Top Tweets for #lockin255
#BURUDANI Mzungu Mzee ametuchana ilikuwaje mpaka akachaguliwa kumvalisha Ayra Starr alivyokuja Tanzania mwaka huu kwenye show ya #LockIn255
Cc @ConnieBeily
#eNewz #EastAfricaTV
Jeuri ya Fedha! Mrembo @HamisaMobetto akimwaga noti kwa @OfficialAliKiba aki-performe wimbo wa Dodo ambao yeye ndio alikuwa 'Video Queen'.
Unadhani amempa Tsh Ngapi?
#LockIn255 #Alikiba #AyraStarr #HamisaMobetto @lockin255
Sebene la Dushelele lilivyomtetemesha staa wa muziki @OfficialAliKiba kama nyota wa Klabu ya Yanga #FistonMayele anatamba zaidi na style hiyo anapofunga magoli.
#LockIn255 #Alikiba #AyraStarr @lockin255
Hili ni nyomi la mashabiki waliojitokeza kutazama shows za ' Double A' @OfficialAliKiba
na @ayrastarr wakishea stage moja kwenye show ya @lockin255 #EastAfricaTV na #EastAfricaRadio hapa The Super Dome Masaki.
#LockIn255 #Alikiba #AyraStarr #EastAfricaTV #EastAfricaRadio

Sabi Girl @ayrastarr kwenye stage ya @lockin255 #EastAfricaTV na #EastAfricaRadio akiperforme ngoma zake zote kali hapa The Super Dome - Masaki.
#LockIn255 #Alikiba #AyraStarr #EastAfricaTV #EastAfricaRadio

Matukio ya picha za mizuka ya Sabi Girl @ayrastarr ilivyompanda stejini wakati anafanya show ya @lockin255 #EastAfricaTV na #EastAfricaRadio hapa The Super Dome Masaki.
#LockIn255 #Alikiba #AyraStarr #EastAfricaTV #EastAfricaRadio

Hapa Sabi Girl @ayrastarr hakuwa tena kwenye stage, aliamua kuwafuata walipo mashabiki zake na kuimba nao pamoja wimbo wa Sability hapa The Super Dome - Masaki ya kwenye show ya @lockin255 #EastAfricaTV na #EastAfricaRadio.
#LockIn255 #Alikiba #AyraStarr #EastAfricaTV

King Kiba @OfficialAliKiba akiwaimbisha Utu na Utulivu mashabiki zake kwenye stage ya @lockin255 #EastAfricaTV na #EastAfricaRadio hapa The Super Dome Masaki.
Vipi chaka lako lipo au limevamiwa?
#LockIn255 #Alikiba #AyraStarr #EastAfricaTV #EastAfricaRadio

Kutoka himaya ya Ufalmeni Kings Music Records huyu hapa ni Young King @TommyFlavour akishow love kwa @OfficialAliKiba akiimba wimbo wake wa Nakuja ft @mariooOfficial
#LockIn255 #Alikiba #AyraStarr #EastAfricaTV #EastAfricaRadio

Everybody say Baaadi we wanna partyyyyyyy #MariooTz anamkiamsha muda huu akimpa sapoti Role Model wake @officialalikiba kwenye show ya @lockin255 #EastAfricaTV na #EastAfricaRadio.
#LockIn255 #Alikiba #AyraStarr #EastAfricaTV #EastAfricaRadio

Ni Full shangwe muda huu ndani ya The Super Dome Masaki mashabiki wakishuhudia show ya kimataifa ya @lockin255 #EastAfricaTV na #EastAfricaRadio muda huu, kwenye stage ni @officialaliki na @ayrastarr
#LockIn255 #Alikiba #AyraStarr #EastAfricaTV #EastAfricaRadio

Mtoto mzuri mwenye levels za 'Five Star' @Mimi_Mvrs11 Chuga Queen akifungua bata la show ya @lockin255 #EastAfricaTV na #EastAfricaRadio ukumbi wa The Super Dome Masaki muda huu.
#LockIn255 #Alikiba #AyraStarr #EastAfricaTV #EastAfricaRadio

Mwanamitindo Mzungu Mzee #DeeWayneThrasher alivyotupia kwenye mavazi haya usiku huu wa show ya @lockin255 #EastAfricaTV na #EastAfricaRadio ambapo @officialalikiba na @ayrastarr wataperforme live.
Big Yes au Big Noo kwenye mtoko wake huu?
#LockIn255 #Alikiba #AyraStarr

Die hard fun wa King Kiba @officialalikiba amejipata hapa The Super Dome Masaki kushuhudia show kubwa ya kimataifa #Alikiba akiperforme na @ayrastarr kwenye stage moja usiku wa leo.
#LockIn255 #Alikiba #AyraStarr #EastAfricaTV #EastAfricaRadio

Mr Over Size ameibuka hapa The Super Dome Masaki kushuhudia show ya @lockin255 akiwa ametupia kilo za cheni mwilini mwake.
Mwenyewe anasema ametupia cheni kama za Konde Boy jeshi @harmonize_tz
#LockIn255 #Alikiba #AyraStarr #EastAfricaTV #EastAfricaRadio

Vile watu wanaingia hapa The Super Dome Masaki kwenye sikukuu ya burudani ya @lockin255 #EastAfricaTV na #EastAfricaRadio usiku wa leo.
Litapigwa show moja kubwa ya kimataifa kati ya @OfficialAliKiba na @ayrastarr
#LockIn255 #Alikiba #AyraStarr #EastAfricaTV #EastAfricaRadio

Msemaji wa Digital ya #EastAfricaTV na #EastAfricaRadio na PR wa Entertainment shows wa #EATV @shneidaanta amepoa ushuani Masaki muda huu kwa ajili ya kushuhudia show ya @lockin255 @officialalikiba na @ayrastarr wakipiga show jukwaa moja.
#LockIn255 #TogetherTunawakilisha

King @OfficialAliKiba amejipanga kuacha historia kesho The Super Dome na hawa ndio madansa watakaopanda jukwaa moja na King siku ya kesho.
Chukua tiketi yako mapema kupitia App ya @Nilipetz
Cc @lesa_sid @lockin255
#EastAfricaRadio #PlanetBongo #Alikiba #LockIn255
#5Selekt Mwanafunzi wa Chuo #TIA Debora Calvin akionyesha kipaji chake cha kuimba LIVE wimbo wa #Rush ya kwake @ayrastarr ambaye tayari ameshatua Bongo kwa ajili ya kuperform kesho kwenye show kubwa ya #LOCKIN255 pale #TheSuperDome Masaki jukwaani akiwa na King @OfficialAliKiba
@ayrastarr @OfficialAliKiba Njoo tuandike historia kwa kulipia tiketi yako kupitia App ya @nilipetz
#LockIn255 #AyraStarr #Alikiba #AyraStarrInTanzania #Nigeria #Masaki
Last Seen Hashtags on Sotwe
minichatt((*))filter:videos
Seen from United States
DragonBall
Seen from Vietnam
minichatt(**)()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()() filter:videos
Seen from Spain
minichat((((*))))* filter:videos
Seen from Venezuela
anxiouspanda() *** ((())) filter:videos
Seen from United States
Teenage video..
Seen from Pakistan
tobrut
Seen from Turkey
Maharashtra Government Failure
Seen from Denmark
anixiouspanda
Seen from United States
ipcam
Seen from Italy
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers































