Top Tweets for #KFUpdates
"Sisi tuliweka malengo kwamba kufikia 2025 tuwe tumefikia uchumi wa kati na dira ndio ilikuwa inafafanu hivyo kwamba tupunguze umasikini, tuwe na uchumi imara unaotokana na sera ya viwanda" - @TZMsemajiMkuu
#UkuajiUchumi.
#KfUpdates.
@yonapavea @juliusjonatha

Leo mtakubaliana na mimi kwamba sasahivi kuna #MadeInTanzania za kutosha, kuna bidhaa nyingi zinazalishwa Tanzania na tuna viwanda vingi karibia 60,000 tangu Uhuru.
Ndani ya miaka 5 tuna viwanda zaidi ya 8,000- @TZMsemajiMkuu.
#UkuajiUchumi.
#KfUpdates.
@yonapavea @juliusjonatha

Nchi yetu tangu enzi ya Mwalimu imeweka mipango thabiti ya maendeleo na yenye malengo makubwa #OlympicTargets, Tulisema tunanunua ndege wapo waliosema hamuwezi" - @TZMsemajiMkuu
#UkuajiUchumi.
#KfUpdates.
@yonapavea

Miaka michache iliyopita hapa wilaya ya Kisarawe na wilaya nyingine za Mkoa wa Pwani yalikuwa maficho ya wahalifu, pasipo na amani hata miradi hii isingefanyika, nawasihi sana tusishiriki katika mambo hayo.
Rais Dkt @MagufuliJP
Kisarawe Leo.
#KfUpdates.

Kwa mujibu wa Katiba Mtu yoyote anaweza kugombea lakini kwa Chama chetu kwa mujibu wa taratibu ndani ya CCM haijawahi kutokea tangu Mwl. Nyerere, Mkapa, Kikwete wote miaka 10 na Dkt Magufuli ni miaka 10 ataondoka"-ABDALLAH BULEMBO.
(via Clouds360 ya Clouds Tv)
#KfUpdates.

Sitaki hao wapiga debe (Dodoma Stand) kwasababu hao ndio hugeuka kuwa majizi kuwaibia watu hapo hapana, kwanini kupiga debe?.
kapige debe la nyumbani kwako-JPM #LiveKwenyeSimu.
(via Clouds360 ya Clouds TV)
#KfUpdates.

Jiji la Dodoma litengeneze mazingira kwa Watu wa Daladala,Bodaboda kufanya kazi Stendi ili kusudi mvua ikinyesha abiria asitembee na mizigo yake, wengine ni wagonjwa wanataka kwenda Hospitali haiwezekani waanze kuhangaika kutafuta Daladala-JPM #LiveKwenyeSimu.
#KfUpdates.

Nimechukua fomu za Urais ili niweze kuzitembeza kwa Wanachama, nimeona nipate Wadhamini namba moja kutoka hapa Dodoma, nimeambiwa wameshajitokeza Watu wengi. - Rais @MagufuliJP
#KfUpdates.

Tunaelekea Uchaguzi Mkuu, Chama Chetu hakina Mjadala wala Mbadala kitashinda, maana Ilani imetekelezeka kwa Mkoa wa Dar es salaam Hatuna sababu ya Kuogopa kwa kura za Rais Dkt @MagufuliJP
Ni Mwenyekiti UVCCM Mkoa wa Dar es salaam #MussaKilakala.
#KFupdates.

Wagombea wa nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani kwa Tanzania Bara na Visiwani na Viti Maalum watachukua fomu kuanzia Julai 14 hadi 17, na mwisho wa kurudisha fomu ni Julai 17, 2020, saa 10 jioni.- @hpolepole, Katibu Mwenezi @ccm_tanzania .
#KFupdates.

Ratiba ya kumpata mgombea nafasi ya Rais inaanza Juni 15-30, 2020 ambapo itakuwa nafasi ya kuchukua fomu, kutafuta wadhamini na kurejesha.
Kiukweli kanuni zetu za kupata wagombea ndani ya Chama kuanzia diwani mpaka rais ni wazi zinaonesha hakuna kama CCM- @hpolepole
#KFupdates.

Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt @MagufuliJP amesema wagombea wa CCM wajitahmini, usigombee tu kwa sababu kuna uchaguzi mwaka huu, tunataka watu makini kwani Watanzania wanataka kwenye maendeleo.-@hpolepole Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.
#KFupdates.

Tunataka viongozi ambao wanaufahamu mwendokasi wa Rais @MagufuliJP na wanaochukia rushwa pamoja na kujua Yale yote yanayomnyima usingizi kiongozi wetu Mkuu wa Chama, lkn pia tunataka watu ambao wanaojua kwamba Tanzania tumechelewa-Ndg. @hpolepole
#MkutanonaWanahabari
#KFupdates.

Tunamshukuru sana Mungu kwa kutuepusha na ugonjwa wa Corona, mambo yanaenda vizuri na tusidharau dawa za kienyeji uchawi tu ndiyo mbaya.
Nimetoa maelekezo kwenye Wizara ya Afya, kile kitengo cha madawa ya asili kiendelezwe - Rais Dkt @MagufuliJP.
#JPMUzinduziTARURA.
#KFupdates.

Tujipongeze sisi Watanzania kwamba yale tuliyoyapanga yamewezekana, leo ninapozungumza tumepata fedha za msamaha wa kodi kutoka kwa Bodi ya Wakurugenzi ya IMF, Dola Milioni 14.3 kwa sababu tulipambana vizuri sana na COVID-19.- Rais @MagufuliJP.
#JPMUzinduziTARURA.
#KFupdates.

Dodoma ni mji unaokua vizuri, kuna miradi mikubwa inategemewa kujengwa ikiwemo ujenzi wa barabara ya mzunguko ya njia nne yenye urefu wa KM 110 zitakazogharimu zaidi ya Tsh Bil. 600 na ujenzi wa Uwanja wa Ndege mkubwa utakaogharimu Tsh Bil. 500.- Rais @MagufuliJP.
#KFupdates.

Ningewaomba ndugu zangu wananchi tusimame kidogo ili tutoe rambirambi yetu kwa kumkumbuka Rais na Jirani yetu ndugu #Nkurunziza, lakini pia tuwakumbuke ndugu zetu wengine waliofariki leo kule Mwanza- Rais Dkt Magufuli.
Dodoma ndio Makao Makuu ya Tanzania!
#KFupdates.

Serikali imenunua ndege mpya 11. Kati ya hizo nane zenye thamani ya Tsh. 1.27 trilioni na tayari malipo ya awali ya Tsh. 85.7 bilioni kwa ajili ya ununuzi wa ndege nyingine mpya tatu yamefanyika. - Waziri wa Fedha, Dkt. Philip Mpango.
#Bungeni.
#KFupdates.

Hadi Aprili 2020 deni la Serikali lilifikia Tsh. 55.43 trilioni.
Kati ya kiasi hicho, deni la nje lilikuwa Tsh. 40.57 trilioni na deni la ndani Tsh. 14.85 trilioni.-Waziri wa Fedha, Philip Mpango.
#Bungeni.
#KFupdates.

Kwa mwaka 2020, ukuaji wa Pato la Taifa unatarajiwa kupungua kidogo kutoka maoteo ya awali ya asilimia 6.9 hadi 5.5 kutokana na hatua madhubuti zilizochukuliwa na Serikali.-Waziri wa Fedha, Dkt. Philip Mpango.
#Bungeni.
#KFupdates.

Last Seen Hashtags on Sotwe
Vaggastor
ΰΈ£ΰΈ±ΰΈΰΈΰΈ²ΰΈΰΈ«ΰΈΰΈΰΈΰΈΰΈ²ΰΈ’
Seen from Thailand
θι³
Seen from Italy
minichat()********* filter:videos
Seen from Turkey
bikini
Seen from Indonesia
minichat
Seen from Ireland
toilet()()() spy()()() +filter:native_video
Seen from United States
ΰΉΰΈ’ΰΉΰΈΰΉΰΈΰΈΰΉΰΈ²
Seen from Thailand
headscissor
snapchat
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers


