Top Tweets for #Kinewsy
#kinewsy x #katarama x #tanroas
✍️ Ila kusemezana ukweli tu, huyu muhaya hii #Game kaikazia. Nikijaribu kuangalia usajili anaoufanya wa #Vyuma x #Madavoo Binafsi ninaweza kusema ni Usajili mkali kuwahi kutokea.
✍️ Kwanza akimhitaji Dereva lazima amng’oe tu! Chuma zake zote zinasukumwa na madereva makini mnoo!
✍️ Ni dhahiri kabisa kwamba jamaa anaitaka Mwanza. Hataki kucheza na Nyani kabisa. Kwa usajili huu kanda ya ziwa wakurugenzi wawe makini mnoo.
✍️ Mzee akileta chuma 2 nyingine hapa😂😂. Kuna kampuni zitapotena. Nitoshe kusema #Katarama anakuja kwa kasi mnoo! Kama serikali haitaingilia kati suala hili #Madragon yatatupa vitaulo😂😂😂

#kinewsy x #tanroas x #Allys #Katarama
✍️ Ninawaibia siri sasa. #DXE la #Kiduku leo litakuwa njia moya na #DWA lake mwenye maajabu yake. Oyaaa ninaiweka #DWA mbele Mwanza hapo kesho.
✍️ Yote yametoka #Dar saa 16:00pm sasa fuateni hilo #DWA muone moto wake. Nasemajee Hili vita bado bichi. Saa hii watuache tuoneshane makali.
✍️ Tuambizane kati ya miamba hawa ni nani atatupa Chuma mbele pale #Mwanza? Binafsi #DWA mbele mnele yao.

#kinewsy x #tanroas x #wakataumeme😂😂
✍️ Babu rudisheni umeme kwanza😂😂.
✍️ #WakataUmeme kwenye mapokezi ya DXE wewe ni nani hautaki kulipokea?
#kinewsy x #tanroas x #Katarama
✍️ Hivi ndugu abiria mnalipendea nini #Katarama sasa😀😀. Yaani chuma zinajaa unaambiwa hakuna hata sehemu ya kuweka mguu.
✍️ Siyo siti tu hata buti hili lidude limejaa asee. Unaambiwa ili usafiri na #Katarama unapaswa kufanya Booking wiki mbili kabla. Yaani ni kama unasafiri na ndege.
✍️ Mkiniletee picha ya #Madragon kama hii basi mimi ninakuwa mnazi wenu rasmi ninaachana na haya madude ya Gharama
✍️ Unaambiwa kila abiria akifika Shekilango anasema nasikia kuna kampuni mpya imekuja inaitwa #DXE. Ninataka Tiketi yake.
✍️ Wenyewe wanasema #DXE lilijaa ndani ya dakika 10 na sekunde nane. Siti zilikuwa zimeisha. Niko hapa nisabiria kuvunja rekodi hii na #Madragon yenu.

#kinewsy x #tanroas x #Allys
✍️ Nioneshe picha yoyote ya Polo #VIP x #VVIP nikuoneshe Suruali, Bukta.
✍️ Wakurugenzi wote Kanda ya ziwa wanajifunza kwa huyu mwamba. Kwangu ninaweza kusema #Aliyeshindikana.
✍️ Ni nani aliwahi kujipima kifua na Ally’s 💫 Star na akapona? Ukiniletea mmoja basi ninaacha #unazi leo.
✍️ Unaambiwa mshindani wa Ally,s 💫 wa leo ni Ally’s 💫 Wa jana. Kiufupi kufukuza hizi ndege, ni moja ya kazi ngumu sana watu wanaamua kufanya.
✍️ Kwangu bado sijamuona mshindani wa hizi #Ndege. Ni mimi mnazi wa “Ally’s 💫.

#kinewsy
✍️ 😂😂😂
@kinewsy Tusikilize maoni kdgo kuhus madereva semi😂
Dereva wa Bodaboda amepewa Bajaji,
Chuma mpya kabisaa usajili namba E na usikute mkataba hajamaliza 🥲
#kinewsy x #ManingNice
✍️ ⚠️Ajali ya Maning Nice pole kampuni na Abiria. Tuendelee kuwa makini na barabara pamoja na Hali hii ya hewa.

