuna 🤣🤣
“niweke tuu”
Kweli tunashangaza dunia - mtu mwoga hivi hata wapinzani wa kweli hataki!
#OktobaTunatoka ni wajibu!
@Jambotv_ BoT ni waongo. Wanachapisha pesa kwa maagizo ya huyo takataka anaejiita amiri jeshi mkuu. BoT inachapisha pesa. Period. Wasilete uongo wao hapa. Sisi #OktobaTunatoka, ni hiyo tu. #SamiaMustGo #CCMmustGo #imetosha
Tumefika patamu. Sasa sisiemu wajue #wananchi tumesema #imetosha na #MaandamanoOktoba29 italeta MWISHO wa hii serikali dhalimu. Mtajua hamjui akina Bi #Chura, jiandaeni kuhamia Dubai.
@lifeofmshaba #TanzaniaDerailed imetoka nje ya reli hii nchi, kisa, inaendeshwa na vibaka. Rais ni kibaka, na waliomzunguka wote ni vibaka. Inabidi tuwaondoe kwa #MaandamanoOktoba29 maana #imetosha
@MwauraRobert2 😆Sisiemu wanadhani haya hayawezi kuwakuta wao, ila wajipange. Madarakani @ccm_tanzania wanaondoka wote, #imetosha
@Advocate_Jebra Such a stupid woman. Hili limama ni lipumbavu sana. Siamini hii nchi inakiongozi mavi kama huyu. #SamiaMustGo #CCMmustGo #imetosha
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.5M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.9M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.6M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers




