Top Tweets for #QUEENOFSPORTS

Leo katika uwanja wa KMC Complex itachezwa mechi ya Hisani kati ya timu Frida Aman na timi Aisha Masaka, nitakua kocha msaidizi wa timu Frida Amani tukiwabagaza timu Aisha π
Tukutane uwanja wa KMC Complex kuzia saa nane mchana.
@FridaAmani @aishamagoal_10
#QueenofSports

Leo ni siku mpya, nafasi mpya ya kujaribu na wakati mwingine wa kupambana.
Mungu anafahamu kuwa upo pale unasubiri, Endelea kungoja kwa matumaini.. Kilele kimekaribia, Tabasamu!
Pichani with my Dadas Husna Abdul na Captain Specioza Rweyemamu.
#QueenofSports

Kampuni ya #swalaaircargo imezindua huduma ya Chaap chaap, yaani #Tumaleopokealeo huduma ya haraka kuagiza nakupokea mzigo kutoka Dubai, China na India. unasubiri nini? kwa maelezo zaidi kariu katika inbox yangu tuyajenge.
#QueenofSports #wakaliwaanga

Mungu atupe kibali cha kufanyika baraka kwenye maisha ya wengine.
Happy wikiend FAM π
#QueenofSports
#KigomaGirl

#Kazinikwangu #ligikuutanzaniabara
Full time: Simba SC 3-0 Namungo FC
Kapombe β5 β½οΈ
Jean Ahoua β33β½οΈ
Mavambo β½οΈ
#QueenofSports #Sportaxtra
#Kazinikwangu kutoka Chamazi
Yanga SC 2-0 Jkt Tanzania
Pacome 23β β½οΈ
Chama 44β β½οΈ
#QueenofSports #Sportsxtra
Dominika ya 29
Salaa yangu na ikae mbele yako kama Moshi wa Ubani.
#QueenOfsports

Kipa la boli , half Tanzania πΉπΏ half Mali π²π±
umekuwa utaratibu sasa kwa wachezaji wa kigeni kuipenda sana TANZANIA kama nchi zao. golikipa Djigui Diarra akiwakilisha timu yake ya taifa huku groves zake zikiwa na bendera mbili. Tanzania pamoja na Mali.
#Queenofsports

#OCTOBER mwezi wa Rozali Takatifu, ni mwezi wa kuchota Neema za Mama yetu Bikira Maria...hima Wakatoliki tuvune Neema hizi kwa kusali kila siku.
#QueenOfsports

Dominika ya 26
Mlinde aliye nyuma yako na umheshimu aliye kando yako
#QueenOfSports

Habariiiii watu wangu.. rasmi katibuni ofisi za #swalaaircargo kwa huduma bora za usafirishaji wa mizigo kwa njia ya Anga na Meli..
#QueenofSports
Ofisini kwetu #swalaaircargo na mabosi zangu
Karibu #swalaaircargo tukusafirishie mzigo wako kwa njia ya Anga kutoka CHINA, DUBAI na INDIA kwa siku 3 tu
#QueenOfSports

Je kuna nchi yeyote Duniani unatamani kwenda na haujui unafikaje? basi subiri kidogo sana hata mimi nimepata muarobaini
Pichani na kaka yangu Hilal Hussein Mkurugenzi wa #Thetravellerstz kampuni ya uwakala wa kusafiri kote ulimwenguni ( Traveling agency) π
#QueenofSports

Aiiii wenaaaaa
Full time: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli
Simba SC imefuzua hatau ya makundi katika michuano ya kombe la shirikisho barani afrikaaa
15 Milion ya goli la mama π
Kazini kwanguu π₯° tukutane kwenye #SPORTXTRA ya @CloudsMediaLive saa tatu usiku
#QueenofSports

Wakati tunafuatilia taarifa za wananchi kule Pemba mwanetu FARHAN ametusogeze mkeka wa wikiend , msikilize kwa umakini sana legend afu sogea PMBET tukae ka watu ππ
#QueenofSports
Asanteni kwa kutualika WANAMANGUSHI ( mtoto kautaka) π
Full time - Costal Union 0-1 Mashuja FC
Crispin Ngusi 14β β½οΈ
Taarifa zaidi nitaripoti kupitia #Sportsxtra ya @cloudsfmtz saa tatu usiku
#KigomaGirl #QueenofSports

Hakuna aliefika , wote tuna nafasi yakukua na kwa yeyote aliekukatia tamaa pambana hadi akusogelee tena.
π€π€
#QueenofSports #KigomaGirl

Last Seen Hashtags on Sotwe
thekccastory
Seen from United States
snapchat()()*()()**************************** filter:native_video
Seen from France
feetdomina
Seen from France
hellokitty #nsfw
Seen from Indonesia
aunty
Seen from Singapore
amazonbarbie
Seen from United States
anxiouspanda(**(**)**)filter:videos
Seen from United States
anxiouspanda
Seen from Turkey
γ€γ°γθ
Seen from Japan
minichat()()()() + filter:native_video
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers





























