Top Tweets for #kitengoni
Kwenye #PlanetBongo leo tupo na Game Boi ambaye tumemuweka #Kitengoni ili kujua stori mbalimbali. Je ni kweli love kwa wasanii wa Arusha imepotea?. Kwenye usiku mnene tupo na @GnakoWarawara na bonge moja la show.
Ni leo saa 12:00 Jioni kupitia #EastAfricaTv
Cc: @ptheducer15
Planet Bongo Jumapili hii #Kitengoni tumedondoka mpaka Arusha kwa Chaba na anagusia hip hop ya Arusha na maisha ya wasanii wa Arusha ni kwanini wanapenda kukimbilia Dar?
Ni Jumapili hii saa 12:00 Jioni kupitia @eastafricatv
#PlanetBongo leo #Kitengoni tupo na @bongelanyau na anatutonya kwamba yeye muziki wake ni wa collabo tu na ndio yuko hivyo, Vipi kuhusu kuitenga Kariakoo na ujio wake wa #Madharau? Yote amefunguka humu.
Ni leo saa 12:00 jioni kupitia EastAfrica TV
Cc @Ptheducer15Paul
#PlanetBongo leo #Kitengoni tupo na #Loui kijana aliyelamba dili kubwa la kusaini na lebo kutoka Marekani #LegacyRecord na amefunguka zaidi kwamba kuna wana wametusua kimuziki lakini bado wanabania wasanii chipukizi.
Ni leo saa 12:00 jioni.
Cc: @Ptheducer15Paul
#PlanetBongo leo #Kitengoni tunae mwana wa kwenda kama #StereoSingaSinga na hapa anafunguka kuhusu siasa za muziki zilivyomuweka benchi lakini pia amegusia diss track ya @kikosikazitz kwa #Weusi
Ni leo saa 12:00 jioni kupitia @eastafricatv
Cc @Ptheducer15Paul
#PlanetBongo Leo #Kitengoni tupo na #Whozu na anatujuza kuwa wasanii ku-fake maisha ndio usanii wenyewe lakini pia anasema namna utamaduni wetu ulivyo na ni namna gani muziki unaweza kuharibu jamii kijumla.
Ni leo saa 12:00 jioni.
Cc @Ptheducer15Paul
#PlanetBongo #Kitengoni @mudomokaya anafunguka kwamba teknolojia ya sasa ndio imefanya wasanii wa zamani kupotea hivi so amerudi na kujipanga na amejipanga zaidi lakini pia amegusia masuala ya muziki na kiki.
Ni leo saa 12.00 Jioni kupitia @eastafricatv
Cc: @Ptheducer15Paul
Leo #KITENGONI tupo na @iam_mziwanda na anasema kwamba Biashara ya studio kwake haikuwa na faida na ndio chanzo cha kuhamishia studio nyumbani, lakini kuonekana kimya kwake ni kutokana na kukua na hafanyi tena drama bali ameamua kukomaa na muziki.
#PlanetBongo EastAfrica TV
#Kitengoni leo tupo na Tannah kutoka Kiri Records na amefunguka kuwa kutokana na wengi kuamini kuwa ili ufanye hip hop ni lazima uonekane mgumu hiyo ndio sababu iliyofanya wasichana kuwa wachache kwenye game ya hip hop.
Ili kuyapata madini zaidi usikose #PlanetBongo saa 12 jioni
Planet Bongo #Kitengoni tupo na #Saraphina na amefunguka kuwa mwanamke kufanya muziki kwa jamii ya kiafrika inachukuliwa ni kitu fulani cha ajabu hivi.
Vipi kuhusu elimu yake ya chuo kikuu na muziki? pia ameeelza.
#PlanetBongo Ni leo saa 12:00 jioni.
Leo #Kitengoni tunaye @AfrikanPrince_ amefunguka mengi hasa kuelezea kwa nini alisema muziki wa sasa wasanii wanapiga makelele, vipi kuhusu mahusiano yake na Naj ni kweli wameachana?
Usikose #Planetbongo leo Saa 12:00 jioni
Nguvu kubwa tumepewa na @Tigo_TZ
#LongaNae
#PlanetBongo #Kitengoni tupo na Z-Anto ambaye amefunguka kuwa wanamuziki wa sasa hawana kipya kwani muziki wanaofanya ni kama wanakopiana hivi, Lakini pia ukimya wake ulitokana na kuona baadhi ya ngoma zikitoka lakini hazifiki mbali.
Jumapili hii saa 12:00 jioni.
PLANET BONGO JUMAPILI HII
#KITENGONI tupo na Bgway Gwayne kwani mwaka kama umeanza vizuri hivi kwake na ngoma yake ya mwaka huu, Amezungumza mengi na hasa rekodi alizovunja kwa ngoma hii.
Ni Jumapili saa 12:00 jioni tukipewa shavu kubwa na @Tigo_TZ
#JazaTukujazeTena
PLANET BONGO LEO
#KITENGONI yupo @BarnabaClassic na amefunguka kuwa ujio wa vijana wengi na wanaofanya poa kwenye game ya muziki, ulimfanya kukaa kimya na kujitafakari. Usikose kuyajua mengi zaidi leo kuanzia saa 12:00 jioni.
#Planetbongo
#PlanetBongo leo #KITENGONI tunaye Bright ambaye analia na mapenzi, amezungumzia ugumu wa kufanya kazi bila menejimenti pamoja na ujio wa studio yake.
Ni leo saa 12:00 jioni ambapo tutatazama huku tukifurahia mtandao wa @tigo_tanzania kwa kupata zawadi kupitia #JazwaUjazweTena
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.8M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.5M followers

X 
@x
60.8M followers




