@MrKato12 Wakawa wanataka Chipsi wakaelekezwa wakaenda kununua wakati wa kuondoka wakadondoaha bomu la machozi wahuni wakalibeba
Je ushaona kampeni ya kujiondoa EAC kwasabab Waganda wameua ndugu zetu..? Kama HAPANA kwann mnahubiri hili za Zanzibar na kuwaona wao wasaliti..?