Top Tweets for #b5updates
Wao wanakwambia kwanza ndio gari limewaka pia kwa upande wao ligi ndio imeanza mechi ya tatu sasa kwenye ligi kila aliyekutana na Arsenal ni kichapo tu.
Huku kwa upande wa Tottenham ni mchezo wa tatu pia kila aliyekutana naye amewafunga.
FT: Arsenal 3-1 Tottenham. #B5Updates

#B5Updates: Kivumbi cha EPL kitaendelea wikiendi hii, huku Man City wakiwa na mechi ya nyumbani dhidi ya Tottenham.
Je utabiri wako unautupia wapi?
Wewe mteja wa kifurushi cha Bomba lipia sasa kifurushi cha Family 29,900 tu nasi tutakupandisha mpaka Compact kwa mwezi mzima bila
#B5Updates: Ikiwa leo kuna mtanange wa kukata na shoka wao wanaiita North London derby kati ya Tottenham dhidi ya Arsenal 1:https://t.co/UuOyJG7xLv
Tayari karibia kila timu ikiwa na michezo 10 huku nyingine zikiwa na michezo 11 msimamo wa ligi kuu Uingereza ndivyo unavyoonekana

#B5Updates:Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC inatajia kutangaza matokeo ya jumla ya wagombea wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Muda wowote kuanza sasa baada ya kumaliza mchakato wa kuhesabu kura kutoka majimbo 264 ya Tanzania bara na Visiwani.
#UchaguziMkuu2020

#B5Updates: Zitto atueleze kilichomkimbiza CHADEMA ni kipi na kuazisha ACT yake, Ponda alikuwa anampigia kampeni Limpumba alisema msomi tena mwanauchumi alizunguka naye misikitini, kwanini sasa amehamia kwa Tundu lissu tatizo nini kama hatafuti maslahi yake binafsi? - Mwaipopo

#B5Updates: NIMEVAMIWA STUDIO NA KUPIGWA NA KUFANYIWA UHARIBIFU WA STUDIO NZIMA KUVUNJIWA VIFAA NA VITU VYA STUDIO NA HAWA WANAODAI WAO NI SECURITY NA PIA NI ULINZI SHIRIKISHI #ACHERSECURITY ....
STUDIO KULIKUA NA WATU AMBAO PIA WALIPIGWA KAMA WEZI , WANAWAKE WALIZALILISHWA.

#B5Updates: ⚽⚽⚽⚽Weekend ya motoo na UEFA Nations⚽⚽⚽⚽⚽
Pata kushuhudia Live mechi zote kupitia ulimwengu wa kimichezo Supersport ndani ya DStv, piga *150*53# kulipia kifurushi chako au 0659 070707 kujiunga na DStv kwa gharama nafuu.
#SokaLisiloPimika
#WorldBestFootball
#B5Updates:“Nafikiria Kuandika kitabu, Nafikiria kuacha alama, Nafikiria kuelezea Mapito na Magumu yaliyonijenga leo hii kuwa Shishi !! Haikuwa Rahisi hata kidogo lakini pia Hakuna Gumu unapoamua kuto kukata tamaa, Kuweka Juhudi, Kumumuweka Mungu Mbele na Kuzikimbiza ndoto zako”

#B5Updates: Umati wa maelfu ya Wananchi wa Jiji la Mbeya wakifuatilia kwa bashasha Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya
@ChademaTz
, Mhe.
@TunduALissu
, katika Uwanja wa Rwandanzovwe, jijini Mbeya, leo J/most 5/9/2020.

#B5Updates: : Abdul Nondo atangaza nia kugombea nafasi ya ubunge katika uchaguzi mkuu Oktoba 2020.
“Leo nimeona ni siku muhimu kwangu kueleza dhamira yangu ya dhati kwa wakazi wa Jimbo la Kigoma mjini,pia wanachama wa chama chetu Act wazalendo ndani na nje ya Kigoma mjini.

