Top Tweets for #chingaday
Hii Love Ni Kubwa Sana! ZAKHEIM Nawaheshimu Sana! Hii Ni KumbuKumbu Kubwa Sana Moyoni!
#CHINGADAY
#kondegangforeverybody🌍🚀 @ Kondegang HQ https://t.co/0Fdx0ocBKm
BADO NIKO NA WANANGU WA MBAGALA ZAKHEIM 🔥
JANA TULITISHA SANA.
#NITACHELEWA
#CHINGADAY
#kondegang4everybody👽🌍 @ Kondegang HQ https://t.co/usszluoHbk
AHSANTE SANA KWA LOVE NA UPENDO WENU 🙏❤ HAKIKA NIMEONA MAPENZI YENU MUNGU AWABARIKI SANA 🙏
#NIMEKUBALI
#CHINGADAY
#kondegang4everybody @ Kondegang HQ https://t.co/17TPVAmS3V
CONGRATS ON YOUR FIRST EVENT YESTERDAY KING @ibraah_tz #CHINGADAY WAS SO NICE....!!!! LOVE TO @sayonatanzania & @cloudsfmtz FOR MAKING IT HAPPEN 🏁 @ Kondegang HQ https://t.co/Ry6HKANR82
Sinabudi kusema Shukrani sana kwa mashabiki zangu Ambao leo tulikutana kwa pamoja nakuenjoy tamasha la #CHINGADAY pale mbagala Zakhem 💪❤ #kondegang4everybody👽🌍 @ Kondegang HQ https://t.co/gQNqsNnwAh
Tayari Mgeni Rasmi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Jakaya Mrisho Kikwete amewasili Viwanja vya Mbagala Zakhiem kwenye tukio adhimu la kijana @ibraah_tz #CHINGADAY
Cc @SayonaTanzania

Mbagala Zakhiem tayari kume-happen 🔥 Team Nzima ya Konde Music Worldwide ikiongozwa na Konde Boy @harmonize_tz imewasili hapa kumpa support Chinga @ibraah_tz coz leo ni #CHINGADAY • Tukio lipo LIVE muda huu Clouds TV
Cc @sayonatanzania
Dar es Salaam eneo sahihi kuwepo muda huu ni Viwanja vya Mbagala Zakhiem, kijana wako @ibraah_tz amedhamiria kukuonyesha ukomavu wake leo! #CHINGADAY It's happening right now 🔥🔥🔥
Cc @SayonaTanzania

Mwamba Geu @OfficialSholoMwamba ameiongeza list ya kikosi kazi kinachokwenda kumpa kampani Chinga @ibraah_tz kesho kwenye #CHINGADAY Mbagala Zakhiem kuanzia saa 4 Asubuhi! 🔥
Cc @SayonaTanzania

SEKTA YA KUTIMUA VUMBI KESHO KAKABIDHIWA @officialsholomwamba KATIKA #CHINGADAY YA @ibraah_tz MBAGALA ZAKHEM 🏁🏁 @kondegang @ Kondegang HQ https://t.co/vFFw1PCq51
Nikukumbushe tena Shabiki yangu 17/10/2020 Ambayo ni Kesho Tunakutana MBAGALA ZAKHEM 10:00 Asubuhi mpaka Uchoke wewe #CHINGADAY Bureeee Kabisa! Pull Up! @cloudsfmtz
@mamybabytz
#CHINGADAY
#kondegang4everybody👽🌍 https://t.co/dPAqV0jjtb
MBAGALA...!!! MBAGALA...!!!! 📢📢 BANGOZ ZITOOO KESHO NDIO TAREHE 17/101/2020 #CHINGADAY INALETWA KWENU NA @sayonatanzania x @cloudsfmtz TUKUTANE KESHO (ZAKHEM)🏟 @ Kondegang HQ https://t.co/ad9h3E1u0z
THE KING IS NOW LIVE ON XXL 🏁🏁 @cloudsfmtz KUELEKEA KESHO TAREHE 17/10/2020 PALE ZAKHEM MBAGALA @ibraah_tz ANAZUNGUMZA WHTS #CHINGADAY MSIKILIZE MUDA HUU ..!!!! @ Kondegang HQ https://t.co/zb32vJmPps
Mwenye mapenzi na sanaa ya Tanzania, kipenzi cha Wasanii Mh @jmkikwete ameipokea heshima ya kulitia baraka tukio la #CHINGADAY JMosi hii pale Mbagala Zakhiem ambapo Chinga la Kusini @ibraah_tz atarejesha shukrani kwa wakazi wa Dar es Salaam.
Cc @SayonaTanzania

Wapo watakaohoji kuhusu hali ya usalama Mbagala Zakhiem siku ya #CHINGADAY, liondoe hilo kama kikwazo coz Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Ngazi ya Wilaya Mh Godwin Gondwe (Mkuu wa Wilaya ya Temeke) ni sehemu ya Wageni rasmi wa tukio hili.
Cc @SayonaTanzania

@OfficialKilly yuko tayari ku-kill kiu ya mashabiki zake wa DSM kupitia stage ya #CHINGADAY Mbagala Zakhiem JMosi ya October 17 siku ambayo @ibraah_tz atawakusanya wana-Dar es Salaam kuwapa shukrani zake. USIKOSE!
Cc @SayonaTanzania

Wakati @ibraah_tz anatajwa kama King of New School, Father of New Generation @countrywizzy_tz yuko ready kumpa backup ya kutosha kwenye jambo lake October 17 Mbagala Zakhiem #CHINGADAY
Cc @SayonaTanzania

Kutoka Konde Musoc Worldwide @OfficialCheed atampa kampani ya kutosha @ibraah_tz kurudisha shukrani kwa wana-Dar es Salaam pale Mbagala Zakhiem kwenye #CHINGADAY October 17 • Hakikisha unakuwa sehemu ya watakao zipokea shukrani.
Cc @SayonaTanzania

ME BLEDA ...!!!! FISI..!! @countrywizzy_tz ANADONDOKA PALE ZAKHEM KESHO KATIKA #CHINGADAY YA MWANENU @ibraah_tz HAKUNA KIINGILIO INALETWA KWENU NA @sayonatanzania x @cloudsfmtz 🏁🏁 @ Kondegang HQ https://t.co/Z5BiisEBwk
Last Seen Hashtags on Sotwe
wattaa
Seen from Turkey
แม่หม้ายหัวหิน
Seen from Thailand
bokep
Seen from Indonesia
transfur
Seen from Japan
ห้องน้ําปั้ม
Seen from Thailand
Appleradio nsfw
Seen from United States
thundr #monkeyapp
Seen from United States
anxiouspandaa
Seen from United States
incesto()() irmãos()()
Seen from Brazil
SadChillz
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers






