Maskini hajawahi kuwa bahili kwasababu siku zote anapokamata pesa hutaka kuonekana tajiri,
Ila tajiri siku zote anamiliki pesa na kadiri anavyotengeneza pesa nyingi ndivyo anavyozidi kuwa bahili.
Mwenyekiti wa Chadema Tanzania Mh Freeman Mbowe amekatisha maombolezo ya Msiba wa Kaka yake, na sasa anaelekea Mwanza kuhakikisha HAKI ya KIKATIBA na KISHERIA ya Kukusanyika na kufanya KONGAMO LA KATIBA inalindwa.
TUILINDE KATIBA ILIYOPO, NA TUDAI KATIBA MPYA.
Polisi wansema kuwa kongamano la katiba ambalo bavicha walikuwa wameanda leo kuwa raisi wa jamuhuri ya muungano ya tanzania amelizuia bila sabbu kutoa na pia wanawashikilia viongozi pamoja na watoa mada kwenye kongamano la hilo
kutoka fire mpaka sokoni kariakoo ni mita 900 alafu unakuja na gari haina maji ulikuja kuzima moto au mlikuja kushangaa jinsi mali za watanzania wanyonge zinavyoteketea halafu mnajiita jeshi la uokoaji mjitafakri jeshi hili linatakiwa kufumuliwa kwa uzembe
Jiji kubwa mpaka sasa hivi majanga madogo ya moto tu mnashindwa kuhimili kuwa na vifaa vya kuzimia moto na bado mnatoa leseni kujenga majengo marefu magari ya zimamoto yote mabovu pampu hazifanyi kazi alafu mnaenda kwenye tukio mnatutafutia lawama jichunguzeni
mnalala kitanda kimoja na mkeo ambaye sasa ivi yupo bungeni kama covid19 unakuka pesa ya ubunge haramu wa covid alafu unajita chadema kiroho muda sana ashatusaliti muda wowote kuanzia sasa ataunga juhudi .
Wabunge hawana maswali ya kumuuliza waziri mkuu kwa kifupi shida za watanzania zimeisha hata zile barabara sisizopitika ,madawa hakuna hosptalini hili ni bunge la ajabu
Hii itakuwa rushwa na mikataba ya kihuni ya spika wa bunge la tanzania ndo maana anenderea kuwakumbatia hawa wa kina halima pamoja na wenzake ambao kamati iliwavua uanachama wa chama cha chadema
Hii itakuwa rushwa na mikataba ya kihuni ya spika wa bunge la tanzania ndo maana anenderea kuwakumbatia hawa wa kina halima pamoja na wenzake ambao kamati iliwavua uanachama wa chama cha chadema
Serikali ya ccm haijawai kuipenda chadema
Tume ya uchaguzi ya tanzania haijawai kuipenda chadema
Wala hakuna raisi wa anayetokana na ccm amewai kuipenda chadema
Hata spika wa bunge hajawai kuipenda chadema sasa nashangaa huo urafiki kati ya spika pamoja hawa covid19 kama hakuna