#B5Updates: Sahihi ya JPM katika handaki la reli refu kuliko yote hapa nchini. Ni eneo la Mkadage Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro.
Rais wa ameweka saini kama kumbukumbu kwenye ukuta wa handaki kubwa mara baada ya kumaliza kulikagua wilayani Kilosa mkoani Morogoro mapema leo.
#B5Updates: Muonekano wa Barabara za juu (Fly Over)Ubungo. Barabara ya KIMARA - POSTA na MWENGE - TABATA lakini ukiangalia utaona magari yakipita kutokea KIMARA -POSTA ndio barabara iliyokamilika na kuanza kufanya kazi kwa upande wa MWENGE – TABATA bado haijaanza kufanya kazi.

#B5Updates: Polisi Ruvuma wanamshikilia Ibrahimu Bukuku kwa kusambaza ujumbe Whatsapp kupotosha dawa ya Corona,
" Dawa ya corona twanga pilipili kichaa sufuria 1 halafu changanya na maji vikombe 5, kunywa kutwa mara 7 kwa siku 3, siku ya 4 chuma upupu kisha jipake". (Eatv)

#B5Updates: China imetumia siku ya Jumamosi kuwakumbuka waliopoteza maisha kwa virusi vya Corona kwa kukaa kimya kwa daki 3 ilipotimia saa 4:00 huku magari, treni na meli vikipiga honi. Zaidi ya watu 3,300 walifariki.Bendera zimepeperushwa nusu mlingoti kwenye majengo mbalimbali

#B5Updates: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipima joto la mwili wakati alipowasili ofisini kwake DSM kupokea michango kutoka kwa wadau mbalimbali kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa CORONA, Machi 28, 2020.

#B5Updates: “Nimemsikia Mambosasa akizungumza na sifikirii kumjibu ila niweke msingi tu, kitendo cha Wabunge Wanawake kufanyiwa unyama hilo tendo tunalilaani, Wabunge hawa wanaosemekana walivamia Gereza hawakuwa hata na fimbo wanapigwa na Wanaume wenye vifua na silaha” - MBOWE

#B5Updates: “Msafiri alipita Uwanja wa KIA akafanyiwa ukaguzi na kuonekana hana homa, baadae alianza kujisikia vibaya Hotelini na kwenda Hospitali ya Mt.Meru sampuli ilichukuliwa na kupelekwa Maabara ya Taifa DSM vipimo vikathibitisha ana ugonjwa wa Corona - @ummymwalimu

#B5Updates: Barabara zikiwa nyeupe nchini Italia baada ya Serikali ya nchi hiyo kukataza mikusanyiko isiyo na ulazima kwa sababu ya maambukizi ya Corona, Mpaka hivi sasa kesi zaidi ya 24747 za Corona huku vifo vikifikia 1809 na waliofanikiwa kupona ikiwa ni 2333 nchini Italia
#B5Updates: "Tanzania ni kati ya nchi 5 ambazo uchumi wake unapaa, wasione vyaelea vimeundwa kwa sasa tuko watu mill. 59.7, bila watu hakuna maendeleo. Afrika nchi inayoongoza kwa uchumi ni Nigeria ina watu Mil. 202 kuwa na watu ni mtaji msidanganywe bila watu hakuna maendeleo”

#B5Updates: Viongozi wa CHADEMA, akiwemo Freeman Mbowe, Katibu Mkuu John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Peter Msigwa, Esther Bulaya, Esther Matiko, Halima Mdee na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Vicent Mashinji wanatarajia kuhukumiwa Leo katika Mahakama ya Kisutu.(CMG)
Last Seen Hashtags on Sotwe
sex
Seen from Netherlands
seltan
Seen from Turkey
momson
Seen from Pakistan
minichat
Seen from Turkey
_سكس__زب_كس_ممحونه_نيك_شرموطه_طيز_قحبه
adanatravesti
Seen from Turkey
thiaga
Seen from Spain
hotwife son's friend
Seen from Indonesia
ValiDATE
Seen from United States
2015MLBDraft
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers
















