Hawa mawaziri wa CCM wana akili kweli? Tumechoka na matamko yao ya kijinga!kila anayeingia madarakani anakuja na tamko la ''HAKUNA KUZUIA MAITI'' lakini bado hakuna kitu...ni upuuzi tu.
Wsmeua ndugu zetu wasio na hatia... Rais Samia awawajibishe viongozi wa juu wa police na ajiuzuru lakini siku ya tar 29 November ya kila MWAKA itangazwe kuwa siku ya MAUAJI YA ALAIKI YA WAZALENDO waliotaka mabadiliko ya katiba na haki zao za maisha
Rais Samia kama hatatangaza siku ya tar 29 November ya kila MWAKA kuwa siku ya MAUAJI YA ALAIKI YA WAZALENDO waliotaka mabadiliko ya katiba na haki za maisha basi sisi tutakuwa tunawakumbuka kiaina... CNN wana ushahidi
Rais Samia atangaze tar 29 November ya kila MWAKA kuwa siku ya MAUAJI YA ALAIKI YA WAZALENDO waliotaka mabadiliko kwa kuandamana. Hatuwezi kuacha watu zaidi ya 3000 wasikumbukwe.
Islamic state...hii ndiyo Tanzania ya Samia....waislamu kuanzia mwanasheria,Spika Zungu hadi mkuu wa majeshi.
Nchimbi peke yake. Baraza lote la mawaziri ni waislamu kwa asilimia 80%
Maandamano ni lazima...
WATATUUA LAKINI DAMU YETU NI UKOMBOZI KWA NCHI HII
Wabaki ndani watoto tu.
BBC NA BALOZI ZOTE ZA NCHI za nje tumewapa taarifa na watakuwepo! Kama kufa tunakufa na watanzania wa BBC na vyombo vya habari na BALOZI wa nchi 18 watakuwepo...watuue tu
TUNANGOJA MAPINDUZI
Baada ya juhudi za balozi Polepole kuonekana kushindwa yeye na kundi lake la watu wa usalama, police,JWTZ na baadhi ya vigogo wa serikali upo uwezekano wa MAPINDUZI mwaka huu kama siyo mwakani...Nchi haipo sawa
@ze_mandevu Sana tu.... kataa wezi! Kataa wauaji...kataa wanaojirithisha uongozi kama wafalme...hadi wanateka na kuua sababu ya mali....tulisema wamemuua Magufuli wakabisha....