#kinewsy x #wanazi x #tutambuane
✍️ Mimi ni mnazi wa #Katarama. Chuma za Gharama. G7 zisizo na mkopo, chuma za maisha, mkataba wa kudumu, spesho oda, polo vichaa, polo zilizo shindikana Tanzania.
✍️ Je! Wewe ni mnazi wa chuma gani? Hebu tamba hapa tufahamiane tumechoma unafiki sasa😂😂.

#kinewsy x #wanazi
✍️ Kwakuwa #lDXE liko njiani kutoka Dar es Salaam uelekeo Mwanza, muda huu linaitafuta Manyoni Singida.
✍️ Basi, sababu ni Spesho Oda, leo tutalipokea Nderemo, Vigelegele na Vifijo. Ngoma kwa mbali na mwisho tutakuwa na msosi pale #KataramaHQ Mwanza.
✍️ Polo litakuwa na Ratiba mbili ya kutoa heshima kwa wanazi wake kwa Dakika tano tano. Kwanza kabisa kituo cha kwanza kitakuwa
▫️ Hungumalwa (Dakika 5)
▫️Shinyanga (Dakika 5)
✍️ Tunawaomba wanazi mkuje na Maji ya kutosha, filimbi, kanga na mikaja kwaajili ya mapokezi.
✍️ Mwisho tutawapa kijiti watu wa #Mwanza kwa taratibu nyingine kuendelea. Katika wakati huu niwaombe #Wanazi wa #Madragon kuwa mapole na watulivu.
✍️ Ulinzi utaimarishwa kwa wanazi wa #Madragon watakao jaribu kuharibu shughuli hii. Tuwaombe tu, wao wasubiria lao lenye mavi walipokee.
✍️ Ahsanteni. Ni mimi “Mnazi wa Katarama”.

#kinewsy x #sauli
✍️ Aisikika fundi mmoja akisema ukitaka kumaliza gari zako basi jaribu kufuata " Jiti 3 Scania T300 DRH".
✍️ Je! unaifahamu Jiti 3 (DRH T300)?, moja ya chuma za Mwekezaji kutoka Nyanda za juu kusini inayofanya maajabu na kuendelea kumuheshimisha Mkurugenzi.
✍️ Sauli ni miongoni mwa wawekezaji waliojichukulia umaarufu mno nyanda za juu kusini kutokana na Bussiness stategies ambazo alijiwekea.
✍️ Kwanza alikuwa na gari chache, zenye uhakika wa safari, ebwana ee na moja lililomfanya kuwa spesho mno ni Time management ya chuma zake zikiwa Road.
✍️ Aliweza kuwakosha watu wa nyanda hizo sababu alifanikiwa kumchallenge mpinzani wake mkubwa na lejendari New Force, Sababu kwanza chuma zake zilikuwa hazikai nyuma ya gari yeyote ile.
✍️ Asee kwanza kulikuwa na hilo chuma wao waliliita "polo Jeuri DXE" kwanza chuma lilikuwa linakwenda Dar 🔄 Tunduma , Chuma lilikuwa linakunwa ipasavyo na halikuwahi kumuangusha mwekezaji.
✍️ Pia kuna hii Jiti 3 (DRH T300). Aliwahi sikika fundi mwenye dhamana na chuma hilo akisema ukitaka kuua chuma yako basi jichanganye kulifuata Jiti 3 (DRH T300). Na kweli nimeshuhudia hilo chuma halifuatwi Barabarani kabisa. Ukisikia limetoka basi ni masaa Daima.
✍️ Ninaweza kusema amekuwa ni mwekezaji anaye waaminisha wawekezaji wengi Scania zikipata wakunaji, mafundi mazuri bila kusahau kibunda ni gari za biashara na za maana sana.
✍️ Ukimuangalia mpaka sasa kiukweli pamoja na changamoto alizopitia lakini bado kwenye suala la time management yuko vizuri. Licha ya NF kuwa na gari nyingi lakini bado anataabika sana kuzifuata chuma za Sauli.
✍️ Wakati hii vita imepamba moto kulikuwa na vigogo kama Imani Plus, Sauli na New Force ambapo wengine walitupa vitaulo hata kabla ya jogoo kuwika. Wakati huu chuma zilikuwa zinatupwa kiasi inafika wakati inabidi zipumzike pahala kusubiria muda ufike wa kuingia na kutoka stand.
✍️ DXE limewaaminisha watu kuwa ni spesho sana na chuma lenye maajabu likiwa chini ya Sauli na kuwavutia watu wengi sana hususani wanazi pengine hata wawekezaji wakiamini ni chuma la maajabu sana ukilinganisha na gari nyingine zote chini ya Scania.
✍️ Hali hii imepelekea Chuma kula mkataba mpya pale KT ambapo wanazi wanangojea ujio wa Polo hilo bila ya kusahau maajabu yake. Je! Litafanya vizuri kama enzi za ujana wake?
✍️ Unaambiwa Nyanda za Juu Kusini, akitokea muwekezaji mzawa basi suala la kupata wanazi si jambo la kujiuliza ambapo sehemu nyingine kwao ni tofauti kabisa, unaweza ukawa muwekezaji mzawa na bado usikubalike.
✍️ Wanazi wanakuambia moja ya vitu vilimfanya Sauli kujizolea kijiji cha wanazi ni suala la yeye kuwa muwekezaji mzawa na hakutaka kuwaangusha wanazi wake kabisaa kiukweli aliwatendea haki.
✍️ Hatujui ni nini kilitokea lakini hata kesho Sauli akileta chuma ninauhakika nafasi ya kupambana na mwekezaji nguli wa nyanda hizo basi ni na guarantee asilimia 100 kabisa.
✍️ Itoshe tu kusema suala la uwekezaji kwenye suala la usafirishaji ni gumu mno, Wanazi hatuna cha kupoteza lakini wakurugenzi ndo watu wanaoumia na kujua uhalisia wa changamoto za biashara.
✍️ Ni mimi Mnazi wa "Sauli".

#kinewsy x #Allys 💫
✍️ Ally’s 💫 ni ndege. Kama unabisha niko hapa njoo na ushahidi kutengua kauli hii!
✍️ Yaani yanapendeza hata kuangalia sio kama hayo madude yenu. Mnalijua 1A Plus? Mkiweka chuma lolote mbele ya hiyo ndege, ninaacha unazi.
✍️ Yanapepea kama karatasi, hasa wakati wa usiku. Binafsi sioni chuma ya kufukuza haya madude. Kaba unabisha fuata hata DNT uone.
✍️ Mkiona tumeleta zenye vyoo, kila baada ya Lisaa moja tutakuwa tunatoa Gari.
✍️ Ni mimi mnazi wa “Ally’s Star”.

#kinewsy x #Mkeka
✍️ Kutoka Mwanza ➡️ Dar es Salaam
✍️ Location #KIBAIGWA
✍️ REPORTER: JR CHIMATU
▫️ Happy Nation ✅
▫️ Happy Nation ✅
▫️ Abood ✅
▫️ Allys star✅
▫️ Katarama ECR 11:08 (saa 4)
▫️ Happy Nation EBV 11:15
▫️ Katarama EBR 11:38 (saa 4)
▫️ Allys star EDW 11:39🔥(saa 6)
▫️ Allys star DVA 11:46🔥(saa 6)
✍️ Mizaha imefumaniwa 😂😂. Uzuri wetu #Allys hatuongei Tunagawa Vichapo tu. Yaani #Polo la saa nne linaliwa na #Dragon la saa Sita?
✍️ Kwenye mechi ya wanaume msituletee vijana. Niliwaambia Round hii tutahakikisha tunaliza hiyo mnaiita mikataba😂😂🙌

@kinewsy FROM LAKE ZONE TO DSM
*📍KIBAIGWA*
*REP:JR CHIMATU*
HAPPY NATION ✅
HAPPY NATION✅
Abood ✅
Allys star✅
Katarama ECR 1108 (saa 4)
HAPPY NATION EBV 1115
Katarama EBR 1138 (saa 4)
Allys star EDW 1139🔥(saa 6)
Allys star DVA 1146🔥(saa 6)
mizahaaaa imefumwa 😂😂
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers




















