Top Tweets for #Mteule
Be blessed too
#afisamichoro
#afisamazingira
#afisaujenzi
Katika ulimwengu wa namba
Mimi ni 026 | code namba ya LIFE
Ukisikia #mteule ndiyo mimi sasa
Je wewe unajijua?
@Adventure_36 @bajabiri
@ElonMusk_tez @elonmusk
@AM_NIC3 @anuskills3 @MiriamMkanaka @bonifacejoseph_

Mohamed Bajaber ni mchezaji ambaye anakipaji kikubwa sana na matumizi makubwa ya akili anakuja kuongeza ubunifu kwenye eneo la Ushambuliaji la Simba ,isingekuwa majeraha wanasimba wangeshaanza kuona ufundi wake .
Sasa amepona na tayari ameanza mazoezi na wenzake.
#MTEULE

Unaambiwa baada ya dube kunyoa kipara atafunga sana mabao ya kila aina na shughuli ataianza jumamosi dhidi ya Wamalawi Silver Strikers anaenda kuivusha Yanga na kuipeleka makundi.
#MTEULE

Kwa mujibu wa wa kanuni ya 41 (21) adhabu ya Kosa alilofanya Bacca ni kukosa michezo isiyopungua 5 au kufungiwa miezi 3 hadi mwaka 1 na faini ya TSH million 1.
Sasa kama hamtaki adhabu ya kukosa michezo 5 mlitaka afungiwe miezi 3 hadi mwaka 1 ?
#MTEULE

Goli la Simba Queens msimu ujao litakuwa salama chini ya Ruth Aturo 🧤 kutoka nchini Uganda 🇺🇬 ,Golikipa mkubwa amejiunga na timu kubwa.
#MTEULE

Kaizer Chiefs kwenye ligi kuu Afrika Kusini msimu huu;
Michezo 5
Ushindi 4
Sare 1
Vipogo 0
Mabao ya kufunga 5
Mabao ya kuruhusu 0
Alama 13
Nafasi ya 2 kwenye msimamo
Mashabiki wa Kaizer Chiefs wanasema huu ni msimu wao wa kushinda ubingwa wa Ligi tangu mwaka 2015.
#MTEULE

Asha Mwalala baada ya kuitumikia Simba Queens kwa muda mrefu hatimaye mwishoni mwa msimu uliopita akaachwa rasmi .
Asha Mwalala ameibukia JKT Queens mabingwa wa ligi ya wanawake Tanzania msimu 2024-2025, Asha Yupo kambini mjini Moshi kwaajiri ya michuano ya CECAFA.
#MTEULE

Opa Clement ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa klabu ya SD Eibar ya ligi kuu wanawake nchini Hispania.
Opa anakuwa Mtanzania wa kwanza kucheza Ligi Kuu Hispania.
#MTEULE

Siku kubwa leo kwenye soka la Afrika kusini kushuhudia moja ya mechi kubwa ya ligi, Kaizer Chiefs dhidi ya Mamelod Sundown mchezo utakaopigwa kwenye dimba la FNB uwanja wa Nyumbani wa Kaizer Chiefs.
Mchezo unapigwa leo saa 2 usiku
#MTEULE

Baada ya Precious Christopher leo ni zamu ya kiungo Riticia Nabossa kutambulishwa na klabu ya Yanga Princess .
Riticia Nabossa misimu miwili iliyopita amecheza Simba Queens na alijiunga na Simba akitokea Fountain Gate Princess.
#MTEULE

Rasmi Precious Christopher amerejea Yanga Princess, msimu uliopita aliondoka Yanga Princess na kujiunga na Simba Queens ambapo amedumu kwa msimu mmoja.
Hatimaye amerudi nyumbani timu iliyomtambulisha kwenye soka la wanawake Tanzania,hapa Yanga Princess wamepata mali .
#MTEULE

Anaitwa Aisha Masaka nyota wa klabu ya wanawake ya Brighton ya England 🏴 ,ndie mchezaji anayeongoza kuwaongezea engagement klabu Brighton kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu ya mvuto wake.
Vitu kama hivi unavipata Tanzania tu.
#MTEULE

Yani kabla ya mechi hawa wakenya wanatutambia hivi ikitokea tunafungwa itakuwaje,wachezaji msituangushe tukate haka kamdomo.
#MTEULE
Washambuliaji wa Simba SC msimu huu;
Jonathan Sowah
Seleman Mwalimu
Steve Mukwala
Kama kila kitu kikienda sawa Simba itakuwa na safu ya Ushambuliaji bora sana na hatari hapo akianza yeyote moto upo pale pale.
#MTEULE

Salum Kihimbwa namba kumi bora Tanzania mwenye kipaji kikubwa kuliko wachezaji wote wazawa wanaocheza nafasi hiyo ila ndio hivyo hana bahati.
#MTEULE

“Nina furaha kuwa hapa, kuwa Azam, najisikia nipo nyumbani. Nitafanya kadri niwezavyo kuwafanya mashabiki wa Azam wawe na furaha”
Maneno ya kiungo wa zamani wa Simba Sadio Kanoute, alipozungumza baada ya kuwasili Dar es Salaam mapema leo kujiunga na Azam FC.
#MTEULE

𝐂𝐇𝐀𝐍 2024
Kwa mara kwanza kwenye historia Tanzania 🇹🇿 inafuzu hatua ya robo fainali ya CHAN tangu ianzishwe mwaka 2009 tena kwa kushinda michezo yote hadi sasa.
Tanzania 🇹🇿 ndio timu ya kwanza kufuzu robo fainali ya CHAN2024, aje Kenya sasa
#MTEULE

Simba SC ya Tanzania 🇹🇿 na Mamelod Sundown ya Afrika Kusini ndio timu pekee kutoka kusini mwa jangwa la Sahara ambazo zipo kwenye timu 10 bora kwa mujibu wa viwango vya CAF .
#MTEULE

𝐂𝐇𝐀𝐍 2024
⚽️🇩🇿 Algeria 🆚 Afrika Kusini🇿🇦
🧭11:00 jioni
⚽️🇬🇳Guinea 🆚 🇺🇬Uganda
🧭2:00 usiku
#TotalEnergiesCHAN2024 𝐏𝐀𝐌𝐎𝐉𝐀
#MTEULE

Ibrahim Abdallah Hamad maarufu kama Ibrahim Bacca" hakuna timu barani Afrika ambayo hawezi cheza,kwa sasa ni moja mabeki wa daraja la juu Afrika ,angekuwa mshambuliaji ofa za kwenda nje zingekuwa nyingi sana ila ndio hivyo sasa mabeki soko lao sio kubwa sana.
#MTEULE

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.3M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.6M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.6M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.6M followers


