Top Tweets for #maamu
@maamun_FN ありがとう!

UFFFF. AHAAN MAAMU LOOKS SO PRETTY IN PINK!😭💗
#AhaanPanday
OMG AHAAN IS SPOTTED!!!!!! Him in pink as well💗💗💗
Wakati Maandalizi ya Shamba Yanaendelea Usisahau Hatma ya Mavuno Ipo Kwenye Tsh 15,000 Tu kwa mfuko Zamseed wa kg 2.
Niandikie kwenye COMMENT maamuzi yako msimu huu wa kilimo 2026/2027, unapanda Zamseed namba ngapi? 👇
Wakati Maandalizi ya Shamba Yanaendelea Usisahau Hatma ya Mavuno Ipo Kwenye Tsh 15,000 Tu kwa mfuko Zamseed wa kg 2.
Niandikie kwenye COMMENT maamuzi yako msimu huu wa kilimo 2026/2027, unapanda Zamseed namba ngapi? 👇

Wakati Maandalizi ya Shamba Yanaendelea Usisahau Hatma ya Mavuno Ipo Kwenye Tsh 15,000 Tu kwa mfuko Zamseed wa kg 2.
Niandikie kwenye COMMENT maamuzi yako msimu huu wa kilimo 2026/2027, unapanda Zamseed namba ngapi? 👇
Wakati Maandalizi ya Shamba Yanaendelea Usisahau Hatma ya Mavuno Ipo Kwenye Tsh 15,000 Tu kwa mfuko Zamseed wa kg 2.
Niandikie kwenye COMMENT maamuzi yako msimu huu wa kilimo 2026/2027, unapanda Zamseed namba ngapi? 👇

@maamunii23 تراهم يحسبون انهم مجدولين ونمون مع صخب ذي العينه من زمان اشوفها ولا انقمعت
@maamunii23 بحدود رسبكت اخر رسبكت بل بحر
@maamunii23

@maamunii23 ماسكين ماثيو على ما اعتقد
@maamunii23 تقبل الله ، اي وطلع فيه ٣ صواريخ بجزيره وحسام خاف و وخرو شوي والحين بيرجعون يشيكون
@maamunii23 الله يعافيك
@maamunii23 بريڤيت
@maamunii23 تفضل
https://t.co/KoYH8yb0g6
@maamunii23 https://t.co/9WIzOWoHGg
Ahaan River content and kibda shocked he is becoming Maamu again 😹😹😹
#somaliland waxay u baahantahay xukun military oo sharci aanan xamar iyo meelo rogmaday laga soo minguurin kusoo roga kuna xukuma wadanka. ciqaabtoodana mariya dhamaan kuwan “fadaro + faqashnimo” ee wadanka inay maamul goboleed u dhaadhiciyaan raba, yoolkii wadanka loo xoreeyayna ku ciyaaraya bukaankiina siyaasad kadayay, caruurta aanan qaan gaadhina jeelka ku haysta. Dadow maxaa idin helay waxani wax loo dul qaadan karayo maahee.
Pesa za Iran sio za kupangiwa vile sitatumiwa,kama marekani wamekataa kuachilia hio pesa zetu waseme haraka iwezekanavyo kabla atujachukua maamuzi,kwa sababu hio bidhaa anasema ati sitanunua ili atuletee hapa Iran sisi atutaki because hizo bidhaa ni za kutuharibu akili zetu na vz
Ni wakati sasa wazee na vijana walio kwenye nafasi za maamuzi kubadili mitazamo yao
Tunahitaji mazingira yanayowezesha vijana wanapokuja na ubunifu, badala ya kujikita kwenye kudhibiti
Ni wakati wa Viongoz kuwa active kuangalia mabadiliko ya dunia na kuweka sera rafiki mapema
NGO vs Company
Umewahi kujiuliza wazo lako linafaa kusajiliwa kama nini? NGO au Kampuni?
Chukua hii
✅️NGO inalenga kusaidia jamii bila kutengeneza faida
✅️Kampuni ni kwa ajili ya biashara na kugawana
Kabla hujafanya maamuzi, tafuta ushauri sahihi kwanza
#BusinessConsultancy

Maisha ya mwanaume hua yanaanza kunyooka akifikisha miaka 30 na kuendelea.
Hapa katikati ya miaka 25 na 30 ndio kipindi ambacho wanaume wengi tunapitia presha kali sana kwenye maisha,
Na hii ndio sababu...
Kwenye hizi age ya 25-30 mwanaume anaanza kuona reality ya maisha jinsi ilivyo.
Unaamka asubuhi hujui hata direction yako ni ipi…
Lakini bado unatakiwa uonekane strong mbele ya watu.
Ndoto ulizokuwa nazo ukiwa mdogo zinaanza kugongana na uhalisia wa maisha.
Na hapo ndipo presha inaanza...
Unaona wenzako:
→Wana kazi nzuri.
→Wana biashara.
→Wengine wanaoa.
→Na wengine wanaonekana wamefanikiwa kuliko wewe.
Halafu unajiangalia wewe…
Unaanza kujihisi umechelewa kujipata kimaisha hivi...
Unafungua Instagram dakika 5 tu…
Unaona watu wanaonekana kama wameshayaelewa maisha na kujipata tayari.
Hiki ndio kipindi ambacho mwanaume wengi hupoteza amani yao ya akili.
Kwa nje anaonekana yupo strong tu kawaida.
Lakini ndani:
→Ana overthink.
→Ana stress.
→Ana hofu ya future yake.
→anajilinganisha sana na wengine.
Kipindi hiki mwanaume huwa anajiuliza mazito kama:
Mimi hasa ni nani?
Nina talent gani?
Naelekea wapi?
Jamii pia inaongeza presha.
Watu wanaanza kukuuliza maswali ya kizushi kama:
“Mpaka sasa ushafanya nini?”
“Mpaka sasa ushafanikiwa kwa lipi?”
“Una plan gani?”
“Mbona hujaoa?”
“Maisha yako yanaendaje?”
Na ukweli ni kwamba…
Wanaume wengi huwa bado wanajitafuta kwenye huo wakati.
Kipindi hiki ndipo wengi wanaanza kuelewa kuwa maisha sio mbio za short distance.
Ni mchezo wa consistency, patience na discipline ya muda mrefu.
Na hii realization huja baada ya kupitia maumivu makali wakati mwingine.
Sijui wenda wenzetu nyie mambo yenu yamenyooka but mimi mpaka kuja kugunduan hili...
Life ishanikaanga vibaya mno.
Wanaume wengi wanaofanikiwa sana hawakuanza mapema kama vile watu wanavyodhani.
Wengine walipata direction ya maisha yao wakiwa na miaka:
30, 35 au hata 40 na kuendelea...
Lakini social media zimefanya watu wajione wamechelewa sana.
Miaka ya 25–30 huwa kama “transition phase”.
Kutoka:
Kwenye ndoto → kwenda kwenye reality.
Na sio kila mtu hupita hapo akiwa stable mentally.
Wengine hua wanaleft kutokana na ugumu wa maisha.
Na wengine hufika mbali mpaka kuja kuchukua maamuzi ya kujinyonga.
Wewe kama bado upo sawa mpaka sasa mshukuru Mungu sana.
Kama uko kwenye hizi age na maisha bado hayajanyooka…
Usijichukie sana.
Tupo wengi tunapitia hicho kipindi kigumu kimya kimya.
Men suffer in silent.
Kumbuka kila mwanaume ana timing yake ya kuja kufanikiwa.
Na mara nyingi…
Maisha ya mwanaume huanza kunyooka pale anapopata:
→Direction.
→Utulivu wa kiakili.
→Kuacha comparison ya maisha yake na watu wengine.
→Kujenga discipline.
→Kuelewa yeye ni nani na anataka nini kwenye maisha yake.
Sio tu pale anapopata pesa.
Miaka ya 25–30 inaweza kukuvunja…
Au inaweza kukutengeneza kuwa mwanaume imara ambaye utakuja kuwa miaka yako yote.
Wanaume wengi hawahitaji kubezwa.
Wanahitaji muda, kupata experience na nafasi ya kujijenga.
Kwa sababu mwanaume akiwa sawa kiakili…
anaweza kubadilisha maisha yake kabisa.
Wanaume wengi hawapo nyuma...
Wapo kwenye kipindi cha kujitengeneza.
#ElimuBure #UsikubaliKuwaWaKawaida MWANAHISABATI
1/3
Imefika wakati nawaza sana juu ya Mungu kama wewe mwwnzangu ivi ni kwel Au basimaana nitakufuru ila now nimechoka sana sijui kama hii wiki nitaimaliza salama

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
239.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
106.9M followers

Rihanna 
@rihanna
98.6M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers



















