Top Tweets for #RASHARASHA
Wanasema siku hizi wamegundua siri ya mambo! Siri yenyewe ni thermos na towel.
Hosts: @christinekambua & @djsixfigure
Producer: @MataraInnocent
#rasharasha #chekiktn
Wanaume si wote , lakini kwa baadhi yenu, trimming kidogo haijawahi kuuma!
Hosts: @christinekambua & @djsixfigure
Producer: @MataraInnocent
#rasharasha #chekiktn
Watu tisa kati ya kumi hawawezi kukataa wimbo mzuri unapopigwa, hasa hapa ndani ya Rasha Rasha ambapo kila mdundo unakupa sababu ya kutingisha kichwa na kufurahia rhumba tamu!
Hosts: @christinekambua & @djsixfigure
Producer: @MataraInnocent
#rasharasha #chekiktn
π· Je, unataka kusikia wimbo wa rhumba unaoupenda? Tuma request, salamu zako na maoni yako sasa hivi! DJ Darius na Kambua wanasubiri kuzisoma na kukupa burudani ya kiwango cha juu. Usibanduke.ππΎπΊπΎ
Hosts: @dariussixfigure, @KambuaJoel
Producer:@MataraInnocent
#rasharasha
Dragon says his goal is to take his rhumba music global, inspired by legends like Fally Ipupa and Ferre Gola.
Hosts: @dariussixfigure @KambuaJoel
Producer: @MataraInnocent
#rasharasha
Ziggy Stone:Tunajiandaa kuja kuwaonyesha kwamba ukisikia rhumba, ujue ni Rhumba Japan!
Hosts: @christinekambua & @djsixfigure
Producer: @MataraInnocent
#rasharasha #chekiktn
Mtu akiwin, lazima tu kutakuwa na watu wa kuongea.
Hosts: @christinekambua & @djsixfigure
Producer: @MataraInnocent
#rasharasha #chekiktn
Mvua inanyesha, mpo ndani ya gari na mpenzi wako na mmefika https://t.co/VyFM5Zwy5L, wewe kama mwanaume unaweza kushuka umshikilie mwavuli asinyeshewe, ama mapenzi ya kweli ni mkimbie wote mvua?
Hosts: @dariussixfigure @KambuaJoel
Producer: @MataraInnocent
#rasharasha
#chekiktn
Kambua: Kusema ukweli, mimi nitaallow sare kwa sababu sare inaleta ule usawa, maana wanafunzi hutoka katika familia tofauti tofauti.
Hosts: @dariussixfigure @KambuaJoel
Producer: @MataraInnocent
#rasharasha
DjDarius: People born today are strong-minded and independent. They are also known to be overprotective when it comes to their family and friends.
Hosts: @dariussixfigure @KambuaJoel
Producer: @MataraInnocent
#rasharasha
Kama umezaliwa siku kama ya leo, tarehe 2 May, wanasema watu wa aina hiyo ni βheavy spendersβ
Hosts: @christinekambua & @djsixfigure
Producer: @MataraInnocent
#rasharasha #chekiktn
Mwanaume wakati ambapo unaandikisha mali yako utaandikisha kwa mke wako ama kwa mzazi wako especially mzazi wa kike mama?
Hosts: @christinekambua & @djsixfigure
Producer: @MataraInnocent
#rasharasha #chekiktn
Na hapo ndipo tunafunga kipindi cha leo cha RashaRasha! Asanteni kwa kuwa nasi, kwa comments zenu na kwa kuendelea kusherehekea rhumba pamoja nasi.
#rasharasha #chekiktn
Hosts: @dariussixfigure @KambuaJoel
Producer: @MataraInnocent
Lady Jacky anatua Rasha Rasha na mzigo wa midundo, mahaba na ile ladha ya rhumba inayopenya mpaka moyoni. Leo tunasafiri kwa ngoma, hisia na hatua za kuamsha roho.
#MzikiBilaJasho #RhumbaSaturday #RashaRasha
@djdariusixfigure
@christinekambua
@matarainnocent
Je waijua ngoma yake mpya Kanda Bongoman? Basi baki nasi tukujuze ni ipi hapa kwenye RashaRasha!!!
#MzikiBilaJasho #RhumbaSaturday #RashaRasha
@djdariusixfigure
@christinekambua
@matarainnocent
Kumbe mnatudanganya na mnapendana huku nje, eh!
Happy Valentines
#rasharasha
#chekiktn
Hosts: @dariussixfigure @KambuaJoel
Producer: @MataraInnocent
Millicent: Siwezi kusema Juogi ni spirits, kwangu ni hisia. Muziki unahitaji uwekezaji na bila rasilimali za kifedha huwa safari ngumu. Zaidi ya pesa, msanii anahitaji mtu wa kumshika mkono.
#rasharasha
#chekiktn
Hosts: @dariussixfigure @KambuaJoel
Producer: @MataraInnocent
Deance Bile: Maisha yanaonyesha kuwa kutembea pamoja kunaweza kuharakisha mafanikio, lakini kuwa na watu wengi pia kunaweza kuleta changamoto.
#rasharasha
#chekiktn
Hosts: @dariussixfigure @KambuaJoel
Producer: @MataraInnocent
DjDarius: Unajua kuna wale wanaosema, ukimuitisha hela akakuambia hana, basi ujue si girlfriend.
#rasharasha
#chekiktn
Hosts: @dariussixfigure @KambuaJoel
Producer: @MataraInnocent
Serah: Uzalishaji wa muziki ni gharama kubwa na inanilazimu kujitolea sana. Hata hivyo, ninapowapatia watu muziki, nataka ubunifu wangu uonekane wazi.
Producer: @MataraInnocent
Host: @dariussixfigure
#rasharasha
#chekiktn
Last Seen Hashtags on Sotwe
drshinusyamalan
Seen from India
maakichut
Seen from Singapore
dickflash win
Seen from India
ΰΈͺΰΈ²ΰΈ§ΰΈͺΰΈΰΈΰΈΰΈΰΈ‘
Seen from Thailand
twerking
Seen from Philippines
trannyslut
Seen from Turkey
nolimits
Seen from United States
teenager
Seen from Egypt
blowjob
Seen from Turkey
ΓznurGΓΌven
Seen from Turkey
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.5M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.5M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65M followers

Bill Gates 
@billgates
64.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers
