Top Tweets for #itvupdates
"....rai yangu kwa Watanzania, yeyote anayekuja kujaribu kukamata mtu bila kujitambulisha kataeni, raia tufike mahali tukatae kukamatwa kama kuku"Mhe.Freeman Mbowe - Mwenyekiti wa CHADEMA. \n\n#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.\n\n#Follow @radioonetanzania
#HABARI: Mtu mmoja amefariki huku wengine wakijeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari 5, yakiwemo malori 3 na basi la abiria, mali ya kampuni ya Johanvia, lenye namba za usajili T 728 EBT lililokuwa likitokea Musoma kwenda mkoani Dar es Salaam,
#ITVUpdates

#TANZIA: Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe lililopoa kisiwani Pemba kupitia chama cha ACT Wazalendo, Mhe.Habib Ali Mohammed, amefariki dunia, leo asubuhi, Machi 03, 2023, Jijini Dar es Salaam wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa Muhimbili.
#ITVUpdates

#ITVUPDATES:Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Liberatus Sabas amesema watu wanne wameuawa na sita kujeruhiwa kwa risasi katika tukio la mauaji lililotokea jirani na eneo la Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam lililohusisha mtu mmoja mwenye silaha ambaye naye ameuawa.

"Kwa wale ambao koo zao hazijaguswa na COVID-19 wanaweza kusema wanavyotaka, lakini nenda leo moshi, Arusha, Kagera hata Dar es Salaam, uonane na zile koo ambazo zimeshaguswa na haya maradhi, wana maneno ya kukuambia"-Rais Samia.
#UzinduzichanjoyaCorona.
#ITVUpdates
#ITVUPDATES:Msiba wa Marehemu Jumanne Shabani Alela (Mzee Matata) wa Kundi la Mizengwe Art Group upo nyumbani Chamazi karibu na uwanja wa Azam na anatarajiwa kuzikwa kesho makaburi ya Buguruni Malapa.

#VIDEO: Rais wa Botswana Mhe. Dk. Mokgweetsi Masisi tayari amewasili nchini kwa ziara ya siku mbili ambapo leo anatarajia kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam.
https://t.co/nD4NGDudze
#ITVUpdates
"Ile ya kwenda tu kutoa fedha, hisani kwa watu ili uchaguzi ujao upite unajidanganya na unadanganya Taifa". Rais Samia.
#RaisSamiaNaWanawake #ITVUpdates
https://t.co/N7VPfgQgdz

#HABARI: Marais mia moja wa zamani, Mawaziri Wakuu na Mawaziri wa Mambo ya Kigeni wameliomba kundi la mataifa saba tajiri duniani (G7) kulipia kampeni za chanjo ya virusi vya corona ulimwenguni.
Zaidi Soma-> https://t.co/baCtWJURBa
#ITVUpdates

#VIDEO "Serikali iwepo kidogo kidogo watu wajimwage katika nchi yao wasikie wana nafasi...Serikali hebu rudini nyuma kidogo wapeni watu nafasi, nyinyi ni facilitators, wasimamizi pale mtu anadhulumiwa nk. lakini sio front saaana!"
#ITVUpdates #RadioOneUpdates #bungeni
#HABARI: Wananchi wa mitaa ya Chalagule, Choma na Mbete kata ya Mlimani manispaa ya Morogoro wamedai kuwa watawapiga mawe watalii wa kigeni na wa ndani wanaofanya utalii kwenye kivutio cha utalii cha maporomoko marefu ya maji.
Zaidi Bofya-> https://t.co/iEkxsEF2DG
#ITVUpdates

“Naomba nitoe agizo kwako CAG na Gavana wa Benki yuko hapa, naomba uende ukapitie fedha zote zilizotoka kuanzia Januari hadi Mwezi huu Machi kwenda kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo tunataka kuziona” Rais @SuluhuSamia
#RipotiYaCAG
#ITVUpdates

Msafara uliobeba mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ukiondoka uwanja wa ndege wa Karume Zanzibar.
#RIPRaisMagufuli
#ITVUpdates

Viongozi mbalimbali wakiwa tayari kuupokea mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli uwanja wa ndege wa Karume Zanzibar.
#RIPRaisMagufuli #ITVUpdates

Tayari mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli umekwisha wasili uwanja wa ndege wa Dodoma kwa safari kuelekea Zanzibar.
#RIPRaisMagufuli #ITVUpdates


#ITVUPDATES Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu linawashikilia raia 34 wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila kibali.

#ITVUPDATES Ndege iliyombeba Mbunge wa Malinyi Mh.Antipas Mgungusi tayari kuelekea Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu zaidi baada ya kuugua ghafla na kupatiwa matibabu ya awali Hospitali ya Chuo Kikuu cha Sokoine.
#ITVUPDATES Zoezi la majaribio la kutumia mitambo ya kisasa kuchinjia ngombe na mbuzi katika machinjio mpya ya kisasa Vingunguti.
#ITVUPDATES:RC ataja chanzo cha ajali Morogoro, "Hali zao mbaya sana".
https://t.co/wDYKX9ymLi
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.5M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
97.9M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.2M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.2M followers

X 
@x
60.8M followers










