Top Tweets for #PRAYFORKARIAKOO
#VNEWS Rais Dkt.@SuluhuSamia Amemuagiza Waziri Mkuu, Mheshimiwa.Kassim Majaliwa Kuongeza Saa 24 Katika Zoezi La Uokoaji Kwenye Maafa Yaliyotokea Kariakoo November 16,2024 Majira Ya Saa 3 Asubuhi.
.
#PrayForKariakoo🙏🏽
.
#ChannelVUpdates
#V-News
#HabarikaKilaWakati

Baadae utasikia watu wakisema TUNAMSHUKURU RAIS KWA KUONGEZA MUDA WA UOKOAJI KWA SAA 24. Hii ndo TZ 🙌
Kwani walipanga kusitisha zoezi baada ya saa 72 wakati bado kwenye vifusi kuna watu? Zoezi la uokoaji litakoma lenyewe pale wote watakapookolewa #PrayForKariakoo
@DullahTheking2 Mapenzi mapenzi mapenzi/
🚔🚔🚔🚔🚔🚔🚔🚔🚔🚔
Utamu sometimes ni ushenzi/
Kadanga kajiona mnyamwezi/
Mtombweni kaamsha mtombezi/
Ahhh kombi nenga , mwrudia ..
#prayforkariakoo
SIKU KAMA YA LEO.
🦅Mwaka 1969, Msakata kabumbu M’Brazil, Edson Arantes do Nascimento almaarufu, “Pelé” alifunga bao lake la 1000 katika mchezo wake dhidi Vasco da Gama, uliopigwa pale Maracana Stadium, huko Rio de Janeiro.
#SikuKamaYaLeo #PrayForKariakoo

The first international news outlet I’ve seen cover our tragedy. Thank you @AJEnglish. #PrayForKariakoo.
Rescue workers continue to search for survivors two days after a 4-storey building collapsed in Tanzania's Dar-es-Salaam, killing at least 13 people.
Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama Kwa kushirikiana na waokoaji wote wamefanya kazi yao Kwa nguvu,maarifa na moyo wao wote. Tuendelee kuwaombea waliotangulia na kuwafariji wenzetu. Tanzania inahuzuni,
Kwa Pamoja tutasimama tena.
#PrayForKariakoo
#KamusiHalisi #KamusiYaMaendeleo

Afya njema na iwe kwao walionasa kwenye kifusi na wanaoendelea na matibabu.
Timu ya uokoaji Mungu awawezeshe na kuwatunza katika harakati za kuokoa wenzetu.
RIP kwa waliofariki💔.
#PrayForKariakoo

Tunawaombea wote walioathiriwa na Ajali ya kariakoo. Na wote waliopoteza uhai wapumzike kwa Amani.
#PrayForKariakoo
#AfyayaAkiliniAfya

Bodi ya ushauri, menejimenti na watumishi wote wa Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili @mirembe_hospitaltz inatoa pole kwa wanafamilia na watanzania wote waliofikwa na janga la kuanguka kwa ghorofa ya biashara Kariakoo, Dar es Salaam.
#prayforkariakoo
#prayforkariakoo💔

#PrayForKariakoo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kukamatwa kwa Mjasiriamali wa Mitandaoni anayefahamika kwa jina la Niffer kutokana na kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia waathirika wa janga la kuporomoka ghorofa Kariakoo bila kibali.

Roho za Marehemu wote waliofariki kwenye Tukio la Kariakoo zipumzike kwa amani 🙏
Na wale ambao bado hawajapatikana Allah azidi kufanya wepesi waweze kupatikana wakiwa hai ..
#PrayForKariakoo

T500 EGU maarufu kama KING SELEMAN
SELEMAN huyu ni babaake mdogo mkurugenzi Mallessa's kwa heshima jina lake lipo ukutani apo kwenye EGU ❤️✨💯
Tusisahau kuwaombea faraja ndugu jamaa na marafiki walioathirika huko kariakoo
#PrayForKariakoo

We are deeply saddened by the tragic building collapse in Kariakoo, Dar es Salaam. Our thoughts are with the Government, affected families, and the people of Tanzania. We send hope and prayers as rescue efforts continue. #Solidarity #Resilience #PrayForKariakoo

Last Seen Hashtags on Sotwe
nsfwlesbian
Seen from United States
minichatt
Seen from United States
WATAA
Seen from United States
anxiouspandaa
Seen from Switzerland
moancowokkasar
Seen from Malaysia
阴囊注水
Seen from United States
大鸡巴
Seen from United States
สาวแก่
counterintelligence
Seen from United States
BennyBBC
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers
























