Top Tweets for #eNewZ
Kutoka Nigeria mwanamuziki Davido amefanya kufuru ya kuagiza magari mawili ya kifahari aina ya Ferrari.
@februaryomar anatuambia zaidi kuhusu hilo kwenye #eNewz ya #EastAfricaTV.
Majina ya wasanii wa muziki Burna Boy, Tyla na Kendrick Lamar wametajwa kuhusika kwenye filamu ya 3 ya Black Panther.
#eNewz
Wakili wa msanii #SnoopDogg amewasilisha nyaraka mahakamani kutaka kesi inayokabiri Rapper huyo kuhusu kifo cha msanii mwenzie ambaye alikuwa katika tamasha lililoandaliwa na Snoop kufutwa
@februaryomar @masoudkofii @ptheducer15
✍️ @mkogoty
#eNewz #EastAfricaTV #HainaKuchoka
Rapper J.I.D amewachana waandaaji wa tuzo za BET kwa kosekana katika kipengele chochote katika tuzo hizo.
@februaryomar @masoudkofii @ptheducer15
✍️ @mkogoty
#eNewz #EastAfricaTV #HainaKuchoka
Msanii na muigizaji #Tyrees anatoa somo kidogo hapa kuwa kwenye suala la familia hata kama wazazi wanachangamoto basi linapokuja suala la mtoto basi tofauti zikae pembeni
@februaryomar @masoudkofii @ptheducer15
✍️ @mkogoty
#eNewz #EastAfricaTV #HainaKuchoka
Msanii #CardIB Amekuwa msanii ambaye amechaguliwa zaidi kwenye vipengele vingi zaidi katika tuzo za #BET2026
@februaryomar @masoudkofii @ptheducer15
✍️ @mkogoty
#eNewz #EastAfricaTV #HainaKuchoka
Ningependa kuuliza kwani mwisho wa kuongelea huu ubingwa wa Arsenal ni lini ?
@februaryomar @masoudkofii @ptheducer15
✍️ @mkogoty
#eNewz #EastAfricaTV #HainaKuchoka
Mpaka #ChanceTheRapper nae alijiamulia mambo tu, kutajwa kama msanii anayevunja sheria za kimuziki!
#eNewz
Rapa #YoungThug ameomba mamlaka za sheria kumuachia huru #LilDurk ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kuajiri mtu kufanya mauaji.
Hii ni #eNewz ya #EastAfricaTV.
Kumbe ilikuwa imebaki kidogo tu K Dot #KendrickLamar asiitoe Album yake Mr. Morale & the Big Steppers mwaka 2022!
Masoud Kofii anatupitisha zaidi kwenye story hiyo kupitia #eNewz ya #EastAfricaTV.
Kutoka #eNewz ya #EastAfricaTV @februaryomar anafunguka kilichopelekea ngoma za K Dot #KendrickLamar (Not Like Us, Euphoria na Luther) kuondolewa kwa muda kwenye Platform za kuuzia muziki!
#eNewz
Mama watoto wa rapa #KanyeWest 'Kim Kardashian' ameshinda kesi Mahakamani na anatakiwa kulipwa fidia ya Tsh Milioni 435.
@februaryomar ananyoosha maelezo mwanzo mwisho juu ya taarifa hiyo na kesi aliyokuwa akikabiliana nayo Mahakamani.
#eNewz #EastAfricaTV
Unaambiwa Album ya kwanza ya rapa Eminem 'Infinite' imeongoza kuuzwa Mnadani!
🗣 @februaryomar anatuambia zaidi kuhusu story hiyo!
#eNewz
Drizzy Drake anakaribia kuvunja rekodi ya Mfalme wa muziki wa Pop Michael Jackson kwenye chat ya Billboard Hot 100!
Story kamili anafunguka @februaryomar kupitia #eNewz ya #EastAfricaTV.
#eNewz
Unakubaliana na mtazamo wa @masoudkofii kuwa asilimia kubwa ya wadau wa mpira hutumia muziki kuwaunganisha?
@februaryomar @masoudkofii @director_deemoolah
✍️ @mkogoty
#eNewz #EastAfricaTV #HainaKuchoka
Mke wa msanii @juma_jux ameweka wazi kuwa hayumbishwi na maneno yoyote yanayoendelea mitandaoni kuhusu yeye na maisha yake
@februaryomar @masoudkofii @director_deemoolah
✍️ @mkogoty
#eNewz #EastAfricaTV #HainaKuchoka
Msanii #ChrisBrown anaendelea kula maisha fresh kabisa licha ya kuwa katika mvutano na mzazi mwenza wake kuhusu malezi ya mtoto wao
@februaryomar @masoudkofii @director_deemoolah
✍️ @mkogoty
#eNewz #EastAfricaTV #HainaKuchoka
Msanii Jennifer Lopez amefikia maamuzi ya kuuza mjengo wake ambao aliachiwa na aliyekuwa mume wake Ben Affleck
@februaryomar @masoudkofii @director_deemoolah
✍️ @mkogoty
#eNewz #EastAfricaTV #HainaKuchoka
Msanii #Davido amefunguka kuwa hata kama ataingia kwenye siasa kama baadhi ya familia yake hawezi kuacha kazi yake ya Muziki
@februaryomar @masoudkofii @director_deemoolah
✍️ @mkogoty
#eNewz #EastAfricaTV #HainaKuchoka
Kutoka kwa Rapper #Offset amenyoosha maelezo kuhusu story za kurudi kwa kundi lao #Migos
@februaryomar @masoudkofii @director_deemoolah
✍️ @mkogoty
#eNewz #EastAfricaTV #HainaKuchoka
Last Seen Hashtags on Sotwe
mehrab tango
Seen from United Kingdom
Avustralyada
Seen from United States
سكس_يمني
Seen from Netherlands
latina
Seen from Turkey
mardinspor
Seen from Turkey
monkeyapp
Seen from Turkey
红杏
Seen from Germany
milf
Seen from Turkey
RaydenMcIntyre
Seen from United States
LulyForever
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers
