Top Tweets for #Mkiru
Kumbukumbu 3 muhimu kuhusu Afande Sirro
1. #MKIRU
2. #WatuWasiojulikana
3. Uzalendo uliotukuka kwa yeye na CDF mstaafu Jenerali Mabeyo kuhakikisha Katiba inaheshimiwa katika kuhamisha madaraka kwa Mama @SuluhuSamia kufuatia kifo cha JPM
Unfortunately, huwezi kusoma haya popote
Jeshi la Polisi Tanzania limemuaga rasmi aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Mstaafu Balozi Simon Nyakoro Sirro, tarehe 10 Mei 2023 baada ya kustaafu Utumishi ndani ya Jeshi la Polisi kwa mujibu wa sheria mwezi Machi 2023.
Sherehe za kumuaga IGP Mstaafu Balozi Simon Nyakoro Sirro zimefanyika katika Chuo cha
Taaluma ya Polisi Dares Salaam (DPA) kilichopo Kurasini Jijini Dar es salaam kwa gwaride maalum la kumuaga ikiwa ni utaratibu wa Jeshi la Polisi kuwaaga kwa gwaride maalum Viongozi wa Polisi waliofikia cheo cha Kamishna wa Polisi na Inspekta Jenerali wa Polisi.
Sirro ameagwa kwa kukagua gwaride la heshima pamoja na gwaride kuchora umbo la Omega kuonesha mwisho wa Utumishi wake.
Polisi imesema IGP Mstaafu Balozi Simon Nyakoro Sirro amelitumika Jeshi la Polisi kwa miaka 30 tangu tarehe 19 Februari 1993 alipojiunga rasmi hadi kustaafu mwezi Machi, 2023 na ni Mkuu wa Jeshi la Polisi wa 10 kuliongoza Jeshi la Polisi tangu uhuru na ameliongoza kuanzia tarehe 28 Mei 2017 hadi tarehe 20 Julai 2022 na kupata mafanikio makubwa kwenye mapambano dhidi ya uhalifu na Wahalifu ikiwemo kukomesha vitendo vya mauaji yaliyokuwa yakitokea Wilayani Kibiti na maeneo mengine pamoja na kupunguza uhalifu nchini.
Wakuu wa Jeshi la Polisi waliomtangulia ni IGP Mstaafu Elangwa Shaidi ambaye ni IGP wa kwanza tangu uhuru aliyeliongoza Jeshi La Polisi Tanzania kuanzia mwaka 1964 hadi mwaka 1970, IGP mstaafu Hamza Azizi (1970 - 1973), IGP mstaafu Samweli Pundugu (1973 - 1975), IGP Mstaafu Philemon Maya (1975 - 1980), IGP Mstaafu Solomon Liani (1980 - 1984), IGP Mstaafu Harun Mahundi (1984 - 1996) IGP Mstaafu Omari Mahita (1996 - 2006), IGP Mstaafu Saidi Mwema (2006 - 2013) na IGP Mstaafu Ernest Mangu (2013 - 2017).
#MillardAyoUPDATES

@amour_maryam naomba/nahitaji kutumia kila kisa cha mwalimu mwandishi wa #MKIRU kwenye mjadala huu, shukrani...


This still troubles me, but again virtually everything Tanzanian is troubling. I just hope, when the honeymoon is over, the "campaigners" will have audacity to demand Dr Hoseah seek justice for #AzoryGwanda, #BenSaanane, #MKIRU, etc.

#MKIRU Killings: Analysis of Competing Hypotheses (ACH) https://t.co/r9DxT4jdhO

Holding Magufuli accountable: What exactly happened at #MKIRU (Mkuranga, Kibiti and Rufiji) in 2017?
๐ Mkiru Matrix Drawn Down

Evil legacy: Some of Magufuli's victims. Many more remain unaccounted for. And there are 1000s of innocent people languishing in various prisons in Tanzania. Mama @SuluhuSamia must make sure this never happens again
#WhereIsAzory
#Akwilina
#MamaErickKabendera
#MKIRU

Kama nilivyokuwa nikitanabaisha mara kadhaa, hakuna incentive kwa Jiwe kubadilika. Kwa mfano, kama he managed to get away kwenye mauaji ya #MKIRU where 100s were butchered, nini kingemzuwia "kumshughulikia" marehemu Leopold Lwajabe, aliyetekwa, akateswa, akabakwa kisha akanyongwa

I think one of civic duties as Tanzanians is for each and everyone of us to turn sleuths of sorts, and find answer to this burning question: "just how many people have been killed since 2015 when @MagufuliJP got into power." We could as well start with #MKIRU. Over to you, folks!
Either @MagufuliJP is exceedingly lucky to avoid being reported to @IntlCrimCourt following the #MKIRU massacre or Tanzanians are useless when it comes to demanding justice. But it not only sets bad precedent but also gives the tyrant incentive to pursue his authoritarian agenda

Miongoni mwa mashtaka hayo ni
๐ Mpango wa kumuua Rais Tundu Lissu Septemba 2017
๐ Kuanzisha genge la maharamia la #WatuWasiojulikana
๐ Matumizi mabaya ya fedha za umma ikiwa ni pamoja na kujijengea uwanja wa ndege Chato
๐ Mauaji #MKIRU
๐ #WhereIsAzory + Ben Saanane
@MagufuliJP is quite lucky. To-date
๐ He hasn't told Tanzanians how many people were murdered at #MKIRU
๐ Hasn't said how many Tanzanians died of COVID-19 (it's estimated to be over 500)
๐ Hasn't offered explanation re: "lost" trillions of Tsh, which led to ex-CAG Assad's boot
@MagufuliJP ana bahati sana.
๐Hadi leo Watanzania hawajawahi kushinikiza kuambiwa watu wangapi waliuawa #MKIRU
๐ Hadi leo Watanzania hawajashinimiza kuambiwa KORONA iliua watu wangapi.
๐ Mpaka leo hajawaambia Watanzania kuhusu wizi wa matrilioni ulioripotiwa na CAG Assad

Nadhani nikiwaambia ndugu zangu Waislamu kuwa adui yao mkubwa ni wao wenyewe haitonifarakanisha nao. Hii ishu ya shule za Kiislamu kuchomwa mto ni #MKIRU 2.0
Kwa vile hii ndio fursa pekee ya kumkosoa @MagufuliJP hadharani, nawasihi wanasiasa wa upinzani "wa kweli" (ie @ACTwazalendo na @ChademaTz) wawahamasishe Watanzania ambao ndugu, jamaa, rafiki zao ni wahanga wa siasa za chuki za Magufuli. Kwa mfano, Watz wangapi waliuawa #MKIRU?
Ndugu yangu wewe mtu smati, usiongee kama kada. Kama wameweza "kuzima" uhai wa Kamanda Mawazo, Ben Saanane, Azory, Diwani Luena, 100s huko #MKIRU, na "kuzima" print+electronic media (except mapambio), na kujaribu kumuua Lissu YET WANANCHI DID NOTHING, kipi kigumu kwa mtandao?
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.3M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.3M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.1M followers

X 
@x
60.8M followers







