Top Tweets for #Kilimopesa
Let Make It Green
Miche ya miembe kwa Tsh 2500/=
Kitalu chetu utapata embe aina ya:
Kent
Tommy
Red indian
Alphonso
Dodo
Boribo
Apple mango
Tupe oder yako mapema,Huduma ya miche na ushauri piga
☎️0626244751
#kilimo_tz #kilimopesa #kilimotanzania

“Tunapenda kutoa shukrani kwa Mwananchi na Vodacom kwa kuanzisha Farm Clinic. Sisi tunatoa huduma za agribusiness kulingana na uhitaji wa mkulima. Karibuni Stannic Benki tutawahudumia” Victor kutoka Stannic Benki
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates

“Mimi nataka kuwaambia Vodacom na Mwananchi kuwa sisi tuna data kubwa za wakulima. Njooni kwetu sisi tutatoa guarantee ya mikopo mpaka asilimia 8 digitali ili mumfikie mkulima mdogo”-Mkurugenzi wa PASS Trust Adam Kamanda
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates

Mkurugenzi wa Vodacom @VodacomTanzania, Sitholizwe Mdlalose akikabidhi mfano wa hundi ya Sh100 milioni kwa Mkurugenzi Mtendaji wa MCL, Bakari Machumu kwa ajili ya mkakati wa kuhimiza kilimo (Farm Clinic).
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates
"Bado tunaagiza mafuta ya kula lakini mwaka huu tunakwenda kugawa mbegu za alizeti kwa wakulima. Tunatarajia mwakani tatizo hili litapungua kwa kiasi kikubwa,"- Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli.
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates

"Wizara tutakuwa na kituo cha taarifa, yoyote ambaye ana suluhisho, tunamkaribisha, tuko open kwa yoyote mwenye mawazo bora ya kumwinua mkulima,"- Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli.
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates

Mkurugenzi wa Vodacom, Sitholizwe Mdlalose (kulia) na Mkuu wa Idara ya Kilimo wa Vodacom, Yvone Bayona (wa pili kulia) wakikabidhi mfano wa hundi ya Sh100 milioni kwa Mkurugenzi wa MCL,Bakari Machumu kwa ajili ya mkakati Farm Clinic
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya MCL, Bakari Machumu akijadili jambo na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Gerald Mweli (kuli) wakati wakiwasili kwenye uzinduzi wa mkakati wa kuhimiza kilimo (Farm clinic) unaofanyika Dar es Salaam
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdate

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema kwa mwaka huu Bajeti ya Wizara ya Kilimo imeongezeka kutoka Sh298 bilioni hadi 751.
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates
"Vodacom @VodacomTanzania tunajishughulisha na kilimo sio kwa sababu ya umuhimu wake katika uchumi, bali pia kwa umuhimu wake kwa mahitaji ya chakula katika kaya,"-Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom, Sitholizwe Mdlalose
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates

"Kuna uzalishaji duni lakini tukifanya jitihada tunaweza kubadilisha hali hii. Kampuni ya Mwananchi kwa kushirikiana na wadau wengine tumekuja na Farm Clinic kusaidia vipaumbele vya Serikali ikiwemo tafiti,"- Mususa
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema mwaka huu Serikali imetangaza ruzuku ya Sh150 bilioni kwa ajili ya mbolea.
Amesema hayo leo katikauzinduzi wa mkakati kuhimiza kilimo (Farm Clinic) jijini Dar es Salam.
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates
Mwenyekiti wa Bodi ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Leonard Mususa akizungumza katika Uzinduzi wa mkakati kuhimiza kilimo (Farm Clinic) kushirikiana na wadau wengine.
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates
“Sisi tunavyozunguka na kuleta wadau wengi kwa pamoja tuweze kuiweka Tanzania katika msimamo wa hali ya juu kwenye kilimo, tuwe namba one” Mwenyekiti wa Bodi MCL, Leonard Mususa
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates
“Kilimo ni biashara ya uhakika yakudumu, nafikiri tukiwawezesha watu na juhudi zao tutaona mabadiliko makubwa” Mwenyekiti wa Bodi ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Leonard Mususa
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Sitholizwe Mdlalose akizungumza katika Uzinduzi wa mkakati kuhimiza kilimo (Farm Clinic) leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Picha na Sunday
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates

“Kwa kushirikiana na wadau mbalimbali tutakwenda kutafuta suluhisho kwa wakulima na tutakachokuwa tunakitengeneza kitakwenda kwenye application ya mkulima ya Vodacom ambayo inapeleka zile taarifa kwa mkulima”- Bakari Machumu
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates

“Niwakaribishe sana, baada ya hapa tutakuwa tunafanya hizi shughuli mikoani,kama tutasema tunaanza na zao la pamba,tutakwenda mkoa wa Simiyu, tutakwenda kweneye mkoa ambao unazalisha zaidi lile zao”Mkurugenzi wa MCL, Bakari Machumu
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates

Mkurugenzi wa Kampuni ya Mwananchi Communications,@bmachumu akizungumza katika uzinduzi programu mpya iitwayo,‘Farm Clinic’ yenye lengo la kuonana moja kwa moja na kuwajengea uwezo wakulima,ili kufanya shughuli zao kwa ufanisi
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates
Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), leo wanazindua programu mpya iitwayo, ‘Farm Clinic’ yenye lengo la kuonana moja kwa moja na kuwajengea uwezo wakulima, ili kufanya shughuli zao kwa ufanisi.
@VodacomTanzania
#KilimoPesa
#MwananchiUpdates

Last Seen Hashtags on Sotwe
minichat(1)video
Seen from Canada
amateur
Seen from United States
hentai
Seen from Qatar
dboss
Seen from India
pendiktravesti
Seen from Turkey
platre_de_moulage
Seen from United States
anxiouspanda(***)***+filter:native_video
Seen from United Kingdom
anal
Seen from Turkey
incest dad daughter(*********)*********filter:native_video
anxiouspanda
Seen from Brazil
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.6M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers



