@mankabahati@CarolNdosi Well spoken. Motivational speakers of the current era are discouraging education by comparing life circumstances they passed through, with that of those who were very keen in class.
Nimepata wasaa wa kutazama #SlayOnNetflix na kumuona @IdrisSultan katika sinema hii. Nimefarijika sana na hatua hii aliyopiga. Ametuweka Watanzania kwenye uso wa #Netflix . Ni mwanzo mzuri sana. Tumuunge mkono afanye vizuri zaidi, na azidi kututoa kimasomaso huko mbeleni.
@GillsaInt Please eleborate those "really fine" ladies. Maana huku hawa wenye wanataka kukujengea Sanamu tushakutana nao kwa Mwamposa kukanyaga mafuta.