Top Tweets for #issaranger
THREADS zote za wanyama zitafute kwa hashtags hizi hapa๐๐ฟ.
#IssaRanger #NatureWildlifePeople
#IssaNatureWildlifePeople
#IssaDarasaHuru
#DarasaHuru

Kwahiyo kwa mbinu hizo mbili,ile ya harufu toka kwenye tezi za Metatarsal na hiyo ya kuonyeshana rangi huwasaidia wao kujiokoa na purukushani za maisha ya kila siku porini.
โPhotos Curtesy
#IssaRanger
#NatureWildlifePeople
1 Je Wajua?
Malkia wa Mchwa ndio mdudu anaeishi maisha marefu kuliko wadudu wote dunian,huish miaka 20-50,huwa na ukubwa wa inch 4-6. Malkia hutaga yai 1 kila baada ya sek 3, mayai 30000 kwa siku,na 11,000,000 kwa mwaka. Huyu kaz yake ni kutaga tu.
#ElimikaWikiendi
#IssaRanger

Kwa leo tuishie hapa.
Fanya retweet 1 pale mwanzo wa thread ili iende mbali na kuwafikia wengi zaidi,pia pita pale kwenye pinned post utakutana na thread nyingi zaidi na utapata mengi zaidi.
#IssaRanger
Photo Curtesy
Hujaona Simba hata mmoja.
Ukimaliza soma thread hii fikiria pamoja na maisha magumu ya Simba ila bado unasikia kuna watu wanatoa vibali vya uwindaji wa Simba huko porini.
Fikiria tena kabla hujasema unatamani uwe Simba
Retweet yako ni muhimu sana
Photos Curtesy.
#IssaRanger
Ungekuwa Duma pengine usingefikia umri ulionao leo hii.
Kwa leo tuishie hapa,NAOMBA pale pale juu MWANZONI RETWEET YAKO 1 tu ni muhimu sana elimu hii ifike mbali zaidi,pia pale kwenye pinned post RETWEET yako 1 muhimu na utasoma thread zote palepale.
#IssaRanger
Ili maisha yaendelee kwa wengine basi ni lazima wengine wafe.
Kwa leo itoshe kuishia hapa,naomba pale juu kibingwa sana ufanye RETWEET YAKO moja lakini pia pale kwenye pinned post fanya RETWEET moja pia na usome madini mengine hapohapo kwenye pinned post.
#IssaRanger
Herbivores(wala majani)yako pembeni ya vichwa vyao.
Kwa hiyo ukaenda porini ukawaona Pundamilia wamekaa hivyo usidhani ni wapenzi wapya wanabebishana,jifanye wewe ni Pundamilia wa Tanga hapo Serengeti utaipata habari yako,huko ni mwendo wa roho mkononi.
#IssaRanger
#DarasaHuru

RETWEET zenu PALE KWENYE PINNED POST yangu NDIKO ZILIKO THREAD zote ambazo nimewahi andika hapa,RETWEET yako ITASAIDIA THREAD ziende mbali zaidi ili elimu hii izidi kuwafikia wengi zaidi.
#IssaRanger
#IssaDarasaHuru
Ya kujikinga na maadui zao.
Lakini pia buibui huula utando wa mitego yao uliochakaa ili kuweza kujiongezea protein ili waweze kutengeneza utando mwingine.
Kwa leo tuishie hapo na buibui.
#IssaDarasaHuru
#IssaRanger
Last Seen Hashtags on Sotwe
hindiverbal
Seen from Pakistan
mgai (************)*******+filter:native_video
Seen from France
erasmoviana
Seen from Brazil
เธเธฃเธน
Seen from Thailand
เธเธงเธเธฅเธเธเธธเธฃเธต
Seen from Thailand
anxiouspandaaaa()(*)***+filter:native_video
Seen from Canada
smno()*************************************************************** filter:native_video()
Seen from Spain
randomchat
madura()******************************************** filter:native_video
Seen from United Kingdom
WageIncrease
Seen from Japan
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers






