Top Tweets for #M9SPORTS
What a catch ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
#cricket #UAEcricket #bestcatch #trendingvideos #Indiansport #india #YouTubeLive #Best_in_Karnataka #M9sports
May Lord Krishna be with you and your family, always! Blessings of Health, Wealth, Love, and Happiness. Happy Janmashtami!
#janmashtami #KrishnaJanmashtami2020
#m9sports

Namungo 1-2 Simba Sc
28' Luis Miquissoneโฝ๏ธ
39' John Boccoโฝ๏ธ
56' Manyama
Fainal Ya Azam Sports Federation Cup.
.
#M9Sports
Mashabiki wa Arsenal wanataka heshima sasa.
.
#M9Sports

Yanga imekamilisha usajili usajili wa aliyekua beki wa polisi Yasin Mustafa kwa mkataba wa miaka miwili.
.
Swali langu ni kwamba Yanga wanasajili kwa matakwa ya mwalimu yupi..? Ni babu Hans au Mexime.?
.
#M9Sports
Safari ya Papy Kabamba Tshishimbi imewadia na huenda Mauya ndio akawa mkono wake wa kwa heri.
.
Zawadi Mauya amesaini kuichezea Yanga kwa misimu miwili ijayo.
.
#M9Sports #M9Transfer
Klabu bingwa ya Tanzania, Simba imeshamalizana na beki wa Lipuli David Kameta.
Taarifa kutoka Simba zinaeleza beki huyo ameingia kandarasi ya miaka miwili ndani ya Simba kwa ajili ya kutia nguvu kwenye safu ya Ulinzi ya Simba.
.
#M9Transfer #M9Sports
Awesu Awesu, Fundi wa Mpira amesaini Azam Fc na kuikacha Yanga.
.
Yanga ilihusishwa sana na usajili wa mchezaji huyu lakini wameambulia patupu.
.
#M9Sports

Jeshi la polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni limethibitisha kumachia mshambuliaji wa klabu ya Yanga Bernard Morrison baada ya kumshikilia kwa muda kiasi na kumuachia jioni hii.
.
#M9Sports
Kuna nyakati za maamuzi magumu, weka hawa mafundi wajenga nyumba moja, Feisal Salum "FeiToto" na Mwamba wa Lusaka Chama.
.
Kwetu sisi burudani ndio inamata.
.
#M9Sports
Klabu ya Bournemouth imekubali ofa ya Pound milioni 41 iliyotumwa na klabu ya Manchester City kwa ajili ya kumsajili beki wa kati wa klabu hiyo Nathan Ake.
.
Wakubwa wanaanza kuchukua vyao kutoka kwa wahanga wa kushuka daraja.
.
#M9Sports
THROW BACK THURSDAY.
.
Tarehe kama ya leo mwaka 1966 Uingereza waliifunga Ujerumani Magharibi katika fainali ya kombe la dunia, huu ulikua ubingwa wa kwanza na wa mwisho kwa Uingereza kwenye kombe la dunia.
.
#M9Sports
THROW BACK THURSDAY.
.
Nikurudishe hadi mwaka 1996 tarehe na mwezi kama wa leo ambapo Newcastle walimsaini Alan Shearer, kilichofuatia baada ya hapo ni kilio kwa makipa.
.
Mechi 405
Magoli 206
.
#M9Sports

Mabingwa wa Italia Juventus wametoa jezi zao mpya watakazotumia msimu wa 2020/21.
.
Mzigo utapatikana @M9Store yaani natamani hata nirudishe nyuma uzinduzi.
.
#M9Sports #M9SportsStore
Ligi kuu nchini England "Premier League" imetambulisha mpira utakaotumika kwa msimu wa mwaka 2020/21.
#M9Sports

Mashabiki 25,000 kushuhudia mchezo wa fainali ya Azam Sports Federation Cup kwa kiingilio cha 10,000 kwa 30,000.
.
#M9Sports
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Arsenal, Unai Emery leo hii ametambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Villarreal inayoshiriki ligi kuu nchini Hispania La Liga.
.
#M9Sports
Juventus imechukua ubingwa wa Serie A mara 9 mfululizo.
.
Bayern imechukua Bundesliga mara 8 mfululizo.
.
Psg imebeba Ligue 1 mara 7 kati ya 8 zilizopita.
Epl kuna mabingwa 5 tofauti katika misimu 8 iliyopita.
Hii inatosha kusema EPL ni ligi ngumu zaidi ulimwenguni.?
#M9Sports
Kuelekea mchezo huo #M9Sports tumeona tukusogezee Derby kubwa 10 duniani kwa mujibu wa mtandao wa Sport Bible.
.
.
1.River Plate vs Bocca Juniors.
https://t.co/qHiwgZLpe1 vs Real Madrid.
3.Celtic vs Rangers.
4.Nacional vs Penarol(Uruguay).
5.Lazio vs Roma(Italy).
Last Seen Hashtags on Sotwe
เธเนเธฒเธ
Seen from Thailand
thfc
Seen from India
putiesposa
Seen from United States
inflatable
Seen from Canada
klimawandel
Seen from United States
tรผrk kฤฑz ifลa
Seen from Turkey
anxiouspanda
Seen from Brazil
incesto
Seen from Brazil
่ธฉ้ธก
Seen from United States
minichat((((((()))))))* filter:native_video
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers

