Top Tweets for #RADIO47
What's On: Eric Omondi awaomba Wakenya kumchangia Georgina Njenga baada ya kuingia kwenye changamoto ya mihadarati.
Je, unaweza kumchangia mtu aliyejiingiza mwenyewe kwenye matumizi ya mihadarati? π€
#SatoVibe #HapaNdipo #Radio47
Dibaji za Wallah Bin Wallah:
1. Ogopa mtu anayetembea uchi.
2. Usiamini mawazo yasiyoeleweka.
3. Ngoma inayochezwa na wengi kwa shangwe ndiyo inayoshinda.
4. Upepo unapobadilika, hubadilisha mambo.
5. Ni vigumu kujenga kitu kipya kwenye kitu kilichochakaa.
#Radio47

ποΈ NIKO LIVE! 5AMποΈon Sabato Yako, @Radio47_Kenya
ποΈ October 3, 2026
β° 5:00 AM To God be the Glory
Tune In ... Join In π₯
#SabatoYako #Radio47 #LiveOnAir #TuneIn #Kenya π»β¨ π #TheCeatorSpeaks #4thquarter2026 #GiftOfProphecy #biblestudy #God #sabbathschool #SDALesson1

ποΈ LIVE! 5AMποΈ
For God..
Tupatane on Sabato Yako, @Radio47_Kenya
ποΈ October 3, 2026
β° 5:00 AM
Don't miss it! π₯
#SabatoYako #Radio47 #LiveOnAir #TuneIn #Kenya #TheCeatorSpeaks #4thquarter2026 #GiftOfProphecy #biblestudy #God #sabbathschool #SDALesson1 #SabbathSchoolLesson

@EvahMwalili @Radio47_Kenya MUNGU AMEIFANYA SIKU INAPENDEZA, Taita, Voi
#NuruNaEVaMwalili
#Radio47
#HapaNdipo
@EvahMwalili
Gumzo na Mchungaji....
Karibu kwa mafunzo ya Pastor @bonfacemakanda ambapo anafunza jinsi ya kutayarisha moyo wako kwa breakthrough. Andika notes!
@EvahMwalili #Nuru47Jumapili #HapaNdipo #Radio47

#WakatiWaMaombi
GOD CARES!
1 Petero 5:7....Mwekeeni yeye fadhaa zenu zote kwa maana yeye hujishughulisha sana na mambo yenu.Cast all your anxiety on him because He cares for you. Jumapili hii lete hio hofu mbele za Bwana because He cares.
#Nuru47Jumapili #HapaNdipo #Radio47

Karibisho la Ibada...
Unashiriki ibada wapi Mwana Ligi? Hebu nikuulize, sababu yako ya kwenda church ni gani
@EvahMwalili
#Nuru47Jumapili #HapaNdipo #Radio47

Kumekucha, Bwana Yesu asifiwe sana Mwana Ligi, Jumapili ya baraka, ibada ndio hii. Karibu kwa uncompromised, undiluted gospel, hapa ndipo!
@EvahMwalili
#Nuru47Jumapili #HapaNdipo #Radio47

Jumamosi adhimu zaidi! Karibu kwenye kipindi sheshe cha #BahariYaElimu naye @alikauleni, Wallah Bin Wallah , @TitusSakwa @TOMKIMBARASA kuanzia saa moja hadi saa tano asubuhi. Jongea tujifunze lugha ashirafu ya Kiswahili na mengi zaidi!
#BahariYaElimu #HapaNdipo #Radio47

Jumamosi ya leo mchungaji Dominic Atancha anafunza kuhusu mkate wa uzima. Je, unajua kuwa wewe ni mkate wa uzima? Kaa tayari kwa mafunzo.
@mike_nyagwoka
#SabatoYako #HapaNdipo #Radio47

Neno la Faraja: Yohana 6:48-51 - ''Mimi ni mkate wa uzima. Baba zenu walikula mana jangwani, wakafa. Lakini hapa kuna mkate utokao mbinguni ambao mtu ye yote akiula, hatakufa. Mimi ni mkate wa uzima uliotoka mbinguni.''
@mike_nyagwoka
#SabatoYako #HapaNdipo #Radio47

Evangelist @smamimo1 yuko tayari studioni. Jumamosi hii leseni inahusu: Stewardship and Mission. Uko tayari? Andaa kalamu, bibilia yako na daftari unakili notes.
@mike_nyagwoka
#SabatoYako #HapaNdipo #Radio47

Bwana Yesu asifiwe!
Ameamka salama? Karibu tena tushiriki ibada pamoja kwenye kipindi cha #SabatoYako naye Uncle @mike_nyagwoka kuanzia 4am hadi 7am. Tumsifu Bwana kwa makuu yake na ulinzi.
#SabatoYako #HapaNdipo #Radio47

Ungana na @magangabeaty Habari za #Radio47 | Ukweli wa Mambo | Spoti | Uchambuzi | Mahojiano | Makala | Habari za Kaunti kuanzia 6am-1pm.
#HapaNdipo #HabariZaRadio47

Ungana na @luswetiCBS kwa Habari za #Radio47 | Ukweli wa Mambo | Spoti | Uchambuzi | Mahojiano | Makala | Habari za Kaunti kuanzia 6am-1pm.
#HapaNdipo #HabariZaRadio47

Karibisho la Ibada
Mungu ametuingiza kwa mwezi wa baraka na wa kuzalisha, nawe salimia na ukaribishe kanisa lako, mchungaji wako kwa mwezi huu.
@EvahMwalili
#Nuru47Jumapili #HapaNdipo #Radio47

Umeamkaje Mwana Ligi, Bwana Yesu asifiwe sana! Ni Jumapili ya kwanza ya Septemba, machozi yako ya uchungu yanazalisha! Unapokea nuru ukiwa wapi? Hapa ndipo!
@EvahMwalili
#Nuru47Jumapili #HapaNdipo #Radio47

Neno la Faraja: Zaburi 22:11 - ''Usikae mbali nami, kwani taabu imekaribia; wala hakuna wa kunisaidia.''
@mike_nyagwoka
#SabatoYako #HapaNdipo #Radio47

Hakika Mwenyezi Mungu ni mwema na mwaminifu kila wakati!
Amekuamsha salama? Karibu tushiriki ibada pamoja kwenye kipindi cha #SabatoYako naye Uncle @mike_nyagwoka kuanzia 4am hadi 7am. Tumshukuru Mungu kwa uhai na ulinzi.
#SabatoYako #HapaNdipo #Radio47

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers


