Top Tweets for #MAALIMSEIF
"Ahsante sana #MaalimSeif. Hakika wewe ulikuwa gwiji la siasa. Hata wale waliokutukana leo wanatamani ungekwenda kwao". Makamu mwenyekiti @ACTwazalendo ndug.@IsmailJussa
#MaalimSeifLegacy

Ahsante sana #MaalimSeif. Hakika wewe ulikuwa gwiji la siasa. Hata wale waliokutukana leo wanatamani ungekwenda kwao.
#MaalimSeifLegacy

Wawili hawa waliondoka, lakini urithi wao unabaki milele.. πΉπΏ
#Kumbukumbu #Magufuli #MaalimSeif

Ni miaka 5 sasa tangu aliyekuwa Mwenyekiti wetu, Maalim Seif Sharif Hamad atanguliye mbele ya haki.
Tunaendelea kuukumbuka uongozi wake na mchango wake katika kukijenga chama chetu.
#MaalimSeif
#ACTWazalendo

#AhadiIliyotimizwa: "Nitakuwa pamoja na nyinyi nikiwa ndani ya Serikali au nje ya Serikali; nitakuwa pamoja na nyinyi nikiwa ndani ya Chama au nje ya Chama." - Maneno ya #MaalimSeif tarehe 27 Disemba, 1987 katika Viwanja vya Tibirinzi, Pemba.
Siku 22 baadaye akaondolewa kwenye nafasi ya Uwaziri Kiongozi wa Zanzibar na miezi 6 baadaye akafukuzwa kwenye Chama. Tokea wakati huo hadi anafariki tarehe 17 Februari, 2021 aliishi kwenye ahadi yake aliyoitoa mwaka 1987 bila ya kuyumba.

Kila jambo lina mwisho wake. Walipora ushindi wa Wazanzibari katika Chaguzi 6 zilizopita na wakamdhulumu #MaalimSeif. Mwaka huu ni mwaka wa kuifikisha mwisho dhulma hiyo.
#TeamZanzibar #TeamACT #TeamMamlakaKamili

#MaalimSeif aliiona hatua ya yeye na wenzake sita kufukuzwa CCM kuwa ni baraka kwake. Na kweli ilikuwa baraka kwake maana heshima aliyojijengea nje ya chama hicho kinachosimamia udhalimu nchini ilikuwa ni kubwa sana kuliko alipokuwa ndani ya chama hicho. #MaalimSeifLegacy
"[Uamuzi wa kutufukuza CCM] ulifanywa mnamo saa 6 usiku, kwenye mkesha wa kuamkia tarehe 27 Ramadhan, ambao Waislamu wanaamini ni usiku mtukufu. Kwa mujibu wa Qur'an, ni usiku wa cheo [Laylatul Qadr], na ukifanya jambo lolote jema kwenye usiku huo, basi huwa ni sawa kama umelifanya kwa miezi elfu moja. Jambo lolote linalotokea kwenye usiku huo ni tukufu, kwa hivyo badala ya kutoka kwenye kikao [kilichotufukuza] tukiwa tumehuzunika, tulikuwa na furaha sana."
Maalim Seif akieleza tukio la kufukuzwa kwao kwenye kitabu cha Race, Revolution and the Struggle for Human Rights in Zanzibar kilichoandikwa na G. Thomas Burgess, uk. 259.
![MSSHFoundation's tweet photo. "[Uamuzi wa kutufukuza CCM] ulifanywa mnamo saa 6 usiku, kwenye mkesha wa kuamkia tarehe 27 Ramadhan, ambao Waislamu wanaamini ni usiku mtukufu. Kwa mujibu wa Qur'an, ni usiku wa cheo [Laylatul Qadr], na ukifanya jambo lolote jema kwenye usiku huo, basi huwa ni sawa kama umelifanya kwa miezi elfu moja. Jambo lolote linalotokea kwenye usiku huo ni tukufu, kwa hivyo badala ya kutoka kwenye kikao [kilichotufukuza] tukiwa tumehuzunika, tulikuwa na furaha sana."
Maalim Seif akieleza tukio la kufukuzwa kwao kwenye kitabu cha Race, Revolution and the Struggle for Human Rights in Zanzibar kilichoandikwa na G. Thomas Burgess, uk. 259.](https://pbs.twimg.com/media/GnBxKKqWwAAStzS.jpg)
#MaalimSeif alikuwa ni alama na nguzo kubwa kwenye siasa za #Zanzibar na #Tanzania. Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu utakuwa uchaguzi wa kwanza tangu kurudishwa mfumo wa vyama vingi vya siasa mwaka 1992 utakaofanyika bila ya kuwepo #MaalimSeif. Unadhani hilo litakuwa na athari ipi?

#MaalimSeif: Waliokudhulumu wanaendelea kudhulumu.

Jambo moja ambalo #MaalimSeif alilipigania kwa dhati na kwa nguvu zake zote katika uhai wake lilikuwa ni kuunganisha nguvu na kuunda #UmojaWaDhati wa vyama makini vya upinzani ili kuikabili na kuiondoa CCM madarakani. Je, unadhani dhamira hiyo inaweza kuendelezwa mwaka huu?

Moja ya mambo yaliyomkera sana #MaalimSeif katika mazungumzo yake na viongozi wa CCM katika kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa migogoro ya kisiasa nchini lilikuwa ni lile aliloliita majadiliano yenye nia mbaya (negotiating in bad faith). Suala hilo amelikemea vikali kupitia kumbukumbu za maisha yake - 'Enduring Trust' - zilizomo kwenye kitabu cha 'Race, Revolution and the Struggle for Human Rights in Zanzibar' kilichochapishwa mwaka 2009. Je, lipo la kujifunza katika hilo nchi inapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025?

Unforgettable Maalim Seif: A legacy of leadership, resilience, and service to Zanzibar and Tanzania. His unwavering dedication will continue to inspire generations. #MaalimSeif #Zanzibar

*Ahadi Iliyotimizwa* ni Diwani ya Mashairi 35 - kazi ya malenga 19 wanaoeleza hisia zao juu ya #MaalimSeif baada ya kifo chake, wakimlilia shujaa wao huyu. Uzinduzi wa Diwani hii ni moja ya matukio yatakayoupamba Mkutano wa 4 wa Kumuenzi Maalim Seif utaofanyika tarehe 15/12/2024.

**Ahadi Iliyotimizwa** ni Diwani ya Mashairi 35 ambayo ni kazi ya malenga 19 wanaoeleza hisia zao juu ya #MaalimSeif baada ya kifo chake. Uzinduzi wa Diwani hii ni moja ya matukio yatakayoupamba Mkutano wa 4 wa Kumuenzi Maalim Seif utakaofanyika tarehe 15 Disemba, 2024.

Ungana nasi katika Mkutano wa 4 wa Kumuenzi #MaalimSeif, gwiji la siasa na alama ya mapambano ya kupigania demokrasia. Video hii inakupitisha kwenye Mikutano ya miaka mitatu iliopita na kukufungulia pazia la maudhui ya mwaka huu. #Usipitwe
#Demokrasia #UchumiWaSoko #Ajira
Ni Jumapili, tarehe 15 Disemba, 2024. Kwa mara nyingine tena, jukwaa la #MaalimSeif litarindima.
Karibu tuzungumzie #Demokrasia #UchumiWaSoko #Ajira #UrithiWaMaalimSeif
Ungana nasi katika Mkutano wa 4 wa Kumuenzi #MaalimSeif, gwiji la siasa na alama ya mapambano ya kupigania demokrasia. Video hii inakupitisha kwenye Mikutano ya miaka mitatu iliopita na kukufungulia pazia la maudhui ya mwaka huu. #Usipitwe
#Demokrasia #UchumiWaSoko #Ajira
Ni Jumapili, tarehe 15 Disemba, 2024. Kwa mara nyingine tena, jukwaa la #MaalimSeif litarindima.
Karibu tuzungumzie #Demokrasia #UchumiWaSoko #Ajira #UrithiWaMaalimSeif
Ungana nasi katika Mkutano wa 4 wa Kumuenzi #MaalimSeif, gwiji la siasa na alama ya mapambano ya kupigania demokrasia. Video hii inakupitisha kwenye Mikutano ya miaka mitatu iliopita na kukufungulia pazia la maudhui ya mwaka huu. #Usipitwe
#Demokrasia #UchumiWaSoko #Ajira
Last Seen Hashtags on Sotwe
BehingTheCamera
Seen from United Arab Emirates
SESIBigBand
Seen from United States
εε€ε±ζ
ε ±γ‘γγ£γ’ε°ιε¦ζ ‘
Seen from United States
sleep incest
Seen from Singapore
λ₯_μ§λ¦Ό
Seen from Korea
desahancewek mommy
Seen from Indonesia
ζιη‘δΈι
Seen from Korea
snapchat
Seen from United States
Ψ³ΩΩΩΩΩΨ³ΩΩiut
depin
Seen from Malaysia
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers






![MSSHFoundation's tweet photo. "[Uamuzi wa kutufukuza CCM] ulifanywa mnamo saa 6 usiku, kwenye mkesha wa kuamkia tarehe 27 Ramadhan, ambao Waislamu wanaamini ni usiku mtukufu. Kwa mujibu wa Qur'an, ni usiku wa cheo [Laylatul Qadr], na ukifanya jambo lolote jema kwenye usiku huo, basi huwa ni sawa kama umelifanya kwa miezi elfu moja. Jambo lolote linalotokea kwenye usiku huo ni tukufu, kwa hivyo badala ya kutoka kwenye kikao [kilichotufukuza] tukiwa tumehuzunika, tulikuwa na furaha sana."
Maalim Seif akieleza tukio la kufukuzwa kwao kwenye kitabu cha Race, Revolution and the Struggle for Human Rights in Zanzibar kilichoandikwa na G. Thomas Burgess, uk. 259.](https://pbs.twimg.com/media/GnBxKKnW4AAWBB5.jpg)


