Top Tweets for #MITHALI
“Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote,Wala usizitegemee akili zako mwenyewe”
#Mithali 3:5
Shalom mtu wa Mungu! Tunatangaza Ijumaa ya leo ikawe ya ishara, miujiza na maajabu. Huhitaji kuwa na majibu yote ili kumtumaini Mungu. Akuongoze katika yale unayoyaelewa na usiyoyaelewa leo!
“Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema.”
#Mithali 28:13
Usiendelee kubeba mzigo wa dhambi kwa kuuficha. Mrudie Mungu kwa moyo wa toba; ziungame dhambi zako na uziache. Rehema zake zinakungoja!

“Mtu wa haki huenenda katika ukamilifu wake.”
#Mithali 20:7
Chagua uaminifu hata kama njia ya mkato inaonekana rahisi. Nakuombea moyo thabiti wa kutenda haki katika kazi na biashara yako!
“Utakapolala, hutaona hofu; naam, utalala na usingizi wako utakuwa mtamu.” #Mithali 3:24
Mwana wa Mungu,
Usiku huu Ninatangaza utulivu juu ya mawazo yako! Hukupewa roho ya hofu. Bwana akuondolee hofu na akujalie kupumzika salama usiku huu, katika jina la Yesu!
"Usiharakishe kufanya kuhukumu, kwa kile ulichokishuhudia. Maana utafanya nini mwishoni, wakati jirani yako atakapokuaibisha?"
#Mithali 25:7
“Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema.”
#Mithali 28:13

#Mithali 24:16
"Kwa maana mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena."
Usipime maisha yako kwa idadi ya mara ngapi umeanguka, bali yapime maisha kwa neema ya Mungu inayokuwezesha kusimama tena.
“Utakapolala, hutaona hofu; naam, utalala na usingizi wako utakuwa mtamu.”
#Mithali 3:24
Ninatangaza utulivu juu ya moyo wako! Hofu isikutawale; upumzike salama katika uangalizi wa Mungu, katika jina la Yesu!
#Mithali 29:25
"Kuwaogopa wanadamu huleta mtego; Bali amtumainiye Bwana atakuwa salama."
#Mithali 12:13
"Katika kosa la midomo kuna mtego kwa mbaya; Bali mwenye haki atatoka katika taabu."
Last Seen Hashtags on Sotwe
cabinasdela63
Seen from Colombia
cousin fuck
Seen from India
شو_رح_تسمي_أبنك
Seen from United States
指奸
Seen from Netherlands
creepshot #cuckson #milf
Seen from Egypt
Foursome
Seen from Oman
brotheragem
Seen from Brazil
anime peeing
Seen from Germany
minichat() or anxiouspanda() or MGAI() ++++++++++++++filter:native_video
Seen from United States
abla kardeş
Seen from Turkey
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers

