Top Tweets for #Pjsweya
Uchambuzi wa @SamSasali pamoja na #pjsweya juu ya RPC kuhamishwa na kupelekwa makao makuu, je kupelekwa makao makuu ni sehemu ya adhabu?
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba
Kwenye #Clouds360 @SamSasali #pjsweya na @jamestupatupa_ wanabishana kama ni sawa kwa kiongozi wa dini kuingia kwenye siasa. Nini maoni yako?
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba

Baada ya kumsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu akilalamika kuwa kuna gari linamfuatafuata, @SamSasali anauliza nani anamfuatilia Tundu Lissu?
Na #pjsweya anasema hata ingekuwa ni wewe unaona kuna gari inakufuatilia lazima uwe na wasiwasi ila kwanini wanamfuatilia? Kwa minajili gani?
Nani wanamfuatilia Tundu Lissu? Na kwa nini?
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba

Mwanachuo unaemiliki iPhone ukimaliza chuo unataka mshahara wa kuanzia uwe Tsh ngapi?
#pjsweya anauliza "Kuna mwanachuo anamiliki simu ya milioni 3 kutoka kwa sponsor. Huyu akimaliza chuo atakubali kufanya kazi alipwe 500,000 au 700,000?"
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba

Kwenye #Clouds360 #pjsweya anasema kuna watu wanapata fedha kwa njia zisizosahihi lakini cha kwanza kwa umuhimu si fedha ila kazi.
Kwako nini cha kwanza kwa umuhimu?
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba

Tangu ateuliwe kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kwa mara ya kwanza anakuja kukalia kiti cha Clouds 360, hapa Kitimoto kitawekwa na @KijahYunus , #pjsweya na @SamSasali.
Unafikiri una Swali kwa Prof. Kitila Mkumbo? Comment yako itasomwa live kwenye #Clouds360 ya Clouds Tv, na itakuwa live kwenye YouTube ya Clouds Media.

"Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania walishatoa angalizo kuwa kuna uwezekano wa mvua kubwa kuja na mafuriko yakatokea, Je hakukuwa na chochote kinachoweza kufanyika ili kusiwe na mafuriko?" - #pjsweya
"Mji huu Dar-es-Salaam ndio mji wa biashara, na makao makuu ya nchi yamehamishiwa Dodoma sasa nawaza ingekuwa China jana barabara ya Jangwani ingefungwa kwa sababu ya mafuriko? Inamaana hakuna kinachoweza kufanyika ili hata mvua ikitokea barabara isifungwe?" - @SamSasali
Nini kifanyike kumaliza changamoto hii ya mafuriko Jangwani?
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba

Kwa mujibu wa gazeti la Nipashe, Utafiti unaonyesha asilimia 15 ya wanawake walioolewa wana wake wenzao.
Vipi mpenzi wako ni mwaminifu?
Cc; @jamestupatupa_ #pjsweya
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba

"Kuna mstari mwembamba sana kati ya nidhamu na uoga. Unaweza kuwa na uoga lakini usiwe na nidhamu" - #pjsweya
Nini tofauti kati ya nidhamu na uoga?
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba

Ulishawahi kutapeliwa shamba au kiwanja? Ilikuwaje?
Leo tuko na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa. Weka changamoto yako hapa atupatie uvumbuzi.
Cc; @KijahYunus @SamSasali #pjsweya @jamestupatupa_
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba

Nini kifanyike kukomesha kabisa ajali za moto katika Soko la Kariakoo?
Cc; @SamSasali #pjsweya
@KijahYunus
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba

"Wataalamu waonya popo hatarini kupotea. Yaani tunapoelekea popo wanaenda kupotea yaani ni viumbe ambavyo itafika mahali watapotea kabisa" - @SamSasali akisoma habari kutoka gazetini
"Lakini kwani Popo ana manufaa gani na sisi?" - #pjsweya akaulizaπ€
Imani gani unayo au uliisikia kuhusu popo?
#RegionalBreakfastIringa
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba

Kisa kilichomtokea #pjsweya kimewahi kukukuta?
Mtag mshikaji wako mmoja ambae simu yake huwezi kupotezea.
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba
Baada ya vikao vya bunge la kitaifa kukamilika, sasa ni zamu ya bunge la 360 kufikisha Ajenda zao za kitaifa, na Spika wetu ni yuleyule Dr. Tulia Ackson.
Hiki ni kikao kitakachokusisha wabunge wa Bunge360 akiwepo @SamSasali #pjsweya na @KijahYunus wakihakikisha Ajenda zote za walaji wao zikiufikia muhimili jumatano hii, kuanzia saa 12 mpaka saa 4 asubuhi.
Ni Bunge360 na Spika Tulia Ackson Live kwenye Clouds 360 ya Clouds TV pamoja na YouTube ya Clouds Media.

π€£π€£π€£ Finally @KijahYunus akaamua kuwauliza @SamSasali na #pjsweya kwanini wanaume hawapendi kupaka mafuta?
Embu na wewe tusaidie majibu π€£π€£
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba
Tangu awe Rais, hii ni ziara ya kwanza ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa mikoa ya Lindi na Mtwara, unafikiri ujio wake kwa mikoa hiyo ni fursa gani wanaweza kupata wananchi wa mikoa ya kusini hususani Lindi na Mtwara?
Cc; #pjsweya @KijahYunus @SamSasali
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba

Kwa namna mapenzi yanavyomtesa Thomas kwenye Juakali, ushauri gani unao kwa ajili yake na @KijahYunus atausoma live kwenye #Clouds360
Leo tutakuwa live na Muigizaji @Senatormsungu kwenye #Clouds360. Tuwe pamoja mpaka saa 4:00 asubuhi
Cc; @SamSasali #pjsweya
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba

Kwa hapa nyumbani Tanzania, Mchekeshaji yupi unamkubali zaidi?
Karibu kwenye #Clouds360 ya #CloudsTv
Cc; #pjsweya @KijahYunus @SamSasali

Mjadala #Clouds360
Je ni sawa kwa viongozi wa dini kama Askofu, Padri, Mufti, Mchungaji, Shehe n.k kushiriki katika majukwaa ya kisiasa?
Cc; @KijahYunus @SamSasali #pjsweya
#LiveOnClouds360

Mjadala;
@KijahYunus anasema baadhi ya wanawake wanaingia kwenye ndoa kutafuta utajiri au mali na ndio maana wakikaa miezi miwili ugomvi kidogo wanaachana na swala la kugawana mali linaibuka.
Nini maoni na mchango wako katika hili?
Cc; #pjsweya @SamSasali
#LiveOnClouds360

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers
