Top Tweets for #wanataka
@tenende_martial Ndio ndio,kuna na track zake incase wanataka full Satoshi Nakamoto ipooo
Huku angani tumepatana na traffic wanataka tupulize alcohol blow na JABA blow imebidi tuingie Bermuda triangle ππΏπΏπ«π«βοΈ

@Shiko_tyras Williams is a top keeper, SΔ wanataka tu kuona a new face.
Wakaguzi wa nyuklia wanataka kukagua uwezo wa jeshi la Iran ili wapeleke taarifa kwa marekani na Israel ili wajue kushambulia taifa la Iran tena
Wakaguzi wa nyuklia wanataka kukagua uwezo wa jeshi la Iran ili wapeleke taarifa kwa marekani na Israel ili wajue kushambulia taifa la Iran tena
@markmchuma Izi nissan nikama Soko akuna bana locally used watu wanaavoid Kama plagueπ€£π€£na wenye wanataka kubuy wanabuy vibaya
Je, kwani hata Baraza la umoja wa mataifa linaogopa utawala haramu wa Israel au mbona mpaka hivi sasa halijawahi kushungumzia kuhusu mauwaji ya halaiki yanayo fanywa na utawala haramu wa mayahudi katika ukanda wa Gaza,kwani watu wa Palestina hawana haki yao au wanataka kumaanisha
Tusker wanataka support but hawatuuzii jerseys π
Anyways, see you on Saturday π
#Football

Hakuna kuzungumza na marekani tena hata kidogo kabisa,marekani kile wanataka ni vita sio amani Tena mashariki ya kati,kwa sababu kama marekani wangetaka amani awangeanzisha vita tena Hata kdogo kabisa,saa hii hakuna time ya kupoteza Tena kuzungumza na marekani: vita is the best!!
Drone za #frdc na #Burundi zimekita mizizi kwenye anga ya #minembwe ni wakata ambapo #muungano huu wa #geshilabusrundi na #frdc #wazalendo #fdlr wanataka kujirudisha #point zero

Ukiskiza politicians wengi vizuri, utaona wako more interested na kupata power rather than fixing the nation. Wengi wao tu wanataka the privileges, fancy titles na the fact that you're like a semi god.
ebu imagine hiyo feeling ya kujua fate ya 55M+ kenyans iko in your hands... exactly !!
Hata magaidi wote wa Nato wakiungana awataweza kupambana na jeshi la Iran IRGC,Hata kdogo kabisa,because wote nia yao ni kuiba raslimali and mafuta ya Iran Na kuumiza watu wa Iran Na kufanya dhuluma mbali mbali ndani ya Jamuhuri ya Taifa la Iran Hakuna kitu ingine wanataka kabisa
Haya makubaliano marekani wameshinikisha na Iran,ya kutiwa saini,Si ati wanataka amani sana na Iran ni kwa vile wamekosa la kufanya,kwa sababu malengo yao wakiwa na utawala haramu mayahudi yamefeli kabisa because kama wangekuwa na lengo la amani awangevuja makubaliano Tena na sis
Marekani Sii ati ni amani wanataka sana na Iran ni kwa vile wameshindwa kupambana na jeshi la Iran IRGC. Ndiyo maana wameshinikisha makubaliano ya kusisita vita na kutia saini za unafiki. Kwa sababu kama sio unafiki na ujeuri awangevuja makubaliano na kuanzisha vita tena na Iran
Hormuz ni bahari ya Iran and sio mataifa vile wamagharibi wandai, Hata vita ikiisha Hormuz itabaki kuwa maeneo ya Iran na sio bahari ya mataifa vile wanataka,Na Iran inafaa kutosha ushuru kwa kila meli inapitia katika mlango bahari wa Hormuz, Na hio ni haki ya Iran kutosha ushuru
Watu wangapi Wanataka mutuals huku?
Lakini hii beef ya Gideon na Ruto unaweza pata ni theatrics tu. Wanataka kutu thigitha akili...
Mimi kutoka kitambo I believe most politicians wanakuwanga pamoja, it's us against the political class in general.
Iran haitatia Saini yoyote ya makubaliano ya amani na marekani kamwe kabisa Kwa sababu marekani Kuna kitu wanataka kufanyia hapa nyuma ya pasia.Kwa sababu tunaona vile mshirika wake mkuu Benjameni Netanyahu anaendelea kuishambulia Lebanon,Sasa wewe Trump sahau kabisa kutiwa saini
Sasa ni makubaliano Gani marekani wanataka yatiwe Saini wakati mshirika wake mkuu Netanyahu anaendelea kuishambulia Lebanon and Palestine:Na Lebanon ni nguzo kuu kati ya usitishaji wa vita,hakuna makubaliano kama hayo wala Trump asitarajie mafanikio yoyote ya kutiwa saini na Iran
Hii Saini ya marekani wanataka kusaini sio ya kweli hata kidogo kabisa Ni Saini bandia Trump anataka kusaini
Marekani Kuna kitu flan wanataka kufanya after Iran kutia saini.Alafu Saini ya marekani ni Saini bandia ambayo Rais wa marekani Donald Trump anataka kundanganyana nayo kwa Taifa la Iran ati wamesaini mkataba na Iran.Sasa tukaeni makini sana kwa sababu Trump sii mtu wa kuaminika,!
Haya makubaliano wanataka kutia saini yatasababisa marekani kuvamia Iran na Jeshi la ardhini kwa sababu marekani wanasema hivyo hivyo alafu hapa nyuma wageuke and kurusa makombora tena Iran and haya makubaliano sii mazuri hata kidogo kabisa
Marekani wanataka Iran isaina mkataba juu wameshindwa kupambana na jeshi la Iran IRGC wala kuanguza utawala wa Iran, IRGC na wananchi wetu power
Marekani haina mamlaka ya kulazimiza taifa ingine kufanya vile wanataka wao wenyewe
Vita ya marekani dhidi ya Iran Sio nyuklia wala mlango bahari wa Hormuz Ni chuki dhidi ya waislamu wote in the world because angalia vile Marekani wamefanya Afghanistan and the Iraq and the lybia and the Iran this time na Sasa wanataka kuvamia Oman, Je kwani wanategeza nyuklia???
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
239.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
106.9M followers

Rihanna 
@rihanna
98.6M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers









