Top Tweets for #Tadb
TADB imeshiriki katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Sabasaba kwa mwaliko wa Shirika la JICA la Japani, kupitia Mradi wa Ufadhili wa Mikopo kwa Ajili ya Uwekezaji katika Kilimo (Agricultural and Rural Two-Step Loan Project).
#TADB #KilimoKinaBenkika #Jica #Tanzania #Japan

TADB imeendelea kuweka historia baada ya kutoa gawio la shilingi Bilioni 8.38 kwa Serikali kwa mwaka ulioishia tarehe 31 Desemba 2025. Hili ni ongezeko kubwa la asilimia 50 ukilinganisha na gawio la shilingi Bilioni 5.58 lililotolewa mwaka 2024.
#TADB #KilimoKinaBenkika #AGM

Bilioni 10+ Zabadilisha Kila Kitu kwa vijana hawa wa Dodoma,Hadithi Itakayokufanya Uamini Kilimo Kinaweza Kubadilisha Maisha! #ikulumawasiliano #TADB #KILIMO #UFUGAJI #UVUVI #gersonmsigwa #dodoma
Serikali imetenga zaidi ya shilingi Bilioni 270 kwa ajili ya kuimarisha Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) na sasa benki hii inawawezesha wakulima kufanya mapinduzi kilimo na ufugaji kwa kuwakopesha mitaji, pembejeo na vitendea kazi ukiwemo uwekezaji mkubwa katika viwanda vya kuchakata mazao.
Uwekezaji huu unazalisha ajira, unaweka uhakika na usalama wa chakula na unakuza uchumi.
#KaziIendelee
Tunakutakia Pasaka Njema yenye Baraka na Furaha tele.
#TADB #KilimoKinaBenkika
#HeIsRisen #Easter #Passover #Pasaka #Faith #Easter2026

Skimu ya umwagilaji yawa Mkombozi kiuchumi kwa wakulima wadogo Mombo - Hongera TADB.
#sisinitanzania #katibanasheria #MSLAC #kazinaututunasongambele #nchiyangukwanza #matokeochanya #TADB
TADB wishes all Muslims a blessed and peaceful Holy Month of Ramadan filled with mercy and abundant blessings. Ramadan Kareem.
#TADB #KilimoKina Benkika #Ramadan #HolyMonth

Great engagement today with @tadbtz and @GruppoCDP as we shared how Mambo Coffee supports smallholder farmers through inclusive coffee buying, quality improvement, & traceability.
Strengthening partnerships for sustainable, climate-resilient agribusiness. #TADB #TanzaniaCoffee

Weโre proud to share our Financial Statement Highlights for Quarter Three (Q3), 2025 โ showcasing remarkable year-on-year growth driven by our commitment to transforming agriculture and empowering farmers across Tanzania.
#TADB #KilimoKinaBenkika

UNAFAHAMU HAPA NI WAPI? KUNA MENGI YA KUJIFUNZA.ANGALIA VIDEO HII
#sisinitanzania
#TADB
#nchiyangukwanza
#wizarayakilimo
Mama Shemsa John Taraba: Mwanamke Jasiri Anayeandika Upya Historia ya Ufugaji Zanzibar #TADB #samiasuluhuhassan #sisinitanzania #zanzibar #Tanzania
https://t.co/IemlKqRQyg
Tunawatakia Heri ya Sherehe za Wakulima Nane Nane 2025.
#TADB #Miaka10YaTADB #aDecadeOfTransformation
#KilimoKinaBenkika #UvuviNiUtajiri #MifugoNiUtajiri
#Nanenane2025 #WizaraYaFedha
#Ikulu #MsemajiWaSerikali

MIAKA 10 YA TADB
Leo tunasherehekea Muongo Mmoja tangu kuanzishwa kwa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), miaka 10 ya kujenga misingi imara ya mapinduzi ya kilimo nchini.
Asante kwa kuwa sehemu ya safari hii ya mafanikio!
#TADB #aDecadeOfTransformation

#PodcastShambani
Msikilize Katrin Mwimbe wa Cetawico Wines akieleza jinsi TADB ilivyowasaidia:
โ
Mitaji ya kuendeleza kiwanda
โ
Teknolojia ya uzalishaji
โ
Ushirikiano na wakulima wa zabibu
Bofya kutazama ๐ https://t.co/GURKn1tyDa
#TADB #Miaka10YaMabadiliko

#Miaka10yaTADB
TADB inashirikiana na wadau mbalimbali kuinua minyororo ya thamani ya:
โ
Kilimo
โ
Mifugo
โ
Uvuvi
Kupitia mikopo, elimu ya fedha, na kuunganisha wakulima na masoko
Kutazama Bofya ๐ https://t.co/8tINpdVJL7
#TADB #KilimoKinaBenkika #10YearsOfTransFormation

Last Seen Hashtags on Sotwe
NSFW
Seen from Thailand
hijabi
Seen from Germany
minichat()()()()*******
Seen from Turkey
ุชูู_ุชูู_ุงูุณุนูุฏูุฉ
Seen from United States
arabic #hot
Seen from Singapore
perripiper
Seen from Turkey
arab lesbian
Seen from Algeria
candid(((()))) filter:videos
Seen from United States
CaughtOnCamera
Seen from Turkey
nsfwtwtูู
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers




















