What a Final! Ilikuwa mechi bora sana, Azam FC walijua hawawezi kuchukua, wakaamua kutuchelewesha kulala. Kongole nyingi kwa Wananchi @YoungAfricansSC hakika mlistahili tangu dakika ya kwanza.
@godbless_lema 'HUKO' ni neno kanushi kwa muktadha wa hapo means hayuko tayari. But hope ulimaanisha 'UKO' ambayo kimantiki ya maudhui yako Mchungaji yuko Tayari kutumwa.ππ