Top Tweets for #bladefacken
My humble sabbath advice today...... Just stay away from problems....
@RehemaNM2 @SuluhuSamia @JonMrema @ChademaTz @TunduALissu @ChademaTZ2 Mbwaa jike @JonMrema rudisha acha kutumia account ya chama wew n #njaa55 wanaume kama mabinti !
#BLADEFACKEN youโน๐ฎ
Asante sana wanafamilia kurudisha muamala wa uyu muuaji na mnafiki aliyepewa pesa za kinafiki na #ummy kuzuga kwa kusema #Pole.
Wewe #Erickbernard tumeshakutambua MUUZA WATU wakauwae jipange sasa #FAMILIA IMESHA kubaini
#BLADEFACKEN you๐ณ๐ฎ

Yanii #Mh LISSU usitoke apo #wasafi_Fm adi wamtaje uyo #zero_brain aliyekwamisha #RATIBA yako kwenye #KIPINDI tumkaange ape inchi #ijue uyo #Bumunda!โน
#BLADEFACKEN

Hii post yangu ya kuandika saa 9 usiku naiandika kwa uchungu mpaka basi.
Umeingia ofisini saa 2 asb, ukakuta hakuna umeme umekaa siku nzima ukisuniri umeme. Unaamua kuondoka saa 11 jioni, ukijifariji kwamba utaukuta umeme nyumbani angalau ufanye kazi za wateja wako.
Unafika nyumbani saa 1 kasoro unakuta hakuna umeme wanakuambia wamekata saa 12 jioni. Unajaribu kuusubiri umeme Hadi saa 6 usiku, hakuna umeme.
Unaamua kwenda kulala, kitandani una mtoto wa miezi 10 unakuta anahangaika joto usiku mzima analia. Unashindwa hata kulala. Huku ukiwa na stress za kazi za watu. Mwisho wa siku muendelee kusema Vijana wa Tanzania ni wavivu, hawajitumi, uzembe mwingi...
Asubuhi nitaamka, unakuta sms za TRA wanakusubiri Kodi zao za ajabu za kubambikiwa, Jiji na leseni zao wanaakusubiri ๐๐พโโ๏ธ, tozo nyingi nyingi... Daaahhh!!
Anyway mnaopush agenda, na hashtags ni MAJASIRI sana, Mungu awasaidie kuona MAISHA HALISI kuliko kuona Pesa. Sijui mnaishije wenzetu, sijui mko Tanzania ya wapi wenzetu ๐ฅน
Tunajitekenya wenyewe tunacheka wenyewe. Tujifunze kupendana Kwanza na tujifunze kujaliana. Pia tujifunze kuambizana ukweli. UBINAFSI unarudisha Maendeleo. Na ubinafsi wa watu kadhaa umekwamisha Taifa kufika kwenye malengo.
SIASA TOO MUCH IS HURTFUL AND HURTFUL
Last Seen Hashtags on Sotwe
Unexpected
teenageers
Seen from United States
Hakenkreuzen
Seen from United States
ไบๅท้ไบ
Seen from Germany
russian lesbian filter:videos
Seen from Turkey
teen
Seen from Turkey
exny()*********************************************
Seen from Turkey
OrEl
Seen from Turkey
minichats
Seen from Turkey
เธซเธตเนเธเนเธเธกเธฑเธเธขเธก
Seen from Thailand
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